Sunday 21 April 2013

Re: [wanabidii] Mwanamuziki Diamond ni mdhalilishaji wa Mwanamke "Bi.Wema Sepetu"

Kwa hiyo hitimisho kwa mantiki ya dada Hilda ni kwamba wanawake hawana haja wala sababu ya kuungana katika kuutetea utu wa Wema hata kama kuna ushahidi, walau kwa sasa, wa kudhalilishwa kijinsia!!!

Kazi ipo

2013/4/22 Lutgard Kokulinda Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
Hildegarda,

Saa nyingine unanifurahisha kweli!! Hivi kweli spika anakemewa na kuchorwa kwa vile tu ni mwanamke?? Ama kweli ufanisi wa macho na masikio yetu uko tofauti sana!! LKK

From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, April 22, 2013 8:18 AM

Subject: Re: [wanabidii] Mwanamuziki Diamond ni mdhalilishaji wa Mwanamke "Bi.Wema Sepetu"

Kiwsila uko sawa, ila hili la Spika hapana. Kama kuna wakati Bunge linekuwa out of control ni pale anapokuwa kwenye kiti Naibu Spika, Job Ndugai gilo la kwanza.

Jambo la pili Spika hachorwi Katuni wala kukosolewa kwenye magazeti eti kwasababu ni Mwanamke, sababu ni moja tu kwamba yeye ni Spika. Wajibu wake unampa exposure ya kuwa criticised na umma. Mbona JK kila leo anachorwa na kukosolewa? Pinda Je?

Mie nathamini sana haki za wanawake, lakini napinga suala la jinsia kugeuzwa kuwa kichaka cha udhaifu wa kiuonggozi na kiutendaji. Hatuwezi kunyamazia udhaifu wa kiti ya Spika eti kwasababu tu tukisema tutaonekana tunawadhalilisha wanawake!

na kuandikwa vibaya haandikwi kwa sababu ni
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date: Mon, 22 Apr 2013 02:23:30 +0100 (BST)
Subject: Re: [wanabidii] Mwanamuziki Diamond ni mdhalilishaji wa Mwanamke "Bi.Wema Sepetu"

Kama tupo Serious na kukana udhalilishaji wanawake-tungeomba tuombwe Radhi na Wabunge waliotaka Kumpiga Speaker Mh Anna makinda kwa kutaka kuvamia Meza yake. Ama hata kama maspeaker wengine huko nyuma walikosea na kutoa watu nje au kumtaka mtu akae au aendelee kuongea wakati umma wa wabunge wengine hawakutaka hakuna aliyezuka kutaka kumpiga. kumuandika vibaya na kumchora vikatuni ni udhalilishaji kwa vile tu ni 'Mwanamke'. hatujaona wanaharakati na wa masuala ya Jinsia ya kumtetea mwanamke kukemea hili au kwa vile halina mshiko?

Kingine ni akina dada wasaiii nao kujilinda na kuheshimu utu wao. leo tunaona gazetini ana bwana huyu, kesho wameachana ana bwana mwingine, tena wameachana ana yule na yule-hii nayo ipoje mara karudiana na yule wa zamani. Kwa nini kujirahisi hivi na kukubali picha zao za malavidavi kuwekwa magazetini front page. jee huwa wanalipwa na hayo magazeti. Mbona hatuoni au nkusikia wanayashitaki kwa kutoa picha zao za kubusiana wanawake kwa wanawake, na mabwana zao etc. Hii nayo imekaaje kiasi kwamba tukaone  haya mengine muhimu.

Wansanii wacheza dansi anavaa kaptura na sasa eti soksi ndefu  lakini nyepesi za kuonyesha mapaja wanacheza matusi ya nguoni wanaonekana majukwaani, magazetini katika TV wakimwaga radhi. Mtu wa namna hii asiyejiheshumu kichupi jukwaani na nyuma katika mchirizi nyeti kajichora ameng'oa matako kimakusudi na kumwaga radhi-anatetewa vipi na anakuambia anaganga njaa! kwa kujidhalilisha? Heshima itakuja tu kama nawe utajiheshimu. Utakuwa katika kuchangia miradi ya maendeleo jamii si kuchangia ufuksa uendelee, utavaa na kutenda kiheshima ili utetewe kiheshima. Twataka tuone mamilioni umwagayo hovyo yakichangia maendeleo na ukiacha kujidhalilisha ili jamii tukutetee usidhalilishwe. Hii nayo imekaaje hata suala hili liingie kwa wanabidii? jee, mabaraza yao ya wasanii na kamati ay utamaduni kitaifa inachukuliaje masuala ya wasanii kuvaa wavaavyo na kufanya wafanyavyo kinyume cha maadili ya jamii? hivi hawaelewi kuwa wanavyobadili na kuchangia wapenzi ni hatari kiafya? Je, wanawapa semina za mafunzi ya HIV. Stadi za maisha na ujasiriamali? Kwa nini ukubali kutumika vibaya? Jua, Leo una miguu ya kutembea na kucheza dansi, kesho huna ni mgonjwa au hutembei itakuwaje?  Mara tunaona na Wazazi wao nao magazetini picha na kuandikwa masuala mbalimbali. Tunakwenda wapi?

Licha ya kudhalilisha wanawake-tunamuona ktk diamonf TV na magazeti akikumbatia kwa kushtukizwa kupewa busu na wanawake. Sasa, ni Vema kwa hao waendao ktk dansi zake kumuonya huko na kususia kwenda hall liwe tupu labda atajirekebisha na wanawake wamsuse kimapenzi ili wasichezewe ajifunze kitu maana si umma wote wa wanawake wa TZ wanafurahiwa na hata hayo ayafanyayo Wema na wasanii wengine masuala ya kujirahisi. Ni sawa kama wengine wasivyopenda tusemavyo hivi ninavyosema mimi hapa. Ni Food for thought.

--- On Sun, 21/4/13, Buberwa Jackob <buberwajackob@yahoo.com> wrote:

From: Buberwa Jackob <buberwajackob@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] Mwanamuziki Diamond ni mdhalilishaji wa Mwanamke "Bi.Wema Sepetu"
To: "buberwajackob2012@yahoo.com" <buberwajackob2012@yahoo.com>
Date: Sunday, 21 April, 2013, 14:35

             WANAWAKE WAUNGANA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND
                         Kwa Kumdhalilisha Bi.Wema Sepetu kwa kumrekodi katika simu na kusambaza mazungumzo nyeti !

Kitendo cha Mwanamuziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na star wa Bongo Move Bi.Wema Sepetu,
na kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo cha "Udhalilishaji wa Mwanamke" . kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kielekeza jamii kuishi 
kwa kufuata na kuheshimu mahadili ,lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni  kiongozi wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha
kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu  ya kimapaenzi kati yake na
Bi.Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi.Penny,kitendo hiki ni cha "kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania" Tunaowaomba akinamama
na kinadada na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video,vcd,cd
pia kugomea kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanya na mwamuziki
Nasibu Abdul Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wote
wa kitanzania popote pale walipo.
Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho ya mwanamuziki huyo na
na kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia hizi chafu za "Udhalilishaji wa Mwanamke"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment