Friday 19 October 2012

[wanabidii] Madai Ya Dkt Ulimboka “Ni Upuuzi Mtupu” – Ikulu - Mwanzo

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dkt. Stephen Ulimboka, kusisitiza kwamba alitekwa na mtu anayefanya kazi Ikulu, Ramadhan Ighondu, Ikulu imehamanika na kujitetea kwamba madai hayo ni ya kipuuzi.

Jana Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alisisitiza: "Ikulu iliishajibu. Tulisema haihusiki, na Rais Jakaya Kikwete amepata kuzungumza juu ya jambo hili mara nyingi."

Rweyemamu, bila ya kufafanua zaidi alisema, "Naomba uninukuu; haya madai ni upuuzi… hiki kitu kilishajibiwa."


http://wotepamoja.com/archives/9235#.UIFiVMtWY5w.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment