Wednesday 22 May 2013

Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Ina maana nchi nzima hatuna hata wanataaluma waliosomea mambo ya conflict resolutions? Watu walio kwenye tension hawatulizwi kwa bunduki au mabomu. 

Mbona tunatumia nguvu zaidi kuliko maarifa? Tukiendelea hivi huko mbele tusubiri Sodoma na Gomola!

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, May 23, 2013 5:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Kiwasila,
Kanisa kanisa kanisa kwani kwenye vurugu hizi nayo yamechomwa?
Unanini wewe na kanisa?
Ulishasikia wanachosema watu wa Kusini?
Ni wajinga ndiyo kwa maana hiyo hawawezi kuamua vema lakini basi kwanini sisi wajuzi na wastaarabu hatuendi tukawasikiliza na kuwaelimisha badala ya kuongeza askari.
Kiwasila watu kama wewe ni sehemu pana ya tatizo linalotukabili.

Walewale.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 22, 2013 6:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Ndio huu ufinyu wa akili tusemao wengine. Badala ya kujibidiisha ukalima mwenyewe asikulimishe Mkenya au Mburundi, Mkorea, Mchina uliyomuuzia ardhi kinyemela jirani kahamia TZ-unalimishwa. Ungelima mwenyewe na kujiunga kikundi mkapata mkopo mkalima na kuuza nje ungesomesha watoto. Ukaacha kuoa na kuoza vichanga wake kibao, kutwa upo barazani unaona kanisa ndio adui yako. Jielimishe, jenga skill uajiriwe katika mitambo ya gas na ktk ajira nyingine. Usitatute adui ambapo mwenyewe mshiriki wa kujidumaza.

Unachoma moto. Ukisha kuchoma moto hakuna maendeleo kwako. Hapa adui serikali-unachoma moto ambulance, ofisi, mabweni, bomoa madaraja kisa umekasirishwa. Kumbe mngetumia mikakati ya kuweka kamati wakilishi ya wasomi wenu ya kudai mafao na mkapanga mikakati yake. Gas itakwenda kuendesha viwanda Dar, Bagamoyo, Morogoro etc kama wewe utumiavyo umeme wa Kihansi hapo Ligula hospital na maofisi na majumbani kwenu. Kulikoni?
Mfano serikali na makampuni yaseme Gas basi haitochimbwa kabisa. Mtakuwa mmepata au mmepatikana? wale ambao wana wagonjwa wa kupasuliwa hospitali na gari ya daktari wameishona na hawaruhusu watu kutembea, wagonjwa si wanakufa leo? hawa ni ndigu na jirani zao. UJINGA

--- On Wed, 22/5/13, salum mkango <salumkango@yahoo.com> wrote:

From: salum mkango <salumkango@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 22 May, 2013, 13:39

Duh leo ndio natambua kwanini Tanzania ni maskini wakati tuna resources za kutosha. Kumbe umaskini wetu umeanzia kwenye akili zetu. Watu makini hata siku moja hawawezi kufanya ujinga huu wanaoufanya hawa baadhi ya vijana wa Mtwara. Kuharibu mali uliyoijenga mwenyewe eti kwa sababu una hasira na unadai haki yako??? Ni haki gani inayodaiwa hivi? Au wametumwa? Mwisho wa yote gesi haichimbwi na wewe ofisi ya serikali umeshachoma moto. Serikali wanachukua kodi yako iliyopangwa kujengea barabara wanajengea ofisi ulizochoma moto. Wenye magari yao nao wanapandisha nauli kwa sababu barabara mbovu. Nani kaumia hapo. Wewe au serikali????
 
Mhh!!!! haya yangu macho. Let us see.
 
From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, May 22, 2013 3:25 PM
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Huko MIKINDANI ofisi zote za serikali zavamiwa na kuchomwa na mpaka daraja la Mikindani nalo limevunjwa kwa maana hauwezi kutoka wala kuingia MTWARA 

Kuna madai kwamba silaha zimeibiwa (Haijathibitishwa) 

Maaskari wanafanya msako wa nyumba hadi nyumba maeneo ya Magomeni na Mangowela

Askari achomwa mshale. Haijulikani hali yake

Ni mapambano baina ya vijana na maaskari. Vijana hawaogopi tena risasi wala mabomu . 

Kundi limeelekea Shangani kwenye nyumba za vigogo.

 Nyumba ya kupumzikia wageni inayoitwa Shengena Lodge imechomwa moto kwa kile kinachoelezwa kwamba iliwapokea askari Polisi.

Ofisi ya CCM saba saba imechomwa moto, na baadhi ya waandishi wamezingirwa maeneo ya Sokoni, sasa ni milio ya risasi na mabomu.

Matairi  kila  kona  ya mji  yamechomwa  barabarani  polisi  na  zimamoto   wanafanya kazi ya kuzima na kufukuza wananchi. Kauli mbiu "Gesi haitoki hata kwa bomba la peni"

Kambi ya Upinzani yaukataa mpango wa serikali wa ujenzi wa bomba la gesi

Nyumba kadhaa  za watumishi  wa Serikali  zimechomwa  maeneo ya Shangani.(habari haijathibitishwa rasmi)

Ni magari ya FFU tu ndio yapo barabarani nayo hupata wakati mgumu kupita kwasababu ya mawe na magogo yaliyowekwa na vijana,baadhi ya watu kadhaa wamechukuliwa na askari eti kwakuwa walipita jirani na gari yao,askari wengi waliokuja si wa hapa Mtwara wengi wametoka Masasi na Lindi. Ving'ora vinalia ovyo ovyo.

watoto wamefungiwa mashuleni walimu wamekimbia

Vituo vya Redio vya Mtwara havizungumzii hali hii ya hatari. Vinapiga Muziki pengine vinakusanya matukio na habari ya majanga haya. Ili Wananchi wayapate .

 Mabomu yanapigwa mfululizo maeneo ya Magomeni-Mtwara . Takriban mabomu 20 na ushee mpaka sasa. Na wanaendelea kupiga mabomu.

Sasa hali si shwari kila eneo, wakionekana watu watatu wanaongea maongezi maaskari wanapiga mabomu. Mabavu yamechukua mkondo wake. Wananchi wamejifungia majumbani mwao. Chuki dhidi ya Polisi yaimarika. Polisi wanapiga mabomu bila mwelekeo.

Magomeni na sokoni kimenuka, mabomu yanarushwa na wananchi wanakimbia ovyo.

Kituo  kimoja  cha habari  kinachorusha habari za bunge chazuia mawimbi yake kwa Mkoa wa Mtwara hivyo hakisikiki(Redio na TV). Na kimewanyima haki wananchi wa Mtwara ya kupata taarifa.(Hatimaye wamerejesha matangazo yao)

Waziri wa Nishati amesoma hotuba yake kwa hisia kali na mbwembwe. Mwishoni amesema bomba la gesi linajengwa kutoka Mtwara kwenda Dar.

Maduka yote yamefungwa, baa zimefungwa, hakuna huduma za usafiri, ofisi za serikali zimepwaya kimsingi hakuna lolote linalofanyika

Boda boda zinazoonekana maeneo ya Nkanaledi na abiria zinapigwa mawe.

Makachero nao wanajifanya madereva wa boda boda na Bajaji, Tax wengine wanatembea na magari ya Serikali.

2013/5/22 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
Askari mmoja na raia mmoja amefariki na ofisi ya ccm na kituo cha mafuta vimechomwa moto

2013/5/22 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Nasikia hata Guest Houses walizowahi kufikia askari wakati wa vurugu za mwanzo zinachomwa moto (Not sure).
 
Hali kama hii haifai kabisa kwa Taifa huru kama hili. Wahalifu lazima wasakwe na wakamatwe na wafikishwe mbele ya mkono wa sheria.
 
Naona hii sio gesi tu kuna kitu cha ziada hapa.
 
Tutajua tu.
 
K.E.M.S.
Sent: Wednesday, 22 May 2013, 3:47

Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Na kwa mamlaka gani na aliyopewa na nan?

gm
Date: Wed, 22 May 2013 10:36:51 +0000
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Hili Tamko limetolewa na nani?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Wed, 22 May 2013 13:34:37 +0300
Subject: Re: [wanabidii] VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI TAMKO LA SERIKALI KUHUSU GESI

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa tanzania haiwezi kuwapigia magoti wahalifu .

Kama wao sio wahalifu kweli kwanini madai yao hayafuati taratibu za kisheria kama mahakama au njia nyingine za mazungumzo badala yake wameamua kufanya vurugu zilizochangia katika uharibifu wa mali za watu haswa ndugu zao wa huko huko mtwara , vifo , uvunjifu wa amani ambao unachangia kukimbiza wawekezaji na kujenga utengano wa kitaifa ?

Serikali ya Tanzania haitakubali kuyumbishwa na wahalifu hawa , watachukuliwa hatua za kisheria kama wahalifu wengine wanavyochukuliwa hatua .

Kwa Watanzania wa kawaida kama mimi na wewe tuendee na shuguli zetu za kujenga nchi yetu popote tulipo , tuendeleze mshikamano , amani , upendo na utulivu bila kujali tofauti zetu nyingine .

Tanzania ni moja itaendelea kuwa moja wahalifu hawana nafasi .

On Wed, May 22, 2013 at 12:07 PM, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
VURUGU MTWARA BAADA YA SERIKALI KUENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUSAFIRISHA GESI KWA NJIA YA BOMBA KWENDA DAR ES SALAAM .

HIVI SASA WANANCHI WANANCHOMA MOTO MATAIRI HUKU JESHI LA POLISI LIKIENDELEA KUDHIBITI HALI HIYO
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
http://www.wejobs.blogspot.com/ Jobs in Africa
http://www.jobsunited.blogspot.com/ International Job Opportunities

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment