Wednesday 17 October 2012

[wanabidii] Dr. ULIMBOKA AWEKA MAMBO HADHARANI - KUMBE ILIYOMFANYIA UNYAMA NI IKULU

Ndugu zangu mumeipata hiyo, kupitia kituo cha televion cha ITV
wameonyesha mwandishi wa habari Nayaronyo mbele ya waandishi wa habari
amesoma ujumbe kwa niaba ya Dr.Ulimboka kwamba aliyeongoza unyama
aliofanyiwa ni afisa wa ikulu na jina limetajwa kwamba ni Abeid.
Nakumbuka mtu huyo alimtaja ata alipokuwa amelazwa muhimbili
tukaambiwa na watendaji kwamba amechanganyikiwa sasa na hii ya leo
sijui bado amechanganyikiwa au watatwambia nini zaidi. naomba mwenye
ujumbe wenyewe atuwekee hapa kwenye jukwaani

Sababu ya kulifungia mwanahalisi bila shaka imezidi kudhiirika mupo
hapo skendo juu ya skendo

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment