Sunday 5 May 2013

Re: [wanabidii] KANISA LALIPULIWA JIJINI ARUSHA

Kilikuwa ni kigango wakristo wakajichanga na kujenga kanisa kubwa na palikuwa na ugeni(balozi)kutoka Vatican alikuja kuzindua kama mgeni rasmi,majeruhi ni wengi ila vifo bado havijathibitishwa mpaka sasa hivi.Ni eneo la Olasiti kwa wakaazi wa Arusha au wanaoifahamu Arusha

2013/5/5 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Nukuu kutoka Redio Maria

....watu wengi wamejeruhiwa miguu

......ni mlipuko

.....Olasiti Arusha

...kitu kilirushwa au kutokea chini kwenye moramu iliyo mwagwa....

....kuna watu wanahisiwa kuja eneo la tukio kwa gari na kurusha hiko
kitu na kukimbia kutokomea na gari...maelezo ya mtoto mdogo anaye
sadikiwa kuona watuhumiwa....

...watoto wengi na kina mama wamejeruhiwa....

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/445711-mlipuko-mkubwa-watokea-kwenye-kanisa-katoliki-arusha-watu-kadhaa-wajeruhiwa-9.html#post6284573

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment