Friday 3 May 2013

Re: [wanabidii] Tanzania's tilt toward Israel

 

 

Thanks EM,

Habari ndiyo hiyo.

Hata POLISARIO tumewatupoa, mnakumbuka malumbano Bungeni mwaka jana kuhusu msimamo wa Tanzania kuhusu POLISARIO na Serikali ya Kifalme ya Morocco kati ya Kamati ya Bunge ya Mambo ya Ulinzi na Mambo ya Nje na Waziri Membe?

Kamati hiyo ya Mambo ya Nje inaongozwa na ENL na ilidaiwa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kuwa "mambo" za 2015 zinahusika. Binafsi nilidhani ni tatizo tu la nchi kukosa dira sahihi ya mambo ya nje.

MJL

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment