Thursday 18 October 2012

Re: [wanabidii] Wazee Wa Yanga Watoa Sababu Za Kutovaa Jezi Zenye “DOTI” Nyekundu Ya Vodacom - Mwanzo

Hivi mzee Akilimali ni nan katika Yanga

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 18 Oct 2012 09:01:54
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wazee Wa Yanga Watoa Sababu Za Kutovaa Jezi Zenye "DOTI" Nyekundu Ya Vodacom - Mwanzo

Inabidi tufike mahali tubadilike mpira wa miguu haukuanzia Tanzania na
wala siyo kwamba tunafanya vizuri sana kwenye fania hiyo. Mdhamini wa
mpira ana malengo yake ya kibiashara na vilabu vina malengo yake.

Tunaziona timu kubwa zikiwa na jezi aina nyingi tu rangi tofauti
wanapocheza na timu tofauti, jezi zote uwa na nembo ya mdhamini. Kwani
hiyo Yanga ina kitu gani cha ajabu kuifanya iskubali rangi. Je sheria
za TFF zinasemaje kuhusu uhusiano uliopo kati ya TFF, vilabu na
wadhamini wakati wa mikataba?

Kama sheria zipo na club inazikiuka, bila shaka adhabu zipo na sheria
ichukue mkondo, TFF waache kulea upuuzi. Tukiendekeza mambo ya
ushabiki usiokuwa na mashiko tutaua soka. Lazima tuziheshimu taratibu
na sheria za shirikisho. Tuliwaona wachezaji wa Yanga wakimpiga refa
sina uhakika hatua zilizochukuliwa kama ziliwaridhisha marefa na leo
ni Yanga hao hao wanaoanzisha migomo isiyokuwa na kichwa wala miguu.
TFF woga wa nini? simamia taratibu na sheria bila kuangalia huyu ni
Yanga au Simba tofauti na hapo tutashindwa kuwaelewa

2012/10/18 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>:
> Club ya Yanga imeandika kwenye club yake kwamba Katibu wa Baraza la wazee wa
> klabu hiyo Mzee Ibrahim Akilimali ametoa ufafanuzi juu ya timu ya Yanga
> kutovaa jezi zenye nembo nyekundu ya mdhamini wa ligi kuu Tanzaniza bara
> kampuni ya simu ya Vodacom.
>
> Akiongea na wandishi wa habari makao makuu ya klabu makutano ya mitaa ya
> Twiga/Jangwani, Mzee Akilimali amesema kamwe hawatakubali matakwa ya vodacom
> na TFF ya kuweka nembo yenye doa jekundu katika jezi za Yanga.
>
> Ni afadhali hao TFF watufute katika ligi yao kama wataendelea kutulazimisha
> kuvaa jezi zenye nembo nyekundu, kwani tupo radhi kubaki kucheza michezo
> isiyodhaminiwa na Vodacom kama bao, ngumi, na mingineyo au hata kuhamia ligi
> ya visiwani Zanzibar ambako tutacheza bila vikwazo.
>
>
> http://wotepamoja.com/archives/9082#.UH-V8Vina9c.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment