Thursday 25 October 2012

Re: [wanabidii] ZANZIBAR BADO SIO SHUWARI - WATU TELE WAPIGWA USIKU!


Sababu ya kupigwa?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 25 Oct 2012 07:32:46 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] ZANZIBAR BADO SIO SHUWARI - WATU TELE WAPIGWA USIKU!

Watu mbali mbali wamejeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi…   
Watu hao wamepigwa baada ya kufuatwa majumbani mwao nyakati za usiku na kutakiwa kutoka nje na kupigwa huku baadhi yao wakiwa wamelazwa hospitali wakipatiwa matibabu.

0 comments:

Post a Comment