Tuesday 16 April 2013

RE: [wanabidii] Re: Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujengachuo cha viongozi wake

Thank you

 


From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Kajungu Nicomedes
Sent: Tuesday, December 14, 2010 3:32 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujengachuo cha viongozi wake

 

On 10/12/14 14:23, Jones Nyakwana wrote:

Mimi binafsi pamoja na uwezo wangu mdogo nilionao haitaniingia akilini kuwa Serikali za Mseto ni solution ya matatizo ya Wazanzibar na Afrika katika ujumla wake. kimsingi sioni pointi ya Hamad kama itaijenga Zanzibar. ni bora CUF ingekaa pembeni na kuiacha CCM ikatekeleza ilani yake kama CHADEMA ilivyofanya Bara. Kamwe sikubaliani na hoja kuwa serikali ya umoja imekuja baada ya watu wa visiwani kuingia katika machafuko kwa CUF kuibiwa kura.

naomba niulize maswali hapa "Hivi katika uchaguzi wa mwaka huu huko Zanzibar ni CUF imepata kura nyingi au CCM? na kama kulingana na maelezo ya uongozi wa CUF kuwa ni CCM ndo imeshinda, je ni kwanini CUF walete fujo pale ambapo wanatambua kuwa wameshindwa na kusingizia kuibiwa kura? na je, ni lini CUF itashinda kama makubaliano yanaonyesha kuwa hata kama CCM inashinda CUF pia wana nafasi na hakuna haja ya fujo? na kama CCM wameweza kuwaingiza CUF nyavuni kwa kiasi hiki je, CUF hawaoni kuwa ni rahisi kwa wao kuendelea kuwa washindi wa pili hata kwa wizi? au siku wakichoshwa na tabia ya wizi nini itakuwa tiba mbadala kama tayari wameshaitumia opportunity ya kwanza i.e. Serikali ya mseto.

Lakini swali langu kubwa ni kuwa kati ya Seif na Wazanzibar ni nani alikuwa mwanzilishi wa fujo za Zanzibar? Binafisi naamin kuwa kama Seif angelikubaliana na hali hata wafuasi wake wangetulia, Hali kadharika Dr Slaa ndo alikuwa mhimili wa Watanzania, uhakika nilionao ni kuwa kama Slaa angetaka Tanzania ilipuke ingelipuka. Je, ni kwa nini Seif hakutumia busara kama ya Slaa badala yake aliwapeleka wazanzibar katika fujo na sasa ni sehemu ya Serikali. Je, atatekeleza na kusimamia ilani ya nani"? na mgombea wa CUF ajae atakubali fujo na kukosa nafasi ya Makamu wa kwanza wa rais au naye ataomba kuwa ni bora nafasi ili uende zako?

 

Mwisho naomba Hamad Rashid atoe ufafanuzi ni kwanini wanahitaji ushirikiano na CHADEMA katika hatua hizi wakati pamoja na CHADEMA kutokusimamisha mgombea Zanzibar wao hawakuwa tayari kujitoa katika sehemu za bara ambazo CHADEMA ilionekana kuwa na nguvu hata katika nafasi ya Rais na kupelekea kupeteza nafasi nyingi majimboni.

 

Naomba kwa sasa nikomee hapa na kwa yeyote mwenye majibu karibu.

 


From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tue, 14 December, 2010 13:16:17
Subject: Re: [wanabidii] Re: Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujengachuo cha viongozi wake

Unaweza kutoa details kwetu tusio na habari hiyo? Uchakachuaji wa namna gani unaozungumziwa?

2010/12/14 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>

Mhe Hamad Rashid Karibu tena

Nimesikitika sana na taarifa za kuchakachuliwa kwa CD YA MDAHALO ule -
Naamini walioendesha mdahalo pamoja na wengine watakuwa na mengi ya
kuongelea suala hilo , kweli ni aibu


On Dec 14, 8:54 am, h4moham...@yahoo.com wrote:
> Kupewa na sa odo ccm mpevu sio dhambi lakini kuheshimu maamuzi ya wazanzibari ya kutaka chama chochote kinacho shinda kiunde serikali ya umoja wa kitafa huo ni u ccm.mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu.cd ya mdahalo nayo inachakachuliwa .udumila kuwili kutalizamisha taifa letu walilotuachia nyerere na karume
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania
>

> -----Original Message-----
> From: John Nkumbaruko <nkumbar...@yahoo.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sat, 11 Dec 2010 08:25:18

> To: meena neville<nevill...@yahoo.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Cc: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Fw: [wanabidii] Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujenga
>  chuo cha viongozi wake
>
> Dear Nd. Neville,
> Kwa kweli tunakushukuru kwa maelezo yako muruwa. Kwa hakika sote tunaamini kuwa
> Mzee Sabodo ni mtu wa kupigiwa mfano kwa ushujaa wake na kwa roho yake ya kutoa.
> Kutoa sio hoja kuwa uwe unacho kingi. Unaweza ukawa unacho na usiweze kutoa na
> kwahivyo ni lazima tumpe hongera Mzee Sabodo kwa msaada wake. Lakini, suala la
> msingi lipo pale pale, labda wazee wa Chama chetu wanaweza kutuelekeza, kwani
> mazungumzo haya sio juu ya mchango, bali ni juu ya kiwango cha mchango - yaani,
> je, watu binafsi wanaweza kutoa amount yoyote ile ya hela na Chama chetu
> kitapokea tu kama ni hela safi?
> Au, madamu harusini watu hawawekewi kiwango, kama anavyosema Bw. Niocodemus
> Eatlawe, basi na kwenye Chama chetu iwe hivyo hivyo?
> Mwenye kujua atueleze.
> Kila la kheri.
> //Nkumba.
>
> ----- Forwarded Message ----

> From: meena neville <nevill...@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Sat, December 11, 2010 11:20:35 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujenga
> chuo cha viongozi wake
>
> Uchangiaji wa vyama au shughuli za kisiasa ni utaratibu wa kidunia. Hii leo
> ukiamua kusearch, utawafahamu waliomchangia Obama hadi akaweza kuingia
> madarakani. Bush halikadhalika na viongozi wengi wengine duniani. Fedha
> zinatolewa na wachangiaji wa namna hii mara nyingi huchunguzwa ili kubaini usafi
> wake. na kwa wenzetu suala la kodi hupewa kipaumbele, kwa maana kwamba mtu
> anayechangia shughuli za kisiasa hapaswi kuwa mkwepaji wa kodi na ufisadi wa
> aina nyingine.
>
> Kwa bahati mbaya sina uhakika iwapo watu wanaochangia CCM (kama wapo) wanafanya
> hivyo kwa uwazi wa kiwango gani? Na kama wanatoa fedha hizo kwa kificho au kwa
> uwazi, je fedha hizo wanazotoa ni safi kwa kiasi gani? 
>
> Mimi binafsi sina wasiwasi na fedha za Sabodo kwa sababu ni mtu ambaye anatoa
> msaada huo wa mbele ya umma bila kificho. Kwa kufanya hivyo anatoa fursa nzuri
> kwa vyombo husika kuchunguza vyanzo vyake vya fedha ili kubaini kama ni safi ama
> ni chafu. Suala la kiwango ambacho mtu anaweza kukichangia chama siwezi
> kulizungumzia sana, labda wenye uzoefu katika nchi nyingine watwambie nchi
> hizo zinafanyaje. 
>
> Lakini katika nchi yenye demokrasia changa kama yetu, watu kama Sabodo ni wa
> kupigiwa mfano kwa uthibutu wa kuchangia wapinzani kwa uwazi bila kificho na
> bila kujadi mtazamo hasi wa wahafidhina ndani ya CCM na serikali yake. Ni fursa
> kwa wengine kujifunza.  
>  
> Neville C. Meena,
> Dar es Salaam -Tanzania.
> Cell(s) +255 -715 - 339090
>              +255 -787 - 675555

>  E-Mail(s) nevill...@yahoo.com
>                   nevill...@hotmail.com 
>
> ________________________________
> From: John Nkumbaruko <nkumbar...@yahoo.com>
> To: alade maluli <mnyil...@gmail.com>

> Cc: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Sat, December 11, 2010 4:19:02 PM
> Subject: Fw: [wanabidii] Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujenga
> chuo cha viongozi wake
>
> Nd. Alade,
> Hakuna mtu aliesema kuwa Bw. Sabodo anataka kuiteka Chadema. Hapa tunaizungumzia
> hii trend inayoanza ya Chama kukubali mihela kama hii kutoka kwa watu binafsi na
> sio tunamzungumzia mtu mmoja. Trend hii mwishowe italeta uozo kwenye chama
> chetu. Hivyo kwani unadhania JK anaupenda ufisadi unaotokea nchini? Lakini
> hawezi kufanya kitu, kwasababu japokuwa mnamuona kwenye gari zuri, mikono yake
> yote miwili imefungwa kamba kwa nyuma. Sasa, tujiulizeni akina nani hao
> waliomfunga kamba na waliweza vipi kumfunga kamba Rais wetu?
> Je, tunataka Rais wa Chadema katika 2015 awe anatembea mitaani na huku mikono
> yake yote miwili imefungwa kamba kwa nyuma?
> //Nkumba.
>
> ----- Forwarded Message ----

> From: alade maluli <mnyil...@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Fri, December 10, 2010 3:21:07 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujenga
> chuo cha viongozi wake
>
> Kwa uelewa wangu mtu mwenye nia mbaya akitaka kukiteka chama angeaza
> kukichangia kwa kificho na hasa kuwawezesha wanachama mmoja mmoja ili
> wapate uongozi na hapo baadae waje wamkumbuke, kwahiyo kwangu mimi
> wachangiaji wa aina ya sabodo ndio hasa wanahitajika zaidi, kwanjia
> hii pia inasaidia kupunguza mazingira ya kutumia vibaya misaada na
> michango ambayo chama kinapokea
>

> On 12/10/10, John Nkumbaruko <nkumbar...@yahoo.com> wrote:
> > Jamani, hizi ni habari nzuri kwa sisi wanachama wa Chadema, lakini kwa
> > upande
> > wapili sio habari nzuri kabisa. Mtu binafsi au hata Shirika fulani
> > lisikubaliwe
> > kuchangia hela kiasi hicho. Kwa kweli sifahamu huyu mtu anachangia pesa kama
> > hizo au anatoa msaada wa helicopter nzima kwa kutusaidia au anataka mbeleni
> > aje
> > kuomba some favours from us?
>
> > Kumbukeni kuwa CCM iliharibiwa hivi hivi. Watu wakawa wanakichangia
> > mamilioni ya
> > fedha mpaka mwisho wakubwa wa CCM wakawa hawana sauti kwao kwa lolote na
> > ndio
> > maana ufisadi ukashamiri bila ya kukaripiwa, kwani, he who finances you owns
> > you!
> > Kama mwanaChadema, ninamshukuru Mzee Sabodo from the bottom of my heart na
> > sitaki kuukejeli huu msaada wake na wa wengine, lakini kwa nia nzuri
> > nawaomba
> > viongozi wetu wa Chadema wa-limit amount ambayo mtu anaweza kukisaidia chama
> > chetu ili nasi tusije kukumbwa na matatizo kama ya CCM.
> > Milioni moja mpaka 10 zinatosha. Zaidi ya hapo you will stand out na itabidi
> > tukufadhili baadae baada ya kupata serikali yetu!
> > I am just thinking aloud!
> > //Nkumba.
>
> > ----- Forwarded Message ----
>

> > From: Katulanda Frederick <fkatula...@gmail.com>
> > To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> > Sent: Fri, December 10, 2010 12:37:50 PM
> > Subject: [wanabidii] Sabodo achangia milioni 100 kwa Chadema ili kujenga
> > chuo
> > cha viongozi wake
>
> > News Bulletin TBC1: usiku saa 2:16;
> > Chama cha Chadema wamemtunukia Mzee Sabodo, ngao ya heshima kwa kuthamini
> > mchango wake kwa chama chao, lakini pia imeelezwa kuwa Mzee Sabondo
> > amekichangia
> > tena chama hicho kiasi cha sh. mil 100 kwa ajili ya kukisaidia kuanzisha
> > ujenzi
> > wa chuo cha Viongozi ambacho wanatarajia kukijenga. Hii itakuwa mara ya tatu
> > kwa
> > Mzee Sabodo kuchangia chama hicho ambapo wakati wa uchaguzi aliweza
> > kukichangia
> > Chadema jumla ya sh. milioni 200.
>
> > --
> > Frederick M. Katulanda
> > Mwananchi Newspapers,
> > Mwananchi Communications Limited,
> > Lake Zone Bureau, Mwanza-TANZANIA.
> > Tell: +255 28 2540939.
> > Fax: +255 28 2540939.
> > Cell: +255 784 642620,
> > Alternative:+255 754 642620

> > E-mail: fkatula...@yahoo.com

> > Web:www.mwananchi.co.tz
>
> > --

> > Tembeleawww.naombakazi.comKwa nafasi za kazi kila siku

>
> > DISCLAIMER:  The contents and opinions expressed in this email are solely
> > those
> > of the author and do not represent those of the Moderator
>
> > To unsubscribe from this group, send email to
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> > --

> > Tembeleawww.naombakazi.comKwa nafasi za kazi kila siku

>
> > DISCLAIMER:  The contents and opinions expressed in this email are solely
> > those of the author and do not represent those of the Moderator
>
> > To unsubscribe from this group, send email to
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> --
> Sent from my mobile device
>
> --

> Tembeleawww.naombakazi.comKwa nafasi za kazi kila siku

>
> DISCLAIMER:  The contents and opinions expressed in this email are solely those
> of the author and do not represent those of the Moderator
>
> To unsubscribe from this group, send email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> --

> Tembeleawww.naombakazi.comKwa nafasi za kazi kila siku

>  
> DISCLAIMER: The contents and opinions expressed in this email are solely those
> of the author and do not represent those of the Moderator
>  
> To unsubscribe from this group, send email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> --

> Tembeleawww.naombakazi.comKwa nafasi za kazi kila siku

>  
> DISCLAIMER: The contents and opinions expressed in this email are solely those
> of the author and do not represent those of the Moderator
>  
> To unsubscribe from this group, send email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> --

> Tembeleawww.naombakazi.comKwa nafasi za kazi kila siku

>
> DISCLAIMER:  The contents and opinions expressed in this email are solely those of the author and do not represent those of the Moderator
>
> To unsubscribe from this group, send email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

--
Tembelea www.naombakazi.com Kwa nafasi za kazi kila siku

DISCLAIMER:  The contents and opinions expressed in this email are solely those of the author and do not represent those of the Moderator

To unsubscribe from this group, send email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com




--

Wasalaam

 

Denis Matanda,

Snr Eng,

RTL -  Nzega.

P.o box 390

Nzega - Tanzania.

 

" Low aim, not failure, is a crime"


--
Tembelea www.naombakazi.com Kwa nafasi za kazi kila siku
 
DISCLAIMER: The contents and opinions expressed in this email are solely those of the author and do not represent those of the Moderator
 
To unsubscribe from this group, send email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com


--
Tembelea www.naombakazi.com Kwa nafasi za kazi kila siku
 
DISCLAIMER: The contents and opinions expressed in this email are solely those of the author and do not represent those of the Moderator
 
To unsubscribe from this group, send email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

Johnes,
Uwezo wako ni mdogo katika lipi? Unafahamuukishatanguliza udhaifu wako hata wanabidii hasa mimi, unawanyima hamu ya kufuatilia mchango wako ulioutoa jukwaani? Wakati mwingine nafikiri mtu mwenye uwezo mdogo inawezekana hata ujumbe unaoandikwa anakuwa ameandikiwa kwenye karatasi naye ana nakili kwenye mtandao. Tujifunze kujiamini tunapotoa mchango wa mawazo yetu, tusiogope kukosolewa. Kama haujafanya utafiti wa unachotaka kuandika usiandike,kuliko kuandika huku ukitanguliza hofu ya uwezo kuwa mdogo. Sipendi tabia hii naomba ikome mara moja.

0 comments:

Post a Comment