Sunday 28 October 2012

Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

Kumbe hawa wahuni tunaowasikia wanachagua kipi cha kuharibu na kuchoma
moto na kipi cha kukilinda? Du! Kumbe wahuni wana akili hivi?

On 10/28/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Kama uamini na una simu ya mtu anayekaa Chake chake Pemba wasiliana naye au
> wasiliana na polisi ya Zanzibar maana swala lenyewe liko mikononi mwa
> vyombo vya sheria. Yapo mambo ambayo mtu mwenye akili timamu anaweza
> kuzusha lakini siyo kama hili.
>
> Binafsi nashangaa vyombo vya habari kutoliandika hili kwa mapana yake,
> kimsingi ni jambo la aibu na lenye kuudhalilisha uislam zaidi ya lile la
> yule mtoto wa Mbagala pengine ndiyo maana halijatangazwa sana.
>
> Kama ingekuwa aliyefanya hivyo ni mkiristu lingeibua hisia kali na pengine
> kuliko la Mbagala lakini kwa vile aliyefanya hivyo ni muislamu imechukuliwa
> kama ni tukio la kivuta bangi na kwamba aliyefanya hivyo hana akili timamu
>
> 2012/10/27 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>
>>
>> Ina maana akikojolea msahafu mtoto mkristu ni tatizo, wachome makanisa,
>> waharibu vituo vya polisi na kuharibu mali za watu. Ila, akikojole
>> mwislamu
>> hata akiwa mtu mzima au kijana mlevi hii ni Kheri haina tatizo na
>> kumpiga,
>> kuchomea nyumba yao wala kumchinja ni poa tu. Basi hapa kuna namna.
>>
>> Baadhi ya makanisa nchini (Mojawapo ni la Bagamoyo RC-kaaulize wazee na
>> mapadri kama ninaongopa) yameshuhudia vurugu za waislamu toka kabla na
>> baada ya Uhuru. Wakati wa sikukuu mfano pasaka au kristmas lazima waombe
>> ulinzi wa polisi na sikuhizi ni kuajiri makampuni ya ulinzi. Waislamu
>> huingia kanisani wakati wa misa na kupiga kelele "Yesu si Mungu". wengine
>> huenda kupokea ekaristi wanaowafahamu huwakamata na kuwatoa. Hakuna
>> aliyepigwa wala kushitakiwa, wakristu huvumilia. Wengine wamediriki
>> kuitoa
>> sanamu ya Bikira maria ampapo ipo ktk pango toka kanisa lijengwe 1868 na
>> kuinyea mavi, kuikojolea ikiwa imetupwa nje na ipo katika ardhi ya kanisa
>> karibu na makaburi na marian secondary school. Hii imechafuliwa si
>> pungufu
>> ya mara tatu. Wakristu hawajathubutu kuingia msikitini kufanya fujo kwani
>> dini inafundisha upendo na hata nyumba za wazee na watoto yatima za
>> wakristu walelewao na waislamu wapo.
>>
>> Ipo wakati wakristu walisali Misa ya mazishi ya kilatini bagamoyo kwa
>> sanamu ya mama wa Mtume Issa kunyewa kinyesi na yaliyowapata wahusika
>> talikuwa makubwa kaulize utaambiwa. Ilipotokea mara nyingine likapigwa
>> tangazo kuwa misa hiyo itasomwa tena wakaenda kuomba msamaha. lakini
>> wachafunzi hao pia waliiba vikombe vya kanisani vya vya dhahabu vile vya
>> kuweka ekaristi ambavyo baadhi ya mapadri walipewa makwao kama zawadi ya
>> upadirisho wao. Vikombe ambavyo vimekoshwa kwa dhahabu ndio mfumo wa
>> zamani
>> wa kubekea ekaristi, makanisa ya Urusi yana mpaka minara ya dhahamu,
>> mavazi
>> ya mapadri yenye marembo hayo na vikombe vya namna hiyo. Sasa tunatumia
>> vya
>> kuchonga kwa mpingo na vya chuma cha fedha.
>>
>> Endapo mtu ataanzisha vurugu na kuandamana kwenda kuunguza
>> kanisa-naitokee
>> basi Mungu auzime moto kwa uwezo wake lakini 'Ashushe Radi na umeme'
>> iwapige/iwatandike hao Kafir waendao kuchoma makanisa kwa visingizio
>> vyao
>> binafsi na mapungufu yao waliyoyajenga wenyewe 'wagauke mawe' na mtu
>> akiwaona ajue huyu ni furani na yule pale ni fulani. Ikitokea hivi kama
>> ilivyotokea kwa mke wa mtume mmojawapo kugeuka jiwe alipoambiwa asigeuke
>> nyuma (wakati Sodoma na Gomora zinateketezwa), hii itakuwa fundisho na
>> faida kwa wao kufahamu kuwa 'Bwana Yesu Yupo na yu hai na haya yote
>> aliyatabiri kuwa ndio ujio wake wa kurudi tena duniani na wote watampigia
>> goti yanaanza kuonekana' Na ndio maana walichukua vifaa vya yesu kanisani
>> wakapeleka nyumbani wakafumwa navyo. Wakivamia bar kuvunja maduka ya
>> pombe
>> wasiyoyataka-chupa za pombe hawavuji bali crate za chupa za vileo
>> zinahamia
>> home!! Hapa hakuna udini bali njaa na ushabiki wakijinga.
>>
>> Maandamano ya dini yanahusianaje na wewe kukimbilia unga na bidhaa
>> nyingine madukani? Kuchomoa kioo cha gari ipitayo!! Mnaharibu maendeleo
>> haya ya watoto wenu watanzania ndugu zangu waislamu.
>>
>> Kama ni udini kweli-ukristu unaonea watu na kuwakandamiza kuwa hautakiwi,
>> wale wazazi wa binti aliyepigwa risasi Pakistan wangekataa asiende
>> kutibiwa
>> England bali Misri au Saudia.
>> Jiulizea pia, kwa nini wahamiaji wa kutoka nchi zinazopigana udini huko
>> mashariki ya mbali na ya kati na Africa kimbilio ni-england, Canada,
>> australia, Germany, France, USA hata kuvamia magari channel tunnel ili
>> wafike UK? Na ukiwakuta huko wameshikana mikono na wapenzi wao, wapo
>> shopping, vijana wamevaa kisasa hata debweza. Hakuna anayependa kurudi
>> nyuma, maendeleo ni haja ya kila mtu. Kama ni madawa ya kulevya-yanalimwa
>> huko na kulindwa na mtutu na walinzi wanaonekana wakisali sala kila muda
>> unapowadia. Kama ni pombe-zipo kila kona toka mnazi, tende (gongo), beer,
>> wine wengine kunywa kwa kificho. kama dhambi ya ubakaji na ushoga-hii
>> ndio
>> chai kwa wanaoingiza udini sana Tanzania lakini waliowengi vitendo vyao
>> vichafu. Tunataka nini sasa. rais mwislamu na mawazili wa dini yake
>> kibao.
>> unguja viongozi wote karibu ni waislam. Wamezuia maendeleo ya kusoma
>> vipi.
>> Muungano unamsuia mtu asisome bali abwie unga vipi?
>> Hatuna institutional memory ya head memory jinsi mwarabu na wazungu
>> walivyotufanyia mpaka leo hii tuwakubalie watutumayo kufanya ili tuharibu
>> umoja na udugu wetu? Kuchanganya damu ni hoja? Mbona wabhughu,
>> Mbulu-Iraq
>> ni weupe zaidi na nywele za kisomali nao ni watanzania? Lack of identify
>> na
>> kujijua, kujithamini na kuwa na uthubutu wa kujituma kimaendeleo na
>> kutokuwa na malengo ndiko kunakoleta haya machafuko yanayoyewa bendera la
>> 'Udini' hakuna lolote.
>>
>> Ua, nyonga lakini hautaingia mbinguni kwa bendera ya dini yako kwa kuua
>> Kafir bali utaingia kwa shetani. Soma, somesha watoto, shule za dini yako
>> saidia kutumia fedha za dhehebu lako kuajiri walimu wazuri wafundishe
>> wanafunzi wenu wafaulu wajue kujiajiri na kutafuta kazi ashinde interview
>> aajiriwe. Isiwe hayo ya 'my daily bread' halafu useme unaonewa hupati
>> ajira
>> au kuchaguliwa uwakilishi sababu ya rushwa when your daily bread is
>> 'udini
>> na kukaa jobless corner kuuza utaranta kutwa. Inachefua!!. Tuongeze
>> umasikini sasa na bado tu masikini. kama laan hivi Afrika. ujue
>> ukigombana
>> na mkeo chumbani kwa makelele jirani mbaya wako atasikia na kuweka mkono
>> wake muovu ili mfarakane na mtatesa watoto na wazazi wenu. Mwarabu, Boko
>> Haram, Alkaida wataingia TZ tujimalize. Wao kwao wanakata walimu mikono
>> wakiwakuta darasani, wanakata mikono wanaowakuta wanasoma elimu dunia,
>> wasichana wasisome zaidi ya quran. Jee, tunayataka haya? Si wakristu ndio
>> watapeta kusoma zaidi na kushika madaraka? Tufunguke akili na upeo wa
>> kufikini.
>>
>> --- On *Fri, 26/10/12, Said Issa <saidissa100@yahoo.com>* wrote:
>>
>>
>> From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA
>> TASIBILI HUKO PEMBA
>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Friday, 26 October, 2012, 16:00
>>
>>
>> Dear Bw. Mbuba,
>>
>> >Habari hii haiwezi kuwa ya Kweli!
>>
>> Kaka ni kweli. Jamaa alikuwa kalewa chakari!
>> Soma msg ya hapa chini niliyoipokea sasa hivi.
>>
>> ...bin Issa.
>>
>>
>> ----- Forwarded Message -----
>> *To:* "saidissa100@yahoo.com" <saidissa100@yahoo.com>
>> *Sent:* Friday, October 26, 2012 10:50:53 AM
>> *Subject:* Fw: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA
>> TASIBILI HUKO PEMBA
>>
>> Wlkm Slm.
>>
>> Ni kweli hili tukio la mlevi kukojolea mas'hafu. Baada yakupokea hii
>> email
>> yako nimewapigia simu Pemba kuthibitisha. Kweli amepandishwa mahakamani
>> lakini hapakua nafujo kwani suala hilo lilikua halihusiani naupinzani
>> wakidini bali lilikua nimlevi na hapakua nauharibifu wowote wamali wala
>> uvunjifu wa amani.
>>
>> Asante, nakutakieni nyote Eid Mubarak!
>>
>> Sent from my BlackBerry® smartphone powered by Mobilicity
>>
>> ------------------------------
>> *From:* weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Friday, October 26, 2012 11:30:11 AM
>> *Subject:* Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA
>> TASIBILI HUKO PEMBA
>>
>> Habari hii haiwezi kuwa ya Kweli!
>>
>> --- On *Thu, 10/25/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>* wrote:
>>
>>
>> From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA
>> TASIBILI HUKO PEMBA
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Thursday, October 25, 2012, 11:48 PM
>>
>> Makubwa, ngoja tusubiri pengine wanasubiri ipite siku kuu ya Iddi el
>> Haji!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Maurice Oduor
>> <mauricejoduor@gmail.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=mauricejoduor@gmail.com>
>> >
>> Sender:
>> wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Fri, 26 Oct 2012 02:40:45
>> To:
>> <wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>> >
>> Reply-To:
>> wanabidii@googlegroups.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA
>> TASIBILI
>> HUKO PEMBA
>>
>> Mtume !!! Vya kushangaza !!
>>
>> Courage
>>
>>
>>
>> On 10/26/12, mngonge
>> <mngonge@gmail.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=mngonge@gmail.com>>
>> wrote:
>> > wakati sakata la kijana wa Mbagala kukojolea kitabu kitakatifu likiwa
>> > bado bichi mahakamani.
>> > Huko Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu
>> kitabu
>> > hicho kwa kukikojolea kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yake
>> > kumpakata mbwa huyo.
>> >
>> > Mtu huyo mwanamme baada ya kutenda tukio hilo kajipeleka mwenyewe kwa
>> > shehe na kumtaarifu kuhusu hilo
>> > Tayari kijana huyo amekwishafikishwa kwenye vyombo vya sheria ili
>> > sheria ichukue mkondo.
>> > Tofauti na mbagala hapakuwepo na maandamano wala uharibifu wa mali za
>> > kanisa au msikiti wowote.
>> >
>> > Jamani sasa dunia sijui inakoelekea ni wapi, inabidi tuiombee nchi
>> > yetu na kuiepusha na mabalaa haya.
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://us.mc1219.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment