Wednesday 17 October 2012

Re: [wanabidii] Developing story in Zanzibar now

Why have the Zanzibarians decided to destory their beautiful, peaceful island? Hata kama wanataka kujitenga, wakiishaharibu kila kitu wataanzia wapi? Nani atawaamini tena aje kuwekeza Zanzibar? Wanataka kuwa kama yule mwanamke mpumbavu anayevunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...hivi kujenga hiyo reputation ya Zanzibar kwenye sekta ya utalii imechukua miaka mingapi jamani? Kwa nini wanaiharibu kiasi hicho???? 

Ni nani ameturoga watanzania jamani? 

Mbona sioni sababu ya migogoro ya kule Zenji? Ama kuna kitu na-miss hapa?

Regards,
HK.

On Wed, Oct 17, 2012 at 6:07 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

Mambo magumu Zanzibar jamani!

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment