Sunday 28 October 2012

[wanabidii] Re: Orodha ya Watanzania wenye akaunti Uswisi inakuja – @ZittoKabwe aanza - Mwanzo

Ni baada ya Kamati ya Bunge kuchunguza Uhusika wake katika suala la
Tanesco ?

On Oct 28, 11:00 am, Magiri paul <kiga...@gmail.com> wrote:
> Hii ni nukuu kutoka kwenye ukurasa wa Facebook wa Zitto Kabwe (Mb)
> ikiambatana na linki ya
> NYTtimes.com<http://nyttimes.com/2012/10/28/world/europe/list-of-swiss-accounts-tu...>
>a iliyobeba
> habari, "List of Swiss Accounts Turns Up the Heat in Greece"
> inayoshabihiana na kuhusiana na nia yake ya kuchunguza na kisha kuzianika
> akaunti za Watanzania zilizoko nchini Uswisi:
>
> *         "* Kwa nchi za wenzetu magazeti ya uchunguzi yanafanya kazi hizi.
> Kwetu magazeti yanasubiri wanasiasa wafanye. Orodha ya Watanzania wenye
> akaunti Uswiss inakuja. Hoja Binafsi kuhusu suala hili imeruhusiwa na sasa
> naandaa maelezo ya Hoja. Sio suala la kutaja orodha tu bali pia hatua za
> kuchukua dhidi ya fedha hizo na wenye fedha haramu zilizofichwa huko.
>
> http://wotepamoja.com/archives/9794#.UIzmCG8qxbM.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment