Tuesday 2 April 2013

Re: [wanabidii] Re: KANISA LA WINNER UKONGA BANANA LAVAMIWA

Kuna tofauti kubwa katika mambo haya mawili:
  • kutengeneza habari ya uwongo
  • kutangaza habari ya uwongo
Wa kwanza ni dhahiri kuwa jina lake ni 'mtu mwongo', lakini wa pili hawezi kuitwa mwongo bali unaweza kumwita mtu asiye makini, mzembe, n.k.
Tusidhani kuwa tutaonekana ni watu makini sana kwa kila wakati kung'ang'ani kumwadhibu mtu kwa vile tu habari iliyoletwa imedhihirika kuwa siyo sahihi. Lakini tujue pia kuna wakati unapata habari na huna namna yeyote ile ya kuihakikisha, je habari hiyo isiletwe hapa jukwaani? Kuna wakati kuileta habari hiyo hapa jukwaani ni namna ya kuthibitisha usahihi wa habari yeynyewe, maana hapa kuna watu wengi. Jambo la muhimu ni kueleza wazi kuwa hujathibitisha.
Tusiishi kwa kufikiria kuadhibiana wakati wote. Kwangu mimi dhamira ya mleta habari ni muhimu sana katika kuamua kama kuna haja ya kumwadhibu au hapana. Mtu aliyeileta habari ambayo imethibitika baadaye kuwa siyo ya kweli wakati dhamira yake haikuwa kuleta habari ya uwongo, hastahili kuadhibiwa, japo ni lazima kuwa na umakini wa kiwango fulani katika kuleta habari jukwaani hasa zile ambazo zinaweza kuisumbua jamii yetu, na hasa mambo ya usalama maana kwa binadamu hakuna kilicho muhimu zaidi ya usalama wake.
Kuna habari nyingine, kama nilivyosema, huwa ni vigumu kuzihakikisha mara moja. Mathalani polisi wakawa wamemwua mtu, kisha ukawauliza wakasema kuwa aliyeuawa ni jambazi ambaye amekufa katika mapigano na polisi, habari hiyo ikaletwa hapa jukwaani BAADAYE ikagundulika kuwa polisi wamemwua raia mwema, na wala hakukuwa na tukio la mapigano, aliyeleta habari hiyo aadhibiwe kwa kutoa taarifa ya uwongo? Kwangu mimi naona siyo sahihi, alimradi atueleze chanzo cha habari yake.
Habari hii tangu ilivyoanza, mpaka sasa, kosa kubwa la Yona ni kuwa hakueleza kuwa hajahakiki habari hiyo, na wala hakueleza chanzo cha habari yake. Na pili ni kule kung'ang'ania kuwa habari hiyo ni ya kweli hata pale mtu aliyeonekana kuwa na uhakika kueleza wazi kuwa hakukuwa na tukio hilo.
Jambo la muhimu, tusiogope kuleta habari zisizothibitishwa bali tueleze wazi kuwa hatujathibitisha.
Yona, wanajukwaa wengi walikwishakusamehe hata kabla hujaomba kusamehewa.
Bart
 
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, April 2, 2013 11:56 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: KANISA LA WINNER UKONGA BANANA LAVAMIWA

Ndugu zangu

Naomba radhi kutokana na habari hiyo hap juu kuhusu kanisa la Winners international Ukonga.

Sio kwa sababu habari ni ya uwongo ni kwa sababu ya uwasilishaji wangu kutokana na taarifa nilizopata kabla ambazo zimeshatolewa ufafanuzi na mhusika mwenyewe .

Tuendelee kujenga jamii zrtu

2013/4/1 Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>
Nadhani Yona aombe radhi yeye na achague adhabu ya kupewa kwa kutoa taarifa isiyo ya ukweli kwenye jukwaa!

2013/3/31 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Mimi naona tuunde tume kuchunguza kashfa hii.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: Ipyana <hebronipyana1@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 29, 2013 10:42:24 AM GMT-0700
Subject: [wanabidii] Re: KANISA LA WINNER UKONGA BANANA LAVAMIWA

Yona nimerudi,nimepata kwa undani juu ya tukio lililotokea hapo kanisani
WinnersChapel Banana,kimsingi tukio halikuwa ulivyolireport hapa
jukwaani,huyo kijana ni mtanzania na ni mkurya,jina lake ni Mwita,alikuwa
ni mwalimu kwenye shule inayomilikiwa na kanisa iitwayo Kingdom
Heritage,yeye kafukuzwa kutokana misconduct mbalimbali kazini,kwa hiyo kuna
vifaa vya shule vya shule ambavyo alipaswa avisubmit ili aweze kupewa
hakizake kitu ambacho hakukifanya,ndipo alipotoka kwenda kunywa akarudi kwa
mkuu wa shule akiwa amewaka,akaanza kumlazimisha mwalimu mkuu amlipe chake
lakini haikuwezekana  kwani walinzi walimbana na kumwondoa hapo,kwa hiyo si
kweli kwamba ni mnijeria,na si kweli kwamba alikwenda pale na AK-47,na si
kweli kwamba kulikuwa na kuhamanika kokote kutoka kwa waumini kama pia
ulivyotaka kutuaminisha hapa,Mwita alidhibitiwa kama mlevi yeyote
anavyodhibitiwa  basi ukawa mwisho wa habari,sasa exagerations za kwamba
kulikuwa na AK-47,tukio la ugaidi,watu kuhamanika mwisho wa yoe ni
kujitafutia aibu tu na kushusha heshima ya jukwaa na wanajukwaa.Sasa mzee
wa adhabu kwa kudanganya hapa jitafutie adhabu,mimi isingekuwa wewe ndo
mhusika mkuu wa hili jukwaa ningekutwanga ban ya miezi minne hivi ili ujue
kwamba kwa nafasi yako hupaswi kuwa mkurupukaji.Haya unajiadhibuje?

On Thursday, March 28, 2013 6:56:06 AM UTC-8, Yona F Maro wrote:
>
> Taarifa zinasema kuna mtu amevamia ofisi za mchungaji wa kanisa la
> winner la ukonga banana na gari lenye namba  CSE35 KG TOYOTA KURZA .
>
> Huyu mvamizi ni wa asili ya Nigeria , watu hapo wanahusisha tukio hili
> la dalili za kufanyika kwa ugaidi
>

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Ipyana Lwinga

Email:    ipyanalwinga@gmail.com
Mob:     +255 757 065577
Skype:   ipyana.plwinga

"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
http://www.wejobs.blogspot.com/ Jobs in Africa
http://www.jobsunited.blogspot.com/ International Job Opportunities
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment