Saturday 4 May 2013

Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Hii mitandao inadhalilisha sana.Kwani kama ni kingererza si wapo Watanzania wengi wanaokiongea tena kwa ufasaha! Kwani unaedae kukutana nae ndiye kipimo cha kudhalilika kwa watanzania?

Mwenye hoja hii analake jambo. Jumuiya ya Afrika Mashariki na majirani zake inasadika kuwa na idadi ya watu zaidi ya milioni mia moja na ishirini na wengi wao wanaongea kiswahili.Ushindani hautapimwa kwa ufasaha wa kuongea kingereza bali umahiri wa kutumia fursa zitakazo ambatana na soko lililopanuka.

Kama aliyezua hoja hii ni Mtanzania atafakari upya maana ya kuzaliwa upya kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki.Aache kujinyanyapaa bila sababu.
Shilia Kaaya( Nguruma Kijijini Meru_Shilia Kaaya( Nguruma Kijijini Meru_</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Date: Sat, 4 May 2013 12:02:21
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Tuseme mtu amezaliwa Ufaransa na akakulia na kusomea huko bila kujifunza Kiingereza na hatimaye akaja kufanya kazi Alusha, si Kiingereza kitamtatiza? Swahi kubwa ni kwamba ikiwa EAC yenyewe yatumia Kiingereza kama lugha rasmi, kwa nini mtu asiyeweza Kiingereza aandikwe kazi hapo? Atawasiliana na wenzake ama kikazi kwa lugha ipi?

Courage

On Sat, May 4, 2013 at 7:50 AM, lingsadam@yahoo.co.uk <mailto:lingsadam@yahoo.co.uk> <lingsadam@yahoo.co.uk <mailto:lingsadam@yahoo.co.uk> > wrote:
Hivi EAC ni mahali pa kushindanisha kiingereza? Na inamaanisha nini kuwa hajui Kiingereza? Na hizo digrii 2 ni za fani gani?

Ili kushindana kwenye EAC nadhani tunahitaji zaidi ya kuongea kiingereza hata kama ushindani huo tuna u zero kwenye ajira tu.

-----Original message-----
From: matinyi@hotmail.com <mailto:matinyi@hotmail.com>
Sent:  04/05/2013, 14:12
To: wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Kama hakufundishwa atakijuaje? Ulicheki Kiswahili chake?

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "amon mkoga" <dramontz2002@yahoo.com <mailto:dramontz2002@yahoo.com> >
To: <wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com> >
Subject: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
Date: Sat, May 4, 2013 3:17 am

Salaam
Jana sikuamini macho yangu nimekutana na kijana mwenye degree mbili lakini kingereza hajui kabisa,ktk EAC tutauweza ushindani kweli?

AMON MKOGA
P.O BOX 78566
MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
EMAIL dramontz2002@yahoo.com <mailto:dramontz2002@yahoo.com>
DAR ES SALAAM
TANZANIA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com <mailto:wanabidii@googlegroups.com>

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com <mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com> .
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment