Friday 12 April 2013

Re: [wanabidii] Kigogo TBC afumaniwa

Moderator hii kitu inakwendaje au ndo inafunguka taratibu vile
muhusika anasoma posts za wanabidii?

On 4/12/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
> ...........................................................
>
> Mwanamke huyo ambaye tangu kufamaniwa amekuwa macho makavu akijikausha
> kana kwamba hajafumaniwa na ameonekana akifanya shughuli zake kama
> kawaida.
>
>
> Hali hii anaifanya kwa nia moja ya kumfisha kibosile wake mmoja wa juu
> yake ambaye yuko jirani na Mstaafu huyo wa zamani.
>
> Imeonekana amekuwa akifanya mawasiliano ya simu kila mara na wapenzi
> wake ambao walizitwanga kavu kavu huku akionekana kufunga mlango wa ofisi
> yake na kutumia muda mrefu kujaribu kuficha fedhea hiyo.
>
> Mtoa nyeti hii anasema kwa sasa mwanamke huyo amekuwa akitumia akaunti
> ya mfanyakazi mwezake kuingia mtandao wa Wanabidii ili kujua kipi
> kinaendelea juu ya mjadala wa fumanizi lake na Mstaafi wa TBC ambaye
> jina lake linaloanza na konsonati ya nne .
>
> Mtoa taarifa hii anasema mwanamke huyo pia aliwahi kuonekana
> bayana huko
> Mwanza wakati Mwanamke huyo anashiriki mahafali ya chuo kimoja cha Kanisa
> Katoliki chenye makao makuu huko Mwanza ambapo alihitimu shahada ya
> mawasinao ya umma.
>
> Kabla ya mahafali yake jina lake halikuwepo ilimgharimu sana yeye
> na Mstaafu
> kupiga simu huko na kule kuhakikisha Kimanda wake anashiriki mahafali
> hayo ilionekana awali hajatimiza masharti ya kuweza kuhitimu.
>
> Huku akimuacha mumewe akipiga gwaride na kusaka wateja wa motokali
> jijini D 'salaam alikula raha za Rock City katika hotel mojawapo ya
> kifahari-Jina limeifadhiwa+majina waliyotumia kujisajiri kama wageni
> katika hoteli hiyo mwishoni mwa mwaka jana yakihifadhiwa.
>
> Mwanamke huyo ameonekana kutumia mbinu za kila aina kumlaghai mumewe
> mjeda wa biashara ya motokali kumdanganya kila uongo ilikuweza
> kukamilisha uzinzi huo na mume wa mtu huku kigogo wa TRA na yeye akila
> makombo hayo.
>
> Mara zote amekuwa akitumia umbo lake kuwaingiza kwenye tamaa hiyo na
> baadhi ya wakubwa kuingia katika mtego akiwemo mstaafu huyo wa TBC
> ambaye kwa sasa wamefumaniwa nae.
>
> Mtoa nyeti hii anasema kwa sasa kinachoendelea ni simu za hapa na pale
> kujaribu kupotezea soo huku wakiongopa kuwekwa mitandaoni picha za
> fumanizi hilo na businesss cards zilizookotwa kwenye tukio hilo. .
>
> Mtoa nyeti anasema kuwa mwanamke huyo mkware wa jina lake kamili linaanza
> na herufi ya kwanza herifi kuu na amekuwa akichanganya damu kutoa a
> mkoa miwili, mmoja wa kati ya Tanzania na mwingine wa pwani mwa
> Tanzania. Huku ikidaiwa kuwa ata ajira yake aliunganishiwa na dada yake
> ambaye alikuwa na ujirani na kigogo mmoja wa zamani wa Redio Tanzania
> D'salaam.
>
> .................................................................
>
>
>
>
>
>
> 2013/4/12 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
>
>> Tunasema hii hapa si mahali pake kwa sasabu tu wahusika si Prominent;
>> hawawezi kutengeneza habari. Hivi, je kama aliyefumaniwa angekuwa Mtoto
>> wa
>> Mkulima au Kiranja Mkuu wake tungesema hapa si mahali pake?
>>
>> Vin
>>
>>
>>
>>
>> 2013/4/11 Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com>
>>
>>> angewaanika majina tu kwani anahofia nini? Tukio si ni kweli limetokea?
>>> Bila majina hujawasaidia wakware hao......
>>>
>>>
>>>
>>> 2013/4/10 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
>>>
>>>> Udakuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lakini watanzania walipenda
>>>> sana kusoma, Nyerere alihimiza watu kusoma vitabu kupata mahalifa
>>>> likini
>>>> waandishi wengi na watunzi wengi wa kiafrika walipoanza kuwa na matatizo
>>>> na
>>>> wanasiasa wa kiafrika kila kitu kikaenda kombo. Leo hii habari nyeti
>>>> zinaokotwa magazeti ya udaku so ikishakuwa kule inakuwa ni udaku tu
>>>> then
>>>> unakuta haya mambo ya kufumaniwa nayo ni janga la kitaifa lakini msingi
>>>> mkuu ni utumwa wa umasikini uliotuzunguka kwa sasa
>>>>
>>>>
>>>> On Mon, Apr 8, 2013 at 8:15 AM, ezekiel kunyaranyara <
>>>> ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>>>>
>>>>> Huenda kupumzisha mawazo baada ya kudadavua sana siasa. Lakini huu
>>>>> ndio
>>>>> upande wa pili wa watanzania tunavyopenda. Halafu utashangaa ndio
>>>>> upande
>>>>> unaopendwa na wengi.
>>>>>
>>>>> Sent from Yahoo! Mail on Android
>>>>>
>>>>> ------------------------------
>>>>> * From: * denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
>>>>> * To: * <wanabidii@googlegroups.com>;
>>>>> * Subject: * Re: [wanabidii] Kigogo TBC afumaniwa
>>>>> * Sent: * Mon, Apr 8, 2013 11:02:02 AM
>>>>>
>>>>> Mimi simlaumu aliyeileta. Nalaumu unafiki wa kuileta halafu haina
>>>>> jina hata moja. Kamw mtu hana balls za kutoa taarifa jinsi ilivyo
>>>>> atuokolee
>>>>> muda kwa kuleta taarifa za maana...........
>>>>> On 08/04/2013 9:51 AM, "Selemani Swalehe" <semkiwas@gmail.com> wrote:
>>>>>
>>>>>> Mwesiga mtoa habari kweli ni kiboko maana hiyo font aliyotumia hata
>>>>>> kipofu atasoma hii habari. Mtu asiseme hajaona. Hii ndio ile wanasema
>>>>>> Live
>>>>>> bila chenga
>>>>>>
>>>>>> Suleiman Swalehe
>>>>>> 2013/4/8 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
>>>>>>
>>>>>>> Inasikitisha ila mtoa habari kiboko kama nawaona wazee tambi tambi
>>>>>>> zao
>>>>>>> wakimuenzi tyson lol
>>>>>>>
>>>>>>> On 4/8/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
>>>>>>> > .................................................................
>>>>>>> >
>>>>>>> > Mwanamke mmoja ambaye amebainika kuwa ni Kigogo wa TBC amefumaniwa
>>>>>>> katika
>>>>>>> > fumanizi kati yake- hawala yake wa muda mrefu, mstaafu wa TBC
>>>>>>> na
>>>>>>> > Kigogo wa TRA akiwa katika majukumu ya kazi hapa Mbeya.
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> > Safari hiyo ya kikazi kutoka D'salaam kuelekea Mbeya ilianza
>>>>>>> > kwa
>>>>>>> > Kigogo huyo
>>>>>>> > mwanamke kuchukua fungu la pesa ili kuweza kukamilisha jukumu
>>>>>>> Nyanda
>>>>>>> > za
>>>>>>> > Juu Kusini mwa Tanzania, akiwa na wafanyakazi wengine wa TBC.
>>>>>>> >
>>>>>>> > Mwanamke huyu amekuwa akidaiwa kuwachanganya mno vigogo wa
>>>>>>> shirika hili
>>>>>>> > ata katika maamuzi hadi kuweza kumpa nafasi nyeti za shirika
>>>>>>> > hili.
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> > Mtoa taarifa hizi anadai kuwa mama huyo amekuwa akitumia kaumbo
>>>>>>> kake
>>>>>>> > kama
>>>>>>> > chambo kwa wanaume wakware ambapo mara nyingi wamekuwa hawawezi
>>>>>>> > kuruka vihunzi
>>>>>>> > vya ushawishi huo.
>>>>>>> >
>>>>>>> > Cha kushangazwa mara baada ya kuwasili Mbeya wakiwa katika
>>>>>>> majukumu yao
>>>>>>> > kama kawaida mara usiku mmoja (tarehe imehifadhiwa) yalisikika
>>>>>>> > makelele mengi
>>>>>>> > ndipo watu wakajaa mara wakamuona mtu mmoja ambaye
>>>>>>> aliyejitambulisha kuwa
>>>>>>> > mfanyakazi wa TRA(Jina limehifadhiwa) huku akirushiana makonde na
>>>>>>> kigogo
>>>>>>> > mmoja mstaafu wa TBC(Jina limehifadhiwa), ambaye kutokana na
>>>>>>> umaarufu wake
>>>>>>> > watu waliokimbilia tukio hilowalimtambua kwa haraka.
>>>>>>> >
>>>>>>> > Huku chumba kimoja kikiwa wazi nguo zikiwa zimetawanyika
>>>>>>> > miongoni
>>>>>>> > mwao zikiwa
>>>>>>> > nguo za ndani, khanga na suruali moja ya mwanaume ikiwa juu ya
>>>>>>> kitanda.
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> > Kila mmoja akidai mwezake mwizi anamuibia mkewe. Lakini mtoa
>>>>>>> habari hizi
>>>>>>> > anadai kuwa mama huyo ameolewa na mjeda mmoja. Si Bosi wa TRA
>>>>>>> > wala
>>>>>>> > mstaafu wa TBC hawana ndoa naye.
>>>>>>> >
>>>>>>> > Inadaiwa kuwa Kigogo wa TRA alikuwa nae kwa siku moja na siku ya
>>>>>>> pili
>>>>>>> > aliaga na kuondoka kumbe alikuwa akimfuatilia nani anapika nae
>>>>>>> chungu
>>>>>>> > kimoja.
>>>>>>> >
>>>>>>> > Ahmadi, ndipo alipotambua kuwa ni mstaafu mmoja wa TBC, alikuwa
>>>>>>> akivunja
>>>>>>> > nae
>>>>>>> > amri ya sita kama yeye alivyokuwa akifanya.
>>>>>>> >
>>>>>>> > Mle mle alipokuwa amelala nae jana yake ndipo alipomkaribisha
>>>>>>> > yule
>>>>>>> > mstaafu. Duu kuokoa jahazi mama mmoja kibonge aliokoa kwa
>>>>>>> kumchukua
>>>>>>> > mwanamke mwezake na kumficha chumbani kingine cha hoteli.
>>>>>>> Ikasaidia watu
>>>>>>> > kuondoka na walinzi wa hoteli wakalimaliza lile soo kimya kimya,
>>>>>>> huku
>>>>>>> > waliokimbilia tukio hilo wakipatwa na bumbuazi na yaliyotokea na
>>>>>>> wengine
>>>>>>> > wakijiokotea pesa na business cards.
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> .....................................................................
>>>>>>> >
>>>>>>> > --
>>>>>>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>>> >
>>>>>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>>>>> kudhibitisha
>>>>>>> > ukishatuma
>>>>>>> >
>>>>>>> > Disclaimer:
>>>>>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>>>>>> any legal
>>>>>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>> > facts
>>>>>>> must be
>>>>>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>>>> > you
>>>>>>> agree to
>>>>>>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>>>> > ---
>>>>>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups
>>>>>>> > "Wanabidii" group.
>>>>>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>>> send an
>>>>>>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>> >
>>>>>>>
>>>>>>> --
>>>>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>>>
>>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>>>>> kudhibitisha ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>> Disclaimer:
>>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>> facts
>>>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>>>>> that you
>>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>>> Guidelines.
>>>>>>> ---
>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>>> send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>> --
>>>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>>
>>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>> Disclaimer:
>>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts
>>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>>>> that you
>>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>>> Guidelines.
>>>>>> ---
>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>>>> send
>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>> --
>>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>> you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> --
>>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts
>>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>>> you
>>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>>> Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>
>>>> --
>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment