Thursday 25 October 2012

[wanabidii] NDEVU, MASHARUBU, SIDEBURNS MARUFUKU ZANZIBAR???

Hizi sijui ni sheria za wapi ziliopo huko Unguja!
Huwezi kumnyoa ndevu mtu kama sio bado mfungwa.
Kama matatizo ni ndevu sasa tunangojea Maalim Seif nae anyolewe za kwake!
Pili wanaowaingilia watu usiku wanalafdhi za kibara. SMZ haifanyi la maana hapa.
Wanapandikiza chuki bure na watu wa kutoka Bara.
Waznz watazidi kuwachukia watu wa Bara.
Kwa shughuli za kishenzi kama hizi, SMZ itumie Waznz wenyewe na sio askari wa Bara.

0 comments:

Post a Comment