Soma vizuri hapa chini mimi nimetaja KANISA kama mfano tu ule kwamba ukikosa utakalo-unachoma kanisa, kumwadhibu Mkristu asiye chanzo cha matatizo yako. Ni kama hao wa Mtwara wanabomoa miundo mbinu na kuharibu mali za watu kama njia ya kutatua matatizo yao. Maana mifano inasaidia muono kama wewe Chamani huwa unaona umasikini wenu unasababishwa na Kanisa na uitacho mfumo Kristo-Au umesahau mzee wa Algaeda bin Boko haram? Sasa ona huko kusini kuna kila resources lakini wamebweteka na sasa wanaharibu. Donor walivyojaa huko na miradi kupitia serikalini hawaoni hayo kama mafao. Msalaba na Moto wa Bwana Yesu utakupitia Chamani kukutakasa ubadilike ili uone jinsi gani misikiti na waumini wake wanaweza kuchanga hela na kujiletea maendeleo yao wenyewe kama wafanyavyo wakristu wa madhehebu mbali mbali, Hindus na Bohora and others. Hela za misaada upatazo kutoka Oman na kwingineko utaangalia kwa maendeleo sio kujenga nyumba za sala tu. Kwani, ukisha kusali njaa itakuwa imekwisha? Mungu nipe na mchele mkononi ndio usemi wa kiafrika. Mpambano wa gesi hautakiwi ukachome nyumba ya mbunge, kituo cha police, kufyeaa mazao ktk mashamba ya mwalimu na viongozi wa kijiji; kubomoa madaraja, kuzuia wenzako wasitoke nje kwenda shamba au kutafuta ridhiki etc. Hii haijawahi kutokea Africa mahala ambapo watu wanadai mafao (benefit sharing) wawe wanabomoa miundo mbinu. Ni hapa bongoland tu na utashi wa kijinga. Huu ni utoto, ujinga; sijui wanatafuta sifa gani? Na ukisha kufanya uharibifu wa miundo mbinu na ya viongozi wa GVT utafanya nini next? Ni yale yale ya kuomba msaada serikalini na kwa wahisani maana ni wale wale wasioona mbali. Bweteka, havishuki kama mvua, ni vya kutafuta kwa juhudi zako, utendaji kazi kwa ushirikiano na kwa muono wa mbali wa maendeleo. Jee ni Mungu au pepon anayekutuma ufanye hivi mpaka kuvunja nyumba ya kiongozi kuiba mali binafsi za mtu mwingine? Kama si upeo mdogo ni nini? Unafanya hii dhuluma halafu unaingia kusali kujifanya mtakatifu sanaa!!. Lazima kuwe na wa kusema ukweli hata kama unauma. Tupo pamoja Chamani lakini muono wako una mawingu. Nawa kwa utomvu wa korosho za Mtwara, utashituka utomvu wake korosho itakapokuwa unawasha machoni ili ukoshe na maji safi ya baraka uone vizuri yafaayo maendeleo yako. Utapata ufunuo wa kujua na mafundisho ya Allah kuhusu binadamu wenzako uishi nao vipi. Wakifanyacho ni UJINGA si njia bora ya kudai haki. Badala ya kenda mbele sasa serikali ivuruge bajeti na kuanza kupeleka majeshi, vifaru na gharama kubwa za ulinzi mtwara? Shame!! Yule yule --- On Thu, 23/5/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment