Mngonge, Umesema kweli mimi siyo mwanachama wa CDM. Ila kwa mawazo yangu watu wanaoweza kufikiriwa, narudia kufikiriwa, Zitto, Silinde, Nape, Mnyaa ila NCCR sijaona ngoja niangalie kwanza kwa makini... Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: mngonge <mngonge@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - ZITTO KABWE NDIO CHAGUO SAHIHI KWA CHADEMA
Sent: Sun, Apr 21, 2013 9:09:35 AM
Matanda katoa pendekezo lake ambalo hata mimi namuunga mkono100%, wapo wanaosema Zitto, wapo wanaomuona Dr.Slaa kwamba bado anafaa na wapo watakaokuja na vichwa vingine zaidi ya hivi. Ebu na wewe Kunyaranyara twambie ni yupi unamuona anafaa? japo nahisi wewe si mwanachama wa CDM. Pia unaweza kutwambia chaguo lako ni lipi ndani ya CCM, CUF, NCCR nk 2013/4/21 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment