Friday 10 May 2013

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga

Ni kweli hayo YONA ni mawazo yako sahihi, lakini katika hali ya kawaida, hakuna mtu wa aina kama yako angetarajia ukaliweka jambo hilo kama ulivyoliweka! Umelilainisha sana hali ya kuwa, tunatambua unao uwezo mzuri tu wa kudadavua jambo!! Any way yapo mambo mawili hapa 1. Ama unachokozea mada uone watu wana mtizamo gani juu ya mchakato wa uraisi na kama vigezo vya kama ulivosema vinafaa kuangaliwa tena na watanzania! 2. Basi kama ndivyo tu nawe unaimani na kuwa ailimradi mtu apendwe na jumuiya ya kimataifa basi ipelekee kusema hivyo-- NAPATA WASIWASI KAMA- HUENDA UKAWA UNATUMIKA VIBAYA NA HAO WANASIASA -KUWAPIGIA DEBE KWENYE HILI JUKWAA, AU KUANZA KUJIPIMA KAMA WANAKUBALIKA!!

MTIZAMO wangu: Tunao viongozi wengi sana shupavu na watendaji kazi na manufaa tunayaona watanzania, tutumie akili zetu wenyewe na siyo kuchaguliwa RAIS kwa njia za ujanja ujanja tu!!

TUJIPANGE, NA TUSIRUDIE MAKOSA!

HAKIKA TANZANIA YA SASA INAHITAJI KIONGOZI NA SIYO VIONGOZI SIFA KUUZA MAGAZETI NA SURA ZAO!!!


 
P.O.Box 62 Tabora, (Tanzania)





 


From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, May 10, 2013 10:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga

Unasema ''Jumuia ya kimataifa inapenda wale inaowajua''.
Nataka jambo moja toka kwako Yona: Tunachagua rais wa kutatua matatizo ya watanzania au ya hao wanaomjua?
Sisi tutafute mtu atakayeshangiliwa na wakenya waganda wamarekani huku ndani tukijuta?
Wananchi wa Loliondo wana shida. Waziri mhusika ambaye amekaa nje sana mathalani. anaona heri amege ardhi awape watu wa nje na wao wamasai wakose pa kufugia mifugo yao. Unawashauri wamtafute mtu kama huyo wampe urais?
 
Wananchi wa Geita ni maskini licha ya dhahabu kuchimbuliwa na wazungu. Sasa wazungu wamebadilika uchumi wao na kuwa matajili kwa sababu ya dhahabu ya Geita. Wananchi wa Geita bado ni maskini na hawana tumaini kuondokana na umaskini wao.
Unawashauri wamtafute kiongozi mwingine mwenye uzoefu wa mambo ya nje awe rais kwa miaka mingine kumi.
Huenda sijaelewa labda.

--- On Thu, 5/9/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 9, 2013, 6:04 AM

Katika anga ya kimataifa kwa sasa hivi Tanzania tuna waziri ya mambo
ya nje na ushirikiano wa kimataifa mhe ben membe na huyu dr mahiga –
angalau kwa sasa kwenye masuala ya kimataifa hawa wawili ndio
wanaonyoosha mambo yetu kwa kiasi Fulani .

mNAkumbuka mwaka 1995 aliyemrithi mwinyi ni mhe mkapa aliyewahi kuwa
waziri wa mambo ya nje , aliyemrithi mkapa akawa jk na kwa jinsi mambo
yanavyoenda mwaka 2015 tusije kuwa surprised .

Yote tisa kumi ni kwamba jumuiya ya kimataifa inapenda watu
inaowajua .

On May 9, 3:49 pm, isack mchungu <isackmn1...@gmail.com> wrote:
> Sio kwamba humu nchini hatuna watu wazuri hata CCM kuna watu wazuri TATIZO
> NI MFUMO WA KIONGOZI NDANI YA CHAMA HICHO.
>
> 2013/5/9 paul lawala <pasamila292...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Hii kanuni ya kutoa shilingi huwa naisikia tu,ila sijaijua kiundani
>
> > 2013/5/9 anna nyanga <lugua...@yahoo.com>
>
> >> Watanzania, wakati wa kuangalia sura umepitwa na wakati.
>
> >> Ni vizuri kutumia wakati huu kabla ya uchaguzi kuweka bayana ni Tanzania
> >> ya namna gani tunahitaji.. Tutengeneze sifa za Tanzania tunayoitaka kwanza.
> >> Then hao mnaowanadi sasa hivi tuone je wataweza kutengeneza Tanzania
> >> tunayoitaka.
> >> Tunataka Tanzania bora sio bora Tanzania.
>
> >> Ila tusisahau Tanzania iliyobora inajengwa na Watanzania walio bora. Tuwe
> >> wa kweli na nchi yetu.
>
> >>    *From:* Bariki Mwasaga <bmwas...@gmail.com>
> >> *To:* wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >> *Sent:* Thursday, May 9, 2013 2:11 PM
> >> *Subject:* Re: [wanabidii] URAIS 2015 - Dr Augustine Philip Mahiga
> >>  **
> >> Adding in the list Samuel Sitta**
> >> Reference - Tanzania Daima 09/Mei/2013****
> >> Sitta amuokoa Nchimbi
> >> •  Makombora ya Lissu yamtoa jasho
> >> **
> >> na Edson Kamukara
>
> >>        WAZIRI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Samuel Sitta, juzi
> >> alimuokoa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, dhidi ya
> >> makombora ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA).
> >>  Busara za Sitta ndizo zilizomfanya Lissu abadilishe nia yake ya kuondoa
> >> shilingi kwenye bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
> >>  Hatua hiyo ilikuja wakati Bunge limekaa kama kamati kupitia vifungu vya
> >> wizara hiyo, ambapo Lissu alitaka Waziri Nchimbi afafanue serikali
> >> imetekelezaje mapendekezo ya tume yake iliyoongowa na Jaji Ihema pamoja na
> >> ile ya Haki za Binadamu zilizoshauri Jeshi la Polisi kusukwa upya ili
> >> lifanye kazi bila kufuata matakwa ya wanasiasa wa chama tawala.
> >>  Lissu alitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa kikao hicho, Anne Makinda, kuwa
> >> anakusudia kuondoa shilingi kwenye mshahara wa Waziri Nchimbi endapo majibu
> >> yake yataendelea kuwa mafupi na mepesi.
> >>  Hata hivyo, kama alivyokuwa amejibu mapema wakati akihitimisha hoja za
> >> wabunge, Nchimbi alisema ni kweli kwamba Jeshi la Polisi halipaswi kufanya
> >> kazi kwa maelekezo ya wanasiasa na kwamba ndiyo sababu Kamanda wa Polisi wa
> >> Mkoa wa Iringa, Michael Kamuhanda, anaendelea kuwa kazini.
> >>  Nchimbi aliongeza kuwa ripoti hizo wamezisoma lakini wanajipa muda
> >> kuzifanyia kazi, kwani endapo watakurupuka pasipo kuangalia mazingira
> >> mwisho wake unaweza kuwa mbaya.
> >>  "Unajua ukikutana na mtu aliyetoka kuombwa rushwa na trafiki halafu
> >> ukamuulizia utendaji wa jeshi hilo, atakwambia hakuna watu wabaya kama hao.
> >> Lakini ukikutana na dereva aliyepata ajali akakatika mguu halafu akaokolewa
> >> na trafiki, ukimuuliza kuhusu utendaji wa jeshi hili, atasema hakuna watu
> >> wazuri kama hao," alisema.
> >>  Hivyo, Dk. Nchimbi alisema ripoti hizo hawawezi kuzifanyia kazi moja kwa
> >> moja bali wanapima kuona wakati zinafanyiwa kazi wajumbe waliegemea kwenye
> >> nini.
> >>  Majibu hayo yalimwinua tena Lissu na kutoa hoja ya kuondoa shilingi
> >> akisema Waziri Nchimbi ametoa maelezo ya mzaha wakati tume aliyoiunda yeye
> >> na ile ya Haki za Binadamu iliyoundwa na rais ni kwanini wameshindwa
> >> kuzifanyia kazi.
> >>  Hoja hiyo iliungwa mkono na wabunge wengi wa upinzani ambao walianza
> >> kuichangia wakidai jeshi hilo linafanya kazi kwa maelekezo ya wanasiasa,
> >> hata kufikia hatua ya kushindwa kuwachukulia hatua vigogo wa CCM kwa amri
> >> za wakuu wa mikoa na wilaya.
> >>  Kabla ya Waziri Nchimbi kujibu hoja hizo, Makinda alimuita Waziri Sitta
> >> ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya waziri mkuu ili aweze kutoa maelezo
> >> kuhusu sakata hilo.
> >>  Sitta alisema wanasiasa wanapaswa kuwatendea haki wananchi, akifafanua
> >> kuwa: "Hapa kuna tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, kuna tuhuma nzito
> >> dhidi ya serikali ya CCM na zinatolewa na wenzetu wabunge tunaowaheshimu
> >> kutoka upande wa upinzani.
> >>  "Nataka kushauri mheshimiwa mwenyekiti, kanuni ya 103 si mahala pake
> >> kuzungumza jambo zito namna hii, kwa sababu inahitaji hoja ikae vizuri, iwe
> >> na ushahidi, majibu yawepo."
> >>  "Sasa wakati wa kuondoa shilingi tuzungumze suala la polisi kutumiwa na
> >> wanasiasa, na pande zote ziweze kupeana taarifa kulingana na mujibu na
> >> pengine upande wa serikali wana jambo la kusema, maana tunakerwa na kauli
> >> za viongozi wa vyama vingine wanaotoa eti saa 24 fulani aondoke," alisema.
> >>  Alisema kuwa kuna wanasiasa wanataka kuonesha serikali haifai, ni
> >> goigoi, kwamba hakuna serikali inayoendeshwa hivyo.
> >>  "Sasa haya ukiyachanganya ni furushi kubwa kwa wananchi wetu,
> >> ningemshauri Mheshimiwa Lissu atumie kanuni nadhani ya 53, apewe nafasi
> >> kwenye mkutano ujao alete hoja binafsi kwa mujibu wa kanuni, tuwe na muda
> >> wa kuijadili vizuri na tutoe majibu yanayostahili," alisema Sitta.
> >>  Hoja hiyo ilikubaliwa na Lissu akisema kuwa Sitta ametoa majibu
> >> yanayoeleweka, ambayo si ya kuokoteza kama ya Dk. Nchimbi, maelezo ambayo
> >> baadaye yaliruhusu kikao kuendelea na kupitisha vifungu na hatimaye
> >> kuipitisha bajeti ya wizara hiyo.
> >> **
> >> ****
> >> ****
> >> On 9 May 2013 13:10, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:**
>
> >> Add my name on the list!
> >> ****
> >> On Thu, May 9, 2013 at 10:03 AM, Bariki Mwasaga <bmwas...@gmail.com>wrote:
> >> **
>
> >> Potential candidates**
> >> ****
> >> On 9 May 2013 13:01, denis Matanda <denis.mata...@gmail.com> wrote:**
>
> >> Sijaelewa. Unamaanisha kuwa anafaa kuwa rais 2015?
> >> ****
> >> On Thu, May 9, 2013 at 9:55 AM, Yona Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:**
>
> >> *Augustine Philip Mahiga* (born 28 August 1945) is a Tanzanian<http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania> diplomat.
> >> He is the current United Nations<http://en.wikipedia.org/wiki/United_Nations> Special
> >> Representative and Head of the United Nations Political Office for
> >> Somalia <http://en.wikipedia.org/wiki/Somalia>.
>
> >> Mahiga is a former Permanent Representative of Tanzania to the United
> >> Nations<http://en.wikipedia.org/wiki/Permanent_Representative_of_Tanzania_to_...>
> >> .[1] <http://en.wikipedia.org/wiki/Augustine_Mahiga#cite_note-1> He is
> >> married and has three children.
> >> In 1971, he earned a Bachelor of Arts (Education) at the University of
> >> East Africa <http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_East_Africa> in Dar
> >> es Salaam <http://en.wikipedia.org/wiki/Dar_es_Salaam>. That same year,
> >> Mahiga completed his Masters of Arts at the University of Toronto<http://en.wikipedia.org/wiki/University_of_Toronto> (U
> >> of T). He received his PhD in International Relations in 1975 from U of T.
> >>http://en.wikipedia.org/wiki/Augustine_Mahiga
>
> >>    - Biography of Ambassador Mahiga<http://www.tanzania-un.org/dynamicdata/data/docs/cvmahiga%20short%20f...>
> >>    - Interview with Augustine Mahiga<http://www.english.rfi.fr/africa/20110127-somali-tfg-must-extend-its-...>
> >>     - Radio France Internationale<http://en.wikipedia.org/wiki/Radio_France_Internationale>
>
> >> **
> >> --
> >>http://www.wejobs.blogspot.com/Jobs in Africa
> >>http://www.jobsunited.blogspot.com/International Job Opportunities
> >>http://www.naombakazi.blogspot.com/
> >>  --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@goo glegroups.com>Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@goo glegroups.com>
> >> .
>
> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> >> --
> >> Wasalaam,
>
> >> Denis Matanda,
> >> Mine Planning Supt,
> >> Tanzania.
>
> >> *" Low aim, not failure, is a crime"*
> >>  --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@goo glegroups.com>Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@goo glegroups.com>
> >> .
>
> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> >> ******-- **
> >> Bariki G. Mwasaga,**P.O. Box 3021,**Dar es Salaam, Tanzania**+255 754
> >> 812 387**
> >> -- ** Send Emails to wanabidii@googlegroups.com**  ** Kujiondoa Tuma
> >> Email kwenda ** mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com<wanabidii%2Bunsubscribe@goo glegroups.com>Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >> **  ** Disclaimer:** Everyone posting to this Forum bears the sole
> >> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> >> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> >> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
>
> ...
>
> read more »

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment