Tuesday 16 April 2013

[wanabidii] UGONJWA WA UKURUTU/UPELE WA MIFUGO NA BINADAMU (MANGE)

Ukurutu(mange) ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukizwa wenye dalili kuu
zifuatazo: ngozi kuwa ngumu yenye magaga, ngozi kuwasha sana na
kupotea kwa nywele/au manyoya unaosababishwa na wadudu wadogo sana
wanaoingia na kukaa ndani ya ngozi. Wadudu hawa wanajulikana kama
"mange mites", lakini kuna aina tofauti zinazosababisha ugonjwa huu
kulinga na aina ya mfugo mdudu anaoshambulia. Mwanadamu pia anaweza
kuupata ugonjwa huu na ipo aina moja ya menji inayoweza kumshambulia
mwanadamu inayoitwa kitaalamu Sarcoptes scabiei. Kwa daalili na jinsi
ya kupambana nao pamoja na mambo yahusuyo mifugo na ufugaji soma hapa
http://www.achengula.blogspot.com/

--




*To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To
all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment