Nini hatma ya kesi hii? Kuvungwa ikaisha na watuhumiwa kuachiwa? Ikiwa hivyo Nini hatma ya Taifa hili? Lini tutapata viongozi Mtu akifa huwa kuna enzymes fulani sizikumbuki ndizo zinajitokeza kuuozesha mwili. Kuna ugonjwa fulani ukitokea enzymes hizo zinatokea mtu akingali hai. Balaa. Ndicho kinatokea. Tubinafsishe nini ili kuliokoa Taifa? Ikulu?
--- On Mon, 4/15/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
From: mngonge <mngonge@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Tamko la CHADEMA kuhusu njama za kukichafua To: wanabidii@googlegroups.com Date: Monday, April 15, 2013, 4:53 AM
Kama mchoro ndo huu magaidi haya yatatumaliza. Haki haitapatikana nchi hii chuki zitaendelea kuota mizizi na mwisho nchi inaweza kuingia machafuko ya kutisha. Unaweza kukuta baadhi yao hawakusajiri simu kwa majina yao halisi na hivyo kuufanya ushahidi huo wa simu kuwa mgumu. Huyo Ramadhani Ighondo Abeid amekwishatajwa sana kwenye mipango ya kutesa watu kinyama na kufanya mipango ya kuvuruga vyama vya upinzani.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment