Wednesday 10 April 2013

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA

Inaonekana wewe mtoa mada sio mwanaCHADEMA bali ni gamba uliyejivika gwanda kwa ajili ya kutumika kukivuruga chama. Kama kweli wewe ni gwanda damu, subiri muda wa uchaguzi ukifika, upeleke hiyo hoja yako mbele ya chama na umtetee huyo Zitto wako kwa hoja hizo dhaifu ujaribu bahati yako kama atapita kwenye mchujo. Huu sio wakati wa kujadili nani anafaa kuwa rais. Tujadili hoja makini zinazohusu mstakabali wa taifa letu na watu wake badala ya kupoteza muda kujadili watu. Tafakari, chukua hatua!

From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, April 10, 2013 3:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA

CANT WE LEAVE THIS ZITTO ISSUE? tuachane nayo.anaeona mtu fulani ni mzuri kwake akamnunulie chai asituletee upuuzi,

2013/4/10 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Huyu aliyeyeta hii mada hapa tayari ni mtumwa wa Udini anajaribu kuingiza kwenye vichwa vya watu mawazo yake. Watanzania tuwapige vita watu wanaotetea hoja zao kwa kuinject udini ndani. Sisis sote ni ndugu na Tanzania ni yetu itaongozwa na mwenye sifa ya kuwa raisi bila kuangalia ni wa dini gani. So long anafaa kuwa raisi
 
Date: Wed, 10 Apr 2013 01:53:50 -0700
From: abachamani@yahoo.com

Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA
To: wanabidii@googlegroups.com

Mama Ananilea Nkya,
Wakati mwingine naona ni vigumu kujadili sifa ambazo zinajulikana kikatiba ila nivema kuwajadili watu wanaodhani wana sifa hizo kama alivyowahi kusema yeye Mheshimiwa Zitto Kabwe kwamba ana hakika anafaa kuwa Amirijeshi mkuu wetu.
Ila nadhani mpaka mwezi Julai ikishatoka rasimu ya katiba tutajua namna nzuri ya kujadili.
Waweza kukuta kumbe sasa ni zamu ya Mzanzibar kuwa Rais.

Walewale.

From: ananilea nkya <ananilea_nkya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 10, 2013 10:47 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA

Hili si jukwaa la kujadili watu, ni jukwaa la kujadili hoja. Zitto siyo hoja, mwacheni kijana huyu afanye kazi zake. Hoja ni urais, sifa za Rais atakayeweza vema  Uras wa Tanzania baada ya Rais wa sasa kumaliza muda wake.
 
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 10, 2013 7:54 AM
Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA

Mhe Zitto Kabwe alishatoa Expression of Interest yake kwahiyo ni
vizuri ajadiliwe kwa namna mbalimbali hata kama wapinzani wake
hawataki maana nao ndani ya chama chao walishaweka misimamo yao .

On Apr 10, 9:48 am, isack mchungu <isackmn1...@gmail.com> wrote:
> JAMANI PAMOJA NA UDINI WENU MUDA WA KUMJADILI NANI AWE BOSI WA NCHI HII
> BADO, 2015 NANI KAIONA? TUZUNGUMZIE MAMBO  YANAYOTUTATIZA SIKU ZA LEO SIO
> MAMBO YA SIKU ZA KESHO,SIKU ZIKIFIKA MTAPIGA KAMPENI KONA ZOOTE ZA NCHI,
> LAKINI KWA SASA TUJADILI MAMBO YA MSINGI YALIOPO,
>
> 2013/4/10 mngonge <mngo...@gmail.com>
>
> > Chadema ikitumia sababu alizozitaja huyo bwana kumteua mgombea urais
> > itakuwa imejichimbia kaburi. Chama kama chama lazima kina vigezo vya
> > kumteua mtu kugombea urais siamini kama vigezo alivyobainisha mtoa hoja ni
> > vigezo sahihi. Nashawishika kusema mtoa hoja ni mbaya wa Zitto
>
> > 2013/4/10 <msiwah...@gmail.com>
>
> > **
> >> Hata mimi nashangaa kwa kweli ndugu Said. Propaganda za kijinga kabisa.
>
> >> Mwamba.
> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> >> ------------------------------
> >> *From: *saidm...@gmail.com
> >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Date: *Wed, 10 Apr 2013 04:43:15 +0000
> >> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
> >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Subject: *Re: [wanabidii] URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI
> >> KWA CHADEMA
>
> >> Mtu akitamka neno UDINI ananikera balaa! Kwanini watanzania
> >> tunajilazimishia matatizo tusiyo nayo?
> >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
> >> ------------------------------
> >> *From: *Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com>
> >> *Sender: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Date: *Tue, 9 Apr 2013 20:59:48 +0700
> >> *To: *Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> >> *ReplyTo: *wanabidii@googlegroups.com
> >> *Subject: *[wanabidii] URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA
> >> CHADEMA
>
> >> Kwanza poleni na kazi za hapa na pale katika pilikapilika za kutafuta na
> >> kuendesha maisha.
>
> >> Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA mwenye kadi namba 0333673 ya uana
> >> chama. Ningependa kuwashirikisha jambo lifuatalo.
>
> >> ZITTO Z KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KUWA MGOMBEA URAISI KWA CHAMA NA
> >> WATANZANIA MWAKA 2015.
>
> >> Ndugu zangu, viongozi wa chama na wanachama! Kama kweli tuna taka
> >> kuchukua nchi hii basi Zitto Z Kabwe ndio chaguo sahihi kwa nafasi ya
> >> uraisi kwa chama chetu. Nina sababu chache zifuatazo.
>
> >> 1. Tukubali au tukatae CHADEMA hatukubaliki maeneo yenye waislamu wengi
> >> kama mikoa ya Pwani naTabora kwa sababu ya dhana hii ya udini. Iwapo Zitto
> >> Z Kabwe atasimama basi lazima hata wale waliokuwa hawataki kutuchagua kwa
> >> sababu ya udini basi kura zao tutakua nazo.
>
> >> 2. CCM wanatumia dhana ya ukanda. Iwapo Zitto atasimama basi hawatakua na
> >> ajenda yoyote katika kampeni zao dhidi ya hoja hiyo. Hakika huo ndo utakua
> >> mwisho wao.
>
> >> 3. Zitto ni kielelezo cha democrasia bungeni na mtaani. Ni Kijana aliye
> >> ibuo hoja nyingi sana nzito na ni kijana aliyeamsha vijana wengi sana
> >> usingizini. Zitto hajachoka kuwatetea vijana pamoja na kejeli zote
> >> anazozipata.
>
> >> 4. Zitto ni kijana na anamvuto kwa vijana wengi sana . Vijana sasa
> >> wamechoka sana na wangependa kupata mkombozi wa kweli. Zitto is a right guy
> >> in this. Zitto atavuta hata vijana wasio penda kupiga kura na wao washiriki
> >> kuongeza ushindi.
>
> >> 5. Zitto hana kashfa yoyote ile ndani ya chama na nje ya chama. Zitto
> >> amejiweka safi katika kashfa hizi ukiondoa propaganda chache zisizo na
> >> macho.
>
> >> 6. Zitto ameishi umaskini. Anajua nini adha ya kuwa na shida na anajua
> >> uchungu wa kuwa maskini. kwani ametoka katika familia maskini sana na mkoa
> >> maskini sana. Kwa ufupi ana uchu wa maendeleo.
>
> >> 7.Zitto sio mdini kama viongozi wengine wa kiislamu walivyo. Zitto
> >> hajawahi kujiingiza katika mgogoro wowote wa udini na hana mpango huo kwani
> >> kwa mtazamo wangu yeye ni public figure.
>
> >> Mwisho, najua wengi tungependa Dr Slaa agombee tena urais. Lakini amini
> >> nawambieni kama kweli nchi hii tunaitaka basi Dr. Slaa sio chaguo la
> >> ushindi. Kwani hana vigezo vingi ambavyo zitto anavyo.
>
> >> Pia najua Zitto kasema hataongelea tena urais lakini hakusema sisi
> >> wanachama tusiongele huo urais. Ningependa sana Dr. agombee lakini mwisho
> >> wa siku hatuta shinda kwa mgawanyo wa kura.
>
> >> Mimi sio mfuasi wa Zitto. Mimi ni mfuasi wa CHADEMA na mpenda mabadiliko.
> >> Naongea kitu halisi, kama mtaona nimeandika vyema asante lakini kama mtaona
> >> nimeandika vibaya, subilini mwaka mmoja na nusu uliosalia halafu muone
> >> yatakayotokea.
>
> >> JJB,UDSM
>
> >>http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/430993-barua-ya-wazi-kwawa...
>
> >> --
> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

> >  --
> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment