Friday 12 April 2013

Re: [wanabidii] Kigogo TBC afumaniwa

...........................................................

Mwanamke  huyo ambaye  tangu kufamaniwa amekuwa  macho makavu akijikausha kana  kwamba hajafumaniwa  na ameonekana akifanya shughuli zake  kama  kawaida.

Hali hii anaifanya   kwa nia moja ya kumfisha kibosile wake mmoja wa juu yake ambaye yuko jirani na  Mstaafu huyo wa zamani.

Imeonekana amekuwa akifanya mawasiliano ya simu kila  mara  na  wapenzi wake ambao walizitwanga kavu kavu  huku akionekana kufunga mlango wa ofisi yake na kutumia muda  mrefu kujaribu kuficha  fedhea  hiyo.

Mtoa  nyeti hii anasema kwa sasa  mwanamke huyo amekuwa akitumia  akaunti ya mfanyakazi mwezake kuingia  mtandao wa Wanabidii  ili kujua kipi kinaendelea juu ya mjadala  wa fumanizi  lake na  Mstaafi wa TBC ambaye jina lake  linaloanza  na  konsonati ya nne  .

Mtoa  taarifa hii anasema   mwanamke huyo   pia  aliwahi kuonekana  bayana  huko Mwanza wakati Mwanamke huyo anashiriki  mahafali ya chuo kimoja  cha Kanisa  Katoliki chenye makao makuu huko Mwanza ambapo alihitimu shahada  ya mawasinao ya umma.

Kabla ya mahafali  yake jina lake halikuwepo  ilimgharimu  sana  yeye  na  Mstaafu kupiga simu huko na kule kuhakikisha  Kimanda wake  anashiriki mahafali hayo  ilionekana awali hajatimiza masharti ya  kuweza kuhitimu.

Huku akimuacha mumewe akipiga  gwaride  na kusaka  wateja wa  motokali jijini D 'salaam alikula  raha za  Rock City  katika  hotel mojawapo  ya kifahari-Jina limeifadhiwa+majina  waliyotumia kujisajiri  kama wageni katika hoteli hiyo mwishoni mwa mwaka jana yakihifadhiwa.

Mwanamke huyo ameonekana  kutumia  mbinu  za kila aina kumlaghai mumewe  mjeda  wa biashara  ya motokali kumdanganya kila  uongo ilikuweza  kukamilisha  uzinzi huo na mume  wa mtu huku kigogo  wa TRA na yeye  akila makombo hayo.

Mara  zote amekuwa akitumia umbo lake  kuwaingiza  kwenye  tamaa  hiyo na baadhi ya   wakubwa  kuingia  katika  mtego akiwemo mstaafu huyo wa TBC ambaye  kwa sasa wamefumaniwa nae. 

Mtoa   nyeti hii anasema kwa sasa  kinachoendelea ni simu  za hapa na pale kujaribu  kupotezea soo  huku wakiongopa  kuwekwa mitandaoni picha  za fumanizi hilo na  businesss cards  zilizookotwa  kwenye tukio hilo.  .

Mtoa nyeti anasema kuwa  mwanamke huyo mkware wa jina lake kamili linaanza  na  herufi ya kwanza   herifi kuu na  amekuwa akichanganya damu kutoa a mkoa miwili, mmoja wa kati ya Tanzania  na mwingine wa  pwani  mwa Tanzania. Huku ikidaiwa kuwa ata ajira yake  aliunganishiwa na dada yake ambaye  alikuwa na ujirani na kigogo mmoja wa zamani wa Redio Tanzania D'salaam.

.................................................................

2013/4/12 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>

Tunasema hii hapa si mahali pake kwa sasabu tu wahusika si Prominent; hawawezi kutengeneza habari. Hivi, je kama aliyefumaniwa angekuwa Mtoto wa Mkulima au Kiranja Mkuu wake tungesema hapa si mahali pake?

Vin

2013/4/11 Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com>
angewaanika majina tu kwani anahofia nini? Tukio si ni kweli limetokea? Bila majina hujawasaidia wakware hao......
 
2013/4/10 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Udakuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lakini watanzania walipenda sana kusoma, Nyerere alihimiza watu kusoma vitabu kupata mahalifa likini waandishi wengi na watunzi wengi wa kiafrika walipoanza kuwa na matatizo na wanasiasa wa kiafrika kila kitu kikaenda kombo. Leo hii habari nyeti zinaokotwa magazeti ya udaku so ikishakuwa kule inakuwa ni udaku tu then unakuta haya mambo ya kufumaniwa nayo ni janga la kitaifa lakini msingi mkuu ni utumwa wa umasikini uliotuzunguka kwa sasa

On Mon, Apr 8, 2013 at 8:15 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:

Huenda kupumzisha mawazo baada ya kudadavua sana siasa. Lakini huu ndio upande wa pili wa watanzania tunavyopenda. Halafu utashangaa ndio upande unaopendwa na wengi.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Kigogo TBC afumaniwa
Sent: Mon, Apr 8, 2013 11:02:02 AM

Mimi simlaumu aliyeileta. Nalaumu unafiki wa kuileta halafu haina jina hata moja. Kamw mtu hana balls za kutoa taarifa jinsi ilivyo atuokolee muda kwa kuleta taarifa za maana...........

On 08/04/2013 9:51 AM, "Selemani Swalehe" <semkiwas@gmail.com> wrote:
Mwesiga mtoa habari kweli ni kiboko maana hiyo font aliyotumia hata kipofu atasoma hii habari. Mtu asiseme hajaona. Hii ndio ile wanasema Live bila chenga
 
Suleiman Swalehe
2013/4/8 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Inasikitisha ila mtoa habari kiboko kama nawaona wazee tambi tambi zao
wakimuenzi tyson lol

On 4/8/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
> .................................................................
>
> Mwanamke mmoja ambaye amebainika kuwa ni Kigogo wa TBC amefumaniwa  katika
>  fumanizi  kati  yake- hawala  yake  wa muda mrefu, mstaafu wa TBC na
> Kigogo wa TRA akiwa  katika majukumu ya kazi hapa Mbeya.
>
>
>
> Safari hiyo ya kikazi kutoka  D'salaam kuelekea  Mbeya ilianza  kwa
> Kigogo  huyo
> mwanamke  kuchukua fungu  la  pesa  ili kuweza  kukamilisha jukumu  Nyanda
> za
> Juu Kusini mwa Tanzania, akiwa na wafanyakazi wengine wa TBC.
>
> Mwanamke huyu amekuwa akidaiwa  kuwachanganya mno  vigogo wa shirika hili
> ata katika maamuzi hadi  kuweza kumpa nafasi nyeti za shirika  hili.
>
>
>
> Mtoa taarifa  hizi anadai kuwa mama huyo  amekuwa akitumia kaumbo kake
> kama
> chambo kwa wanaume wakware ambapo mara nyingi wamekuwa  hawawezi
> kuruka  vihunzi
> vya ushawishi huo.
>
> Cha kushangazwa mara baada ya kuwasili  Mbeya wakiwa  katika majukumu yao
> kama kawaida  mara usiku mmoja (tarehe imehifadhiwa) yalisikika
> makelele  mengi
> ndipo watu wakajaa  mara  wakamuona mtu mmoja ambaye aliyejitambulisha kuwa
> mfanyakazi wa TRA(Jina limehifadhiwa) huku akirushiana makonde na kigogo
> mmoja mstaafu wa TBC(Jina limehifadhiwa), ambaye  kutokana na umaarufu wake
> watu waliokimbilia tukio hilowalimtambua kwa haraka.
>
> Huku chumba  kimoja kikiwa  wazi nguo  zikiwa zimetawanyika miongoni
> mwao  zikiwa
> nguo  za  ndani, khanga na suruali moja  ya  mwanaume ikiwa juu ya kitanda.
>
>
>
> Kila mmoja akidai  mwezake mwizi anamuibia mkewe. Lakini mtoa  habari hizi
> anadai kuwa  mama huyo ameolewa na mjeda mmoja. Si  Bosi wa TRA wala
> mstaafu wa TBC hawana ndoa  naye.
>
> Inadaiwa kuwa  Kigogo wa TRA alikuwa nae  kwa siku moja na siku ya pili
> aliaga na kuondoka kumbe alikuwa akimfuatilia nani anapika nae chungu
> kimoja.
>
> Ahmadi, ndipo alipotambua kuwa ni mstaafu mmoja wa TBC, alikuwa akivunja
> nae
> amri ya sita  kama yeye alivyokuwa akifanya.
>
> Mle mle alipokuwa amelala nae jana yake  ndipo alipomkaribisha yule
> mstaafu. Duu  kuokoa  jahazi mama mmoja kibonge aliokoa kwa kumchukua
> mwanamke mwezake na kumficha chumbani kingine cha  hoteli. Ikasaidia watu
> kuondoka na walinzi wa hoteli wakalimaliza lile soo kimya kimya, huku
> waliokimbilia tukio hilo wakipatwa na bumbuazi na  yaliyotokea na wengine
> wakijiokotea  pesa na business  cards.
>
> .....................................................................
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
0 comments:

Post a Comment