Thursday 18 October 2012

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

Ni kweli kabisa. Tokea lini mwarabu akapenda mtu mweusi. Hawafai wale walitufanya sisi watumwa. Ghafla leo wanatupenda!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Haidari BENN <benntz@yahoo.co.uk>
Sender: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Thu, 18 Oct 2012 16:00:16 +0100 (BST)
To: Wanazuoni@yahoogroups.com<Wanazuoni@yahoogroups.com>; wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: Wanazuoni@yahoogroups.com
Subject: Re: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

 

Yona,
I think you are right.
 
Benn Haidari
Klintvägen 16 C 36
22100 Mariehamn
Åland
Suomi-Finland
Author of Modern Zanzibar Cuisine
Tel/Home: +358.18.13665
Mobile: +358.457.3424826

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Thursday, 18 October 2012, 16:20
Subject: [Wanazuoni] Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa mataifa ya Mashariki ya Kati

 
Vurugu Ukanda wa Pwani una Mkono wa Waarabu

Ndugu zangu

Hizi virugu nyingi zinazoendelea haswa upande wa pwani wa afrika mashariki zina mkono wa Mataifa makubwa ya kiarabu ambayo yanafikiri huu ugunduzi wa mafuta na gesi kwenye ukanda huu unaweza kuathiri biashara yao ya mafuta .

Hii imetokea Niger Delta kwa kuanzisha uasi ambao unaendelea mpaka leo na huko kaskazini mwa naigeria kwa kisingizio cha Dini .

Katika mipango hii kuna viongozi wa vyama vya siasa wanaotumika kwa kujua kwamba wanatetea dini zao kumbe wanaowafadhili wameangalia eneo kubwa zaidi .

Ni vizuri wananchi waambiwe ukweli haswa hao wanaokubali kutumika kwenye hila na hujuma dhidi ya taifa lao .

Pia ni vizuri vyombo vyetu vya usalama haswa idara ya usalama wa taifa ibadilishe mtindo wake wa utendaji na uwajibikaji na ushirikiano wake na vyombo vingine vya dola na taasisi binafsi uongezwe maradufu .

Inashangaza kuona askari walichelewa kwa dakika zaidi ya 30 huko Zanzibar baada ya wananchi kuanza kujikusanya ina maana kulikuwa na hitilafu ya taarifa hapa .

Huku mbagala pia kwa kitendo cha mhalifu kupelekwa kituo cha polisi ilitakiwa kuclick vichwani kuhusu uwezekano wa vitu kama hivyo kutokea lakini yote inaonyesha taarifa zilichelewa au ushirikiano ulikuwa hafifu .


__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (3)
Recent Activity:
.

__,_._,___

0 comments:

Post a Comment