Saturday 4 May 2013

Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Ukitembelea Korea Kusini kuna kampuni kubwa kama Samsungu, SK ambazo zipo juu sana kwa teknolojia (IT).

Vijana wachapa kazi pale (Wakorea) hawajui Kiingereza. Taifa tunaloambiwa miaka ya 1960 lilikuwa na hali sawa (katika nyanja zote) na nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania.

Tofauti ninayoibaini si matumizi ya lugha, bali jamaa wana ajenda na program za maendeleo zinazoboresha uchumi, maendeleo na ustawi wa jamii. Wanasiamamia na kutekeleza dhana ya "Mkorea ni mchapa kazi', wakilenga kuwa moja ya mataifa yenye nguvu kubwa za uchumi duniani.

Tunajifunza nini?

--- On Sat, 5/4/13, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, May 4, 2013, 5:02 AM

Tuseme mtu amezaliwa Ufaransa na akakulia na kusomea huko bila kujifunza Kiingereza na hatimaye akaja kufanya kazi Alusha, si Kiingereza kitamtatiza? Swahi kubwa ni kwamba ikiwa EAC yenyewe yatumia Kiingereza kama lugha rasmi, kwa nini mtu asiyeweza Kiingereza aandikwe kazi hapo? Atawasiliana na wenzake ama kikazi kwa lugha ipi?

Courage

On Sat, May 4, 2013 at 7:50 AM, lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk> wrote:
Hivi EAC ni mahali pa kushindanisha kiingereza? Na inamaanisha nini kuwa hajui Kiingereza? Na hizo digrii 2 ni za fani gani?

Ili kushindana kwenye EAC nadhani tunahitaji zaidi ya kuongea kiingereza hata kama ushindani huo tuna u zero kwenye ajira tu.
-----Original message-----
From: matinyi@hotmail.com
Sent:  04/05/2013, 14:12
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?

Kama hakufundishwa atakijuaje? Ulicheki Kiswahili chake?

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "amon mkoga" <dramontz2002@yahoo.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii]Degree mbili mtu hajui kingereza,Tanzania tutafika?
Date: Sat, May 4, 2013 3:17 am
Salaam
Jana sikuamini macho yangu nimekutana na kijana mwenye degree mbili lakini kingereza hajui kabisa,ktk EAC tutauweza ushindani kweli?

AMON MKOGA
P.O BOX 78566
MOBILE 0755 638 004/0784 772628/0655 638 004
EMAIL dramontz2002@yahoo.com
DAR ES SALAAM
TANZANIA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment