Tuesday 9 April 2013

Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja

Ninaomba tuendelee kama jamii ilivyokubali huko nyuma-kuchinja waislamu kwa ajili ya bucha za umma, sherehe za umma. Katika ukoo au kaya-ndugu daima waliruhusu ndugu zao waislamu kuchinja ili wale pamoja. Ndoa za waliopendana wa dini mbali mbali ziendelee kama kawaida nao huko wataamua nani wa kuchinja na watoto watafuata mazingira gani au upande upi wa dini. Hata katika tafiti tulizofanya tulikuta watoto walipokuwa walifuata dini waliyopenda. Pia waligawanyika katika mila pale ambapo baba na mama walikuwa wa kabila tofauti. Baba na mama waliamua kugawana watoto wa kucheza unyago. Unakuta wasichana hawa wamekwenda kuchezwa kwa mama hawa kwa baba na wamepitia mila tofauti. Familia moja watoto hawa wakike wamekeketwa hawa hawakukeketwa. wazazi walieleza ni kutokana na kugawana wakati wa kuwaingiza mila kila mtu alikwenda kucheza kwao kufurahisha ukoo wake. Sasa hii ya kuchinja na kuoana kama zilituunganisha huko nyuma-kibwengo gani sasa atuanzishie vita kama siyo mtu mnafiki na mzandiki, mbinafsi mwenye haja ya sifa asizostahili kuzipata? Ukiwa unacjinja ujilie mwenyewe ndani kwako-jirani inamuhusu nini kama hajakaribishwa kula. Kama unaona bucher ni ya mkristu amechinja mwenyewe, amua tu usiende kununua kitu huko, susa hata kununua bidhaa zao wazinunue wenyewe. Fanya yako unayoyaweza kwa utulivu na amani, jirani yako mwache afanye yake mradi tu asivunje amani na kudhuru wengine. Akabe, ale mwenyewe na wenzake kanisani kwao-waache ama sivyo utaleta vurugu unless uwe unavitamani-hilo ni tatizo lako.

Ms Hildegarda Lucian Kiwasila,
Institute of Resource Assessment,
P.O BOx 35097 Dar Es Salaam,
Tanzania.
Email: khildegarda@yahoo.co.uk
lphildegarda2009@googlemail.com
+255-22-2410144 Ext2422
+255762544553/754763803

--- On Mon, 8/4/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 8 April, 2013, 2:38

Pengine ni ulevi wa amani kama ambavyo tumeshuhudia uhuru wa
kupindukia wa marekani hadi wanadai haki ambazo bibi yangu angefufuka
ghafla angezimia kwa mstuko mkubwa. Miaka yote tumeheshimiana na
kustahiana kwa imani zetu. Nikiwa nimekulia katika familia ya
wakatoliki wenye mapadre na masista haikuzuia kuwa na wachungaji na
haikuzuia kuwa kuolewa na kuoa waislam. Katika familia yenye
mchanganiko wa namna hii kila mtu anajua mipaka ya mwenziwe. Shemeji
yangu akinitembelea siwezi pika kitimoto simply ati kaja kwangu nyumba
ya mkristu. Lakini mwanasiasa anapokurupuka na kutoa kauli ya
kipumbavu na wapumbavu wakaishabikia ndo upumbavu unaoendelea.
Kijijini nakotoka waislam wachache lakini pasaka ngombe lol anachinja
muislam  lakini ukileta upumbavu wa namna hii nitaona kilamtu
akijaribu kumuonyesha mwenzake kuwa anaweza hii ndo roho ya ubinafsi
inayojengwa na majahili yasojali walowaweka madarakani na ndo wanataka
wote tuwe hivyo. Unafiki ni tatizo kubwa sana ndo mana kauli za kama
alivyosema mjumbe zinatawala.

On 4/7/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Wewe una pesa Jom. Ulaya na USA kuna wahamiaji ambapo hawana malazi na
> pakula waliingia kiujanja hawana kazi/ajira na wanakufa njaa. Akikusikia
> unaongea kiswahili na akijua unakaa wapi-utapata tabu atakufuata kuomba
> misaada mnawakwepa. Wapo ambao huishi muda mrefu wazazi au walezi wao
> hawawapelekei hela mpaka mnamwonea huruma na kumsaidia. anakuwa amekwama.
> Wenye uwezo mdogo husubiri vitu vile ghali-kuku, nyama vimeshuka bei sana
> mpaka kuku wa pound tano anafika 50 cents au nusu pound sio mchezo. Na hapo
> unamuweka january to march umewajaza ndani ya fridge lako raha umepunguza
> ukata. Hii hufanyika sana. Muda wao umekwisha ndio bei inashuka sana.
>
> Kukuta masikini wanachukua vilivyotupwa na supermarkets ni kitu cha kawaida
> Ulaya. Mbona omba omba wapo pia. Kuna kila aina ya watu. Yapo maduka pia
> ambayo huuza vitu wapendavyo wageni. Kuko kuna nyama ya mbuzi, samaki za
> kila aina, kuku wa kienyeji, mboga za kila aina bamia, nyanya chungu, sukuma
> wiki, unga wa muhogo, dona, you name it. Kuna open markets zinazouza vitu
> tulavyo huku unajua ni soko lipi, mji gani unafuata. Unajipikia ugali wa
> muhogo, mlenda, wali wa nazi, pilau etc kama upo bongo.Huko kuna kila kitu.
> Hivyo kuokota au kununua vilivyo expire ni mtu binafsi na shida zake zio
> kila mtu. Hata hapa DSM na miji mingine yenye masoko utakuta mfano kariakoo
> kuna vijana wanaochakula maeneo walikoshusha mizigo na kuokota nyanya,
> karoti zilizotupwa, bamia etc. Utawakuta na malundo ya karoti zilizokatwa
> katwa na vibamia, nyanya. Mama Ntilie ndio ananunua malundo hayo na kutumia
> ktk kupika masalo yake maana ni bei rahisi lundo na vitu hivyo. Waliowengi
>  hawanunui zile super, safi ghali. Na butaona watu sokoni wananunua kwa hao
> vijana. Ukienda dampo DSM utakuta nyama zilitotupwa kuwa mbaya kutoka
> machinjio vijana wanachukua hapo dampo na kupika supu na misosi yao.
> Wamejenga, wanalala hapo na ni hatari ikiwa watatumia kuchoma mishikaki na
> kuuza. Sio watu wote waaminifu hulisha wenzao uchafu.  Hata viroba watu wa
> mashine hutumia kuweka unga mchele-vingine re-used, vimeokotwa dampo na
> utaona vinaoshwa pale jangwani kwenye maji ya mto msimbazi machafu kisha
> vinauzwa kwenye mashine za kusaga wanajaza unga. Unakikuta sokoni,
> gengeni-unakinunua kiroba. Mbongo naye mtu wa kujali sana afya za wenzake?
> Tunaumia namna nyingi.
>
> Chakula Kizuri ni kile ununuacho mwenyewe na kukipika kula nyumbani kwako.
> Sio generalization, matukio haya yapo na watu wamelishwa mpaka nyama za
> mbwa. Wenye dhiki ulaya-USA husubiri vinapo-expire au kuisha muda na kushuka
> bei maana muda wake wa kuuzwa umekwisha na unavizoa ndugu yangu!! Huu
> mpambano wa kuchinja-iko namna. Itafichuka tu. Tusiwape nafasi vibaka
> kutenda uovu kwa visingizio vya udini.
>
>
> --- On Sun, 7/4/13, jom <jmataragio@yahoo.com> wrote:
>
> From: jom <jmataragio@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, 7 April, 2013, 1:54
>
> Sipingi hoja yako lakini, supporting statements zako siyo zote zenye ukweli.
> As i said before napenda kusoma post zako lkn una kuwa na generalization
> ambazo zinapotosha, kwa mfano mimi ninaishi nje ya nchi lkn sinunui wala
> kula expired food ila wewe unajumlisha wote tuishio nje tunakula expured
> food.
>
> Sent from my iPhone
> On Apr 6, 2013, at 2:24 PM, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> wrote:
>
>
> Watu Tanzania hula vibudu anyway wawe wakristu au waislamu. Tunaonaga kwenye
> TV na magazeti kuwa baadhi ya kuku wa kizungu au hata wa kienyeji hufa
> wanapokuwa wanasafirishwa nao huchinjwa na kuchanganywa na wale wazima. hata
> baadhi ya mifugo hufa haitupwi bali utumbo uliooza ndio hutupwa. Mizoga hiyo
> huuzwa kwa bei rahisi na ikaingia mahotelini tukajilamba kuku wa kukaanga,
> mbuzi etc na supu ya ndizi asubuhi. Wakati mwingine unaona nyama imebunda
> inanuka au kuku yupo pink babisa na harufu mpaka unamwita mtoa huduma na
> kumrudisha unaona hapana pink colour na harufu imezidi. Haya-hapa panan
> udini kweli?
>
> Hawa watoa huduma wa kupika kwenye sherehe, mahoteli unafikiri vyote
> wapikavyo ni vipya halali hakuna haramu? kama ni vipya-haijatokea ukala
> ukaharisha? Hebu fika Shoprite na supermarket nyingine ukae nje unapunga
> upepo na kuangalia magari na mizifi
>  Canter na Pickups. utaona ya Hoteli yamekuja kuchukua chakula kilicho
> expire kinakwenda kupikwa vyakula vya kisasa mahotelini. Kisa wanunue ghali
> wasipate profit. havitupwi hivyo vya supermarket si bongoland hata Ulaya. Na
> sote wakristu na waislamu tukiwa ulaya ughaibuni husubiri mpaka vime-expire
> muda wake vimeshuka bei sana badala ya $10 kuku kawa $ 1 au 0.50 ndio
> twanunua kwa wingi na anakaa miezi kadhaa january hadi June katika fridge
> lako chumbani na unamuangalia kuku daily kwa tabasamu la kuupiga chenga
> ukata na umasikini wa kukufanya utembelee wenzako kudowea kula. Unamla huyo
> hujui kachinjwaje na ame expire unamuongezea muda wa kuexpire.
>
> Ukikuta kuku, nyama zilizopita muda wake, matunda etc wametupa nje ndani ya
> dustbin la supermarket mnawahi wazungu na waafrika kuzoa kabla mbwa hazijaja
> kupindua na kuziharibu. Ombaomba wa mitaani ndio wanazoa makuku na nyama
> hizo kichizi. Hata hapa TZ ukienda maeneo ya kutupa taka-utakuta wachakura
>  takataka wanaokota nyamba zilizotupwa kule kutoka mazizi ya watu au
> machinjioni zinaokotwa na kuingia vilabuni zinapikwa subu. Nyanya zinaokotwa
> nan kuingia magengeni.
>
> Ulaya-Wanyama wanachinja kwa kisu cha umeme kumpa shock mnyama kwanza
> akazirai kisha kumchinja. Twala wakristu na waislamu huko vyauzwa
> supermarket na tupo hai hadi leo. Na wengi wakimbiao vita vya Boko-haram na
> vita vinginevyo nchi za kiislamu (Afghanistan, Iraq, Egypt etc) na
> nyinginezo zisizo vita wahamiaji hukimbilia zaidi huko Ulaya na USA kwenye
> mataifa ambayo ni ya Katiba za dini za kikristu-mbona hawaogopi kwenda huko
> kwenye nguruwe na madhehebu hayo ya kukaba wanyama?
>
> Binadamu wote mahitaji yao mamoja-Uhuru, Upendo, Amani; kula kushiba,
> Starehe na haja. Usishangae kuona kuwa mmewa utoao unga wa kulevya (cocaine)
> unapandwa na kutumika na kuuzwa au kupatikana kwa waswalihina sana na
> wanalinda mashamba yake kwa mtutu na huku wanasali kwa Mungu wao kila muda
>  unapofika; wanakosali sana au kusema hivyo kuna maovu kibao ambayo yatakupa
> maswali mengi-ubakaji, mauaji ya watu kwa kujilipua; killing for family
> honour; mtu wa dini kubaka na kulawiti vichanga au watoto; kunywa pombe kwa
> kificho; kubaka watu wazima au wasichana kimtandao na kuwazika; kuua watoto
> wako au mwenzi wako ili upate bima etc.
>
> Dini ni kama OPIUM. Mbona maovu ni mengi tufanyao watu wa dini na wa kusali
> sana sasa huko kuchinja ndio kutuletee uzoba mpaka tuuane? Kuna
> lililojificha hapa litaonekana tu muda si mrefu!!
>
>
>
>
> --- On Thu, 4/4/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
>
> From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date:
>  Thursday, 4 April, 2013, 11:34
>
> Hapo sasa! Wakristo wametambua kua kwa mda mrefui wamekua wakilishwa
> 'vibudu' (kwa kukubali kuchinjiwa nyama na watu wa imani zingine na nyama
> hizo zikiwa zimefanyiwa ibada wasizo zijua wala kuziamni).
>
> Hawataki kuendelea kufanya hiyo dhambi. Serikali ituepushe na hili balaa;
> ikubali ukweli huo kua kila kundi lichinje mnyama wake. Asiyejali aende
> butcher yoyote aipendayo.
>
>
>
>         From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>  Sent: Thursday, April 4, 2013 1:19 PM
>  Subject: Re: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
>
>
> Mchokozi nani?
> Anataka watu walishwe vibudu? Yeye atawatetea mbele za Mungu wao atakapokuwa
> anawahukumu?
>
>
> --- On Wed, 4/3/13, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
>
>
> From: Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Vurugu Tunduma Baada ya DC kukataza Kuchinja
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, April 3, 2013, 3:16 AM
>
>
> Vurugu Kubwa zimetokea Tunduma baada ya Mkuu wa wilaya kukataza
> wakristo kuchinja
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You
>  received this message because you are
>  subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment