Wanabidii,
Kwa hili naomba kusema kidogo. Kwanza niungane na Anna Nyanga kuwa tunatakiwa kuziona opportunities na kuzidaka pale inapobidi. Kama unao uwezo usiwe na mashaka. Jitokeze. Pambana. Kama kazi. Ifanye vizuri. Jenga ngazi kuelekea kwenye mafanikio na fursa zaidi.
LAKINI: tunahitaji kuwa makini sana. Baadhi ya hawa watu wanakusanya CV za watu na kuzitumia kuwaibia watu. Wataweka CV yako kwenye page ya kuwa na wewe ni sehemu ya "Editorial Board" kumbe huna hata habari na kinachoendelea huko. Pamoja na kuwa ninakubali kuwa nafasi ikitokea tusiilazie damu, nashauli umakini zaidi kabla hatujalizwa. Sio dhambi kuchukua muda na kufanya ka utafiti kidogo kabla hujaingia kichwakichwa.
Ili kuonyesha ninachomaanisha, tafadhali fuata kiunganishi hiki hapa chini. Najua wengi wanaweza kulizwa kwa kutokuwa proactive:
http://scholarlyoa.com/2013/05/02/horizon-research-publishing-corporation/
Mbarikiwe!
Kim

On 5/22/2013 11:13 PM, anna nyanga wrote:
--Wanabidii, si kweli kama reviewer ni waandishi wazuri. Sasa hivi ni kazi kama kazi nyingine.Ukiwa reviewer utapewa miongozo ya unachotakiwa kufanya. Mara nyingi unareview kazi zilizo kwenye field yako na si vinginevyo.Nawaombeni tuanze kubadilika na kuziona fursa. Tusikae kukatishana tamaa. Ukiona una sifa na una muda omba.Wakati umefika wa kufikiria makubwa. Kuna watu wanaishi kwa kurekebisha lugha tu mfano editing cost 1 hour mtu anaramba 100 Euro.Nilikuwa nasoma sababu 17 ambazo matajiri na masikini wanatofautiana. Leo naomba niziseme tatu.1.Rich think big while poor think small2. Rich focus on oppotunity while poor focus on obstracles3.Rich constantly learn and grow while poor think they know it all.Nawatakia usiku mnono.
From: Lugano Wilson <luganowilson@gmail.com>
To: intelligentnet@googlegroups.com
Cc: NGO afya club NGO <afya-club-2310@googlegroups.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, May 21, 2013 4:15 PM
Subject: [wanabidii] Re: FW: Horizon Research Publishing: Call for Editorial Board Members/Reviewers/Editor-in-Chief
Luganohawa wamarekani wanataka kuwaombaomba kila siku!hiusually Journals do look for reputable reviewers from known/reputable Journals. those who publish frequently are the best reviewers
--
On Tue, May 21, 2013 at 11:21 AM, Africa j bwamkuu <jbwamkuu@gmail.com> wrote:
FYI--
---------- Forwarded message ----------
From: Bwamkuu, Africa <A.Bwamkuu@kit.nl>
Date: Tue, May 21, 2013 at 10:09 AM
Subject: FW: Horizon Research Publishing: Call for Editorial Board Members/Reviewers/Editor-in-Chief
To: "Africa j bwamkuu (jbwamkuu@gmail.com)" <jbwamkuu@gmail.com>
Africa Bwamkuu
From: joinus@hrjoin.org [mailto:joinus@hrjoin.org]
Sent: dinsdag 21 mei 2013 5:43
To: Bwamkuu, Africa
Subject: Horizon Research Publishing: Call for Editorial Board Members/Reviewers/Editor-in-ChiefDear Colleague,Horizon Research Publishing, USA (HRPUB) is a worldwide open access publisher serving the academic research and scientific communities by launching peer-reviewed journals covering a wide range of academic disciplines.We are seeking to establish a new international Editorial Board. If this experience sounds interesting to you, please complete the downloadable application form, and send it to joinus@hrpub.org. Once you are selected for an editorial board member/a reviewer, three manuscripts can be published free of charge every year.Apply for Membership ( Editorial Board Members / Reviewers / Editor-in-Chief )(1) Download the membership application form .
(2) Complete and send the application form to joinus@hrpub.org .
Look forward to receiving your application.Yours sincerely,
Horizon Research Publishing , USA
joinus@hrpub.org
http://www.hrpub.org---
If you no longer wish to receive email from us, please click this link
--
Africa Jumanne Bwamkuu
Information and Communication Technology Advisor/Trainer
Information Reseach & Advisory Services, ILS
Royal Tropical Institute (KIT), Amsterdam, Netherlands
Tel. +31 (0) 20 568 8311
Mob: +31 (0)6 443 67051
Alternative e-mail: a.bwamkuu@kit.nl
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "IntelligentNet" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to intelligentnet+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
************
Lugano
UDSM
Tanzania
tel. +255 2410 369
mob. +255 786 7710 56
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment