Saturday 11 May 2013

Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Taifa lina nyufa

Tungekuwa na wabunge kama kama zitto kumi tu, Ingekuwa safi sana,
Zito anaonyesha uzalendo wa hali ya juu kabisa, anaonyesha anajua
anachokizungumza na anauchungu wa kweli na nchi yake tofauti na
wengine wapo kwa ajili ya maslahi na urais tu.

On 5/10/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Zitto kajaribu kuweka tatizo hadharani ambalo tayari liko hadharani na
> kupendekeza njia nyepesi kumaliza tatizo kubwa ambalo limeishaota mizizi.
> Kuna mifano aliyotumia ambayo mimi namuona yeye mwenyewe kama sehemu ya
> tatizo analoliongelea. Ukiusoma kwa makini waraka wake unamuona kama ana
> upande fulani anaoutetea kama yeye alivyowataja wachangiaji wengine kwenye
> mitandao.
>
> Tatizo la udini hapa kwetu ni la kufukirika na kutengenezwa zaidi kuliko
> uhalisia wake. Anapotoa mfano wa Mwembe chai kwamba waislamu wake kwa waume
> waliteswa wakaa magerezani miezi mingi bila kushitakiwa na kwamba
> hawakufanya lolote kwa wakristu ana maana gani? Ina maana serikali
> iliyowatesa ilikuwa ni ya wakristu au? Kama basi ni kuchukua hatua angesema
> waislamu hawakuichukulia hatua serikali anapoingiza wakristu nashindwa
> kumwelewa vizuri hapa.
>
> Pili anaposema CCT inawawakilisha wakristu kuliko BAKWATA inavyowawakilisha
> waislamu ana uhakika na hilo? Nijuavyo mimi yapo madhehebu mengi sana ya
> kikristu kuliko yalivyo ya waislamu sina uhakika na representation ya kila
> dhehebu kwenye vyombo hivyo, kitu ambacho pia nahisi hata Zitto hana
> uhakika nacho. BAKWATA yawezekana ni kweli iliundwa kwa misingi
> isiyokubalika kwa baadhi ya waislam lakini ukakuta ni kikundi kidogo tu
> chenye msimamo wa kivyake ambacho pengine hakikubaliki kwa waislamu walio
> wengi. Kumaliza tatizo la udini hapa kwetu kunahitaji utafiti wa kina wala
> si hizi hear say
>
>
> 2013/5/10 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>
>> Nimekuelewa Engineer. Nikuombe kitu kimoja, huko uliko hamna dalili
>> yoyote
>> ya mabadiliko. Unaonaje ukijiunga na kamanda kiona Mbali, kipenzi cha
>> wengi
>> Zitto Kabwe huko aliko ili kuongeza nguvu mabadiliko ya kweli?
>>
>> Mhandisi nisamehe kama nimepiga ikulu hahahahahahaha hahahahaaaaaaaa
>>
>>
>> 2013/5/10 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>
>>> Eng, Matanda
>>>
>>> Yawezekana kweli kuna watu walikwisha yaona mambo haya, lakini kuyasema
>>> waziwazi kwa mfano lile la BAKWATA nakiri sijawahi kukutana nalo. Lakini
>>> lingine eng ni jinsi anavyojenga hoja yake ni kwa namna ya pekee
>>> ukilinganisha na wengine waliopo kwa sasa.
>>>
>>> K.E.M.S.
>>> *From:* denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>> *To:* wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>> *Sent:* Thursday, 9 May 2013, 2:41
>>> *Subject:* Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Taifa lina nyufa
>>> **
>>> Mhandisi, bila ya kuingilia uhuru wako wa kumkubali mheshimiwa Zitto,
>>> hivi ni kweli aliyoyasema kuna watu walikuwa hawajayaona?
>>> ****
>>> On Wed, May 8, 2013 at 3:42 PM, ezekiel kunyaranyara <
>>> ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:**
>>>
>>> Mara nyingi huwa nasema huyu kijana anao uwezo mkubwa wa kuona mambo
>>> kwa mtizamo ambao wengi huwa hatuwezi kuuona kwa urahisi. Kwa mara
>>> nyingine
>>> katika maelezo haya amezidi kulithibitisha hilo kwa mtizamo wangu
>>> wzndugu.
>>> KEM
>>> Sent from Yahoo! Mail on Android
>>> **
>>> *From: *BILLEGEYA, Mussa <msbillegeya@yahoo.com>; ***To: *
>>> wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>; ***Subject:
>>> *Re:
>>> [wanabidii] Zitto Kabwe : Taifa lina nyufa ***Sent: *Wed, May 8, 2013
>>> 12:30:08 PM **
>>> **
>>> Ati taifa lina Ufa? Au ni taifa gani mnazungumzia? kama ni Tanzania
>>> Mbona
>>> Kuta nyingi karibu zote za Vyumbani zimeshabomoka??? Ukuta wa nyuma na
>>> wenyewe umenagushwa na nanihii hivi majuzi!!!... Ufa upi mliouona leo?
>>>
>>> BILLEGEYA, Mussa,
>>> Twitter: @MBillegeya
>>> **
>>>
>>> *From:* ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>> *To:* hamisznz@gmail.com; wanabidii@googlegroups.com
>>> *Sent:* Wednesday, May 8, 2013 3:18 PM
>>> *Subject:* Re: [wanabidii] Zitto Kabwe : Taifa lina nyufa
>>> **Lo! Nani hakuelewa hotuba hii? Swala la BAKWATA mbona kaliweka sawa?
>>> Natumaini anayetaka ukweli amegundua. Ni swala la kukubali tu.****
>>> ----------**Sent from my Nokia Phone****------Original
>>> message------**From:
>>> Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>**To: "Wanabidii" <
>>> wanabidii@googlegroups.com>**Date: Wednesday, May 8, 2013 11:16:33 AM
>>> GMT+0300**Subject: [wanabidii] Zitto Kabwe : Taifa lina nyufa****NDUGU
>>> KABWE Z. ZITTO, MB – BUNGENI TAREHE 6 MEI, 2013****Mheshimiwa
>>> Mwenyekiti, nakushukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze**kuchangia leo
>>> katika mjadala huu muhimu sana.****Hapa Afrika kulikuwa kuna nchi, na
>>> bado ipo, inaitwa Ivory Coast. Ilikuwa**ni nchi ambayo inasifika sana
>>> kwa amani na utulivu; na ilikuwa ni nchi ya**kupigiwa mfano. Leo hii
>>> Ivory Coast imegawanyika vipande vipande. Ukienda**leo Ivory Coast
>>> unakuta wanaoitwa Ivorite na wanaoitwa wageni ambao wazazi**wao walienda
>>> Ivory Coast kufanya kazi miaka mingi sana. Lakini pili
>>> katika**mgawanyiko
>>> huo kuna mgawanyiko mkubwa sana wa kidini kati ya watu wa Ivory**Coast
>>> wanaotokea Kaskazini na watu wa Ivory Coast wanaotokea
>>> Kusini.****Mheshimiwa
>>> Mwenyekiti, tulikuwa tuna Sierra Leone nchi ambayo wageni**walikuwa
>>> wanakirimiwa katika hali ambayo haijawahi kutokea hapa duniani.**Lakini
>>> leo Sierra Leone ina rekodi kubwa sana ya watu wenye ulemavu kwa**sababu
>>> ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.****Naomba nichukue nafasi hii kufuatia
>>> matukio ambayo yametokea hivi karibuni**na hasa jana na siku zilizopita
>>> ninanukuu hotuba ambayo Rais wa Awamu ya**Tatu Mheshimiwa Benjamin Mkapa
>>> aliitoa katika Bunge hili tarehe 4 Novemba,**1998. Alisema:****"Mr.
>>> Speaker, after three years of my presidency, I can dare to modify
>>> the**words
>>> of famous Zanzibar maestro Siti Binti Saada by saying, Tanzania is
>>> a**good
>>> country, let one who wishes to come do so. God has showered
>>> blessings**on
>>> our country. It is a country of unity, peace, love, rejoicing
>>> and**exciding
>>> generosity. It is a country of people who love equality and**justice.
>>> Our national unity brings from our firm believe in equality of**human
>>> beings before God and before the Law. A Unity reinforced by
>>> correct**policies
>>> of national building. Policies based on the principles of
>>> social**justice,
>>> peace, harmony and development for all. A unity which is
>>> extra**sensitive
>>> to policies, statements behavour and actions which may sore
>>> seeds**discard
>>> hatred and suspicious among Tanzanias"****Mheshimiwa Mwenyekiti
>>> sitatafsiri. Lakini naomba kila Mbunge ajiulize leo**iwapo Rais Mkapa
>>> tukimpa fursa ya kuja kuhutubia Bunge hili anaweza**akayatumia maneno
>>> haya tena? Hakuna mtanzania yoyote anayeweza kuthubutu**leo kutumia
>>> maneno haya tena kwa sababu nchi yetu ina nyufa. Ina nyufa**ambazo kwa
>>> kujua au kwa kutokujua sisi kama watu ambao tumepewa wajibi na**wananchi
>>> wa kuitunza nchi hii na kuipeleka pamoja tumejikuta tukiingia**katika
>>> kutoa kauli, maneno na vitendo ambavyo ni
>>> "irresponsible"**vinavyopelekea
>>> kugawanya nchi; na yanayotokea sasa ni matumizi ya
>>> nyufa**hizo.****Asubuhi
>>> hapa Mheshimiwa Lissu amesema, ametoa rekodi ya namna ambavyo**wanasiasa
>>> wa chama kinachoongoza (CCM) wamekuwa wakitoa kauli dhidi ya**vyama vya
>>> upinzani kuhusiana na masuala haya ya kidini. Wametoa mfano**kuhusu
>>> chama cha CUF kilipoitwa chama cha waislam, wamekitolea mfano
>>> kuhusu**CHADEMA
>>> kinavyoitwa mpaka sasa chama cha wakristo.****Mheshimiwa Mwenyekiti,
>>> inawezekana ikawa ni rahisi sana tuka-"point**fingers" kwa wenzetu nyie,
>>> ni rahisi sana; lakini CUF wakati wanaitwa ni**chama cha waislam ambao
>>> walikuwa hawaitwi ni chama cha waislam**hawakunyoosha mkono kupinga.
>>> Wakati CHADEMA kinaitwa cha cha Kikristo ambao**hawaitwi hivyo
>>> hawakunyoosha mkono. Matokeo yakeni nini? Tumejenga hofu**kubwa sana
>>> katika Taifa na hii ni lawama kwa wote. Wote kama nchi ili**tuseme
>>> kwamba hapa tumekosea na tuanze upya.****Mheshimiwa Mwenyekiti, adui
>>> anapokuja kwenye nyumba anaangalia ni wapi**ambapo ni rahisi kamba
>>> kukatika. Tumeji-"expose", tumejiweka wazi. Leo mtu**anayetaka
>>> kuishughulikia Tanzania ata-deal na udini tu. Kwa sababu
>>> anajua**watanzania
>>> hivi sasa wamegawanyika katika misingi hiyo. Jana limetokea**tukio
>>> Arusha, angalia kwenye mitandao ya kijamii mara moja watanzania**wenyewe
>>> kwa wenyewe na ukiangalia majina ya watu wanaojadiliana
>>> wanaanza**kusemana
>>> kwa dini zao. Ndiyo hatari ambayo tumeifikia; na ndio
>>> anachokitaka**adui.
>>> Ni hicho. Atakuja, wanaitwa "Agent Provacateur", watapiga,
>>> mtabaki**mnagombana
>>> ninyi. Tukiruhusu NYUFA hizi ziendelee hatutakuwa taifa. Ni**lazima sote
>>> kwa pamoja tusimame imara.****Mheshimiwa Mwenyekiti, waislam na wakristo
>>> nchi hii hawana chuki kwa sababu**wanaishi pamoja, ni marafiki, ni ndugu
>>> na kama ingekuwa kwa mfano waislam**wanawachukia wakristo waislam
>>> wangevunja makanisa au wangechoma makanisa au**wangewalipua wakristo.
>>> Wakati wa tukio la Mwembechai ndipo ambapo Polisi**waliingia mskitini
>>> wakaua watu, wanawake wakateswa kwenye magereza na**kadhalika, watu
>>> wakakaa miezi mitano gerezani bila kushtakiwa lakini**hapakuwa na mtukio
>>> yoyote ya namna hii. Waislam na wakristo wa nchi hii ni**wamoja.
>>> Wananchi wetu ni wa moja lakini sisi viongozi kwa kutoa kauli**ambazo ni
>>> "very irresponsible" tunawagawa watu wetu na ni lazima tukatae**hali
>>> hii. Tunafanya nini?****Mheshimiwa Mwenyekiti, lazima twende mbele.
>>> Kwanza ni lazima sasa Serikali**ijenge utamaduni wa kufuatilia
>>> "grievances" zote ambazo wananchi wanazo**bila kujali dini zao. Pili
>>> turuhusu watu kuwa huru kusema. Nimesikia hapa**watu wanasema kwamba
>>> maandamano ni tatizo nakadhalika. Maandamano si**tatizo, ukimzuia mtu
>>> kuandamana akiweka hasira zake kesho atafanya nini?**Atatoka na bomu.
>>> Turuhusu "honest discussions" miongoni mwetu kama
>>> wananchi.****Mheshimiwa
>>> Mwenyekiti, tatu ni lazima sasa tuseme ya kwamba ni marufuku**kuwa na
>>> kauli za chuki "hate speeches". Kama hatuna vipengele vya
>>> kisheria**tutunge
>>> sheria kwa sababu kumekuwa na "hate speeches" nyingi sana katika**hii
>>> nchi na hakuna hatua ambazo zinachukuliwa.****Mheshimiwa Mwenyekiti,
>>> state, dola, ihakikishe inajiondoa kwenye shughuli**za uendeshaji wa
>>> mambo ya kidini. Ijiondoe kabisa. Kwa mfano kuna lawama ya**muda mrefu
>>> sana ya waislam kuhusu BAKWATA, Waislamu miaka mingi toka mwaka**1969
>>> wakati Serikali imeunda BAKWATA wanalalamika. Leo hii Serikali
>>> ikitaka**kuzungumza
>>> na waislam inafanya nini? Inaenda kuwaita BAKWATA. Hawana**legitimacy ya
>>> waislam, hamtaweza ku-addres masuala ya waislam lakini ni**rahisi sana
>>> kuweza kuongea na CCT kwa sababu CCT ni chombo ambacho kina**uhuru wake.
>>> Kwa hiyo Serikali ijiondoe kwenye uendesheji wa shughuli za**kidini.
>>> Hapa ndipo tutakapoweza kuhakikisha kwamba tunakuwa na nchi moja**nchi
>>> ambayo ina amani.****Mheshimiwa Mwenyekiti, namaliza kwa kusema nchi hii
>>> si ya waislam peke**yake, nchi hii si ya wakristo peke yake. Nchi hii si
>>> ya CCM au ya CHADEMA,**CUF au ya NCCR-Mageuzi au TLP na kadhalika. Nchi
>>> hii ni moja, nchi hii ni**ya Jamhuiri ya Muungano wa Tanzania. Lazima
>>> wote tusimame kuhakikisha**tunailinda Jamhuri ya Muungano wa
>>> Tanzania****Mheshimiwa
>>> Mwenyekiti, nakushuru sana asante.****-- **Send Emails to
>>> wanabidii@googlegroups.com****Kujiondoa Tuma Email kwenda **wanabidii+
>>> unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma***
>>> *Disclaimer:**Everyone posting to this Forum bears the sole
>>> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
>>> hence
>>> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
>>> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
>>> abide
>>> by our Rules and Guidelines.**--- **You received this message because
>>> you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.**To
>>> unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.**For more options,
>>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.********-- **Send Emails
>>> to wanabidii@googlegroups.com****Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> **wanabidii+
>>> unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma***
>>> *Disclaimer:**Everyone posting to this Forum bears the sole
>>> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
>>> hence
>>> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
>>> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to
>>> abide
>>> by our Rules and Guidelines.**--- **You received this message because
>>> you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.**To
>>> unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.**For more options,
>>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.********
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>Utapata
>>> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to
>>> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com>
>>> .
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>> ******-- **
>>> Wasalaam,
>>>
>>> Denis Matanda,
>>> Mine Planning Supt,
>>> Tanzania.
>>>
>>> *" Low aim, not failure, is a crime"*
>>> -- **Send Emails to wanabidii@googlegroups.com** **Kujiondoa Tuma Email
>>> kwenda **wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> kudhibitisha ukishatuma** **Disclaimer:**Everyone posting to this Forum
>>> bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her
>>> postings, and hence statements and facts must be presented responsibly.
>>> Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer
>>> and
>>> pledge to abide by our Rules and Guidelines.**--- **You received this
>>> message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
>>> group.
>>> **To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.**For more options,
>>> visit https://groups.google.com/groups/opt_out.** ** **
>>> ****
>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>>
>> --
>> Wasalaam,
>>
>> Denis Matanda,
>> Mine Planning Supt,
>> Tanzania.
>>
>> *" Low aim, not failure, is a crime"*
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment