Wednesday 17 October 2012

[wanabidii] Zanzibar hali imeanza kuchafuka

Haya tena Zanzibar hali imeanza kuchafuka.

Written by   //  17/10/2012  
Na. B.OLE,
Hali si shuari Zanzibar hivi sasa hii ni kutokana na kutekwa kwa Sheikh Farid jana usiku. Baadhi ya vujo zimeikumba sehemu ya Mji mkongwe lakini pia kuna taarifa ya kushambuliwa kwa maskani Mama ya kisonge hapa Michezani.
Tutajaribu kuwaleteeni habari kadri ya hali itakavyo kuwa hapa, hata hivyo baadhi ya Maduka yameshaanza kufungwa na hali sio shuari,hatuwezi kujua nini hasa hatma ya hali kwa wakati huu.
Tuombeni dua kwa sote.
Chanzo: Mzalendo

0 comments:

Post a Comment