Tuesday 23 October 2012

[wanabidii] Huyu anaipenda CCM kikweli!

Jamani, huyu mwenzetu sijui kama haya anayoyaonesha ni mapenzi au ni ugonjwa!
Katia rangi ya chama chake mpaka kwenye miwani aliyoivaa!
Hii kweli inafurahisha na kukirihisha pia!

0 comments:

Post a Comment