Thursday 18 October 2012

Re: [wanabidii] Wazee Wa Yanga Watoa Sababu Za Kutovaa Jezi Zenye “DOTI” Nyekundu Ya Vodacom - Mwanzo

Juma, umesema vizuri na unajua soka letu na mazingira yake.
sio lazima kuzungumzia hoja ambazo mtu hana "interest" humu manake unaweza potosha watu bure.
Kwanza watu wanaozungumzia Uwanja wa Azam mi nawashangaa sana. Wafike kule wauone, ule si uwanja wa kuchezea mechi ni wa mazoezi ambao Yanga walikuwa nao tangu miaka ya 70! Labda ungekarabatiwa ndo watu wangeelewa! Ishu ni mfumo!
Ule wa Taifa tu ndo kwanza unakarabatiwa tangu miaka ya 60 huko!
Na bado tangu mwaka juzi hauishi!
Of course wazee wale wanatia chachu tu kwenye hiyo ishu ya jezi kwani hawaisemei Yanga moja kwa moja na ni bora tungewajadili wao badala ya kugusa mambo mengine ambayo ki upana wake yanaweza jadiliwa kirefu sana. Manake hata kama wazee wale hawamtaki mleta maendeleo Yanga haimaanishi kuwa basi viongozi kweli wafuate ujinga wao!  Kuna changamoto...

2012/10/18 Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com>

Hayo maswali unayotaka Yanga wajiulize pia uiambie na Serikali ijulize ni tatizo la mfumo mzima wa soka la Tanzania kwani hata timu za Taifa zinapitisha bakuli ili zipate nauli ya Kusafiri,wewe kwa hisia zako unaikomalia Yanga timu nyingi za Tanzania zinatemegemea misaada hadi timu yako ya Taifa.Mfumo mzima wa soka letu mbovu.

Pia usichukulie kwamba Yanga ni masikini kihivyo na kwamba mishahara yote analipa mtu mmoja.Yanga na Simba zina mkataba wa kuitangaza bia ya Kilimanjaro kwa hiyo mishahara na baadhi ya gharama zinalipwa na TBL,sio huyo mtu mmoja unayemkariri.

TFF inauburuzwa na wadhamini, haipo wazi kwenye mikataba wanaongozwa na njaa.Wanaotangaza biashara za wadhamini ni vilabu mkataba anasaini yeye bila kuwashirikisha vilabu,matokeo mdhamini anavimba kichwa na kujiamulia rangi za jezi za timu ni ujinga huu Vilabu visikubali kuburuzwa.Tuombe mungu atujalie uchaguzii ujao tupate Viongozi wenye nia ya kuinua soka la Tanzania sio hawa wababaishaji waliopo wamebweteka.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of kailima kombwey
Sent: Thursday, October 18, 2012 9:11 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wazee Wa Yanga Watoa Sababu Za Kutovaa Jezi Zenye "DOTI" Nyekundu Ya Vodacom - Mwanzo

Binafsi nikubaliana na msimamo wa hawa wazee wanaojiita wakereketwa wa  Klabu ya Yanga kwa kuonesha maimamo wa kutovaa jezi yenye alama nyekundu ambayo ni nembo ya wadhamini wa Ligi inayoendelea.

Lakini msimamo wao huu ungevuka mipaka zaidi ya hapo wangeonesha msimamo wao wa kujiuliza pia hadi lini Yanga itaendelea kutegemea mfuko wa mtu mmoja kuwalipa wao ili waje kisema mbele ya vyombo vya habari? Wangeonesha msimamo wa kukataa mfuko wa mtu mmoja kuendelea kulipia mishahara ya mwalim wa Timu, wachezaji na gharama zingine.

Wangeonesha msimamo wa kuona sasa Klabu ya Yanga inaendesha kwa kunitegemea na siyo kwa kutegemea mapato ya Mlangoni

Nilidhani pia wangeonesha msimamo kama huo wa kujiliuliza hivi hadi lini Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 hadi leo haina uwanja ambao inaweza kuutumia kucheze michezo ya Ligi Kuu? [Waone mfano wa AZAM]
Wazee hao wangekuwa na uwezo wa kukataa kuwa vibaraka wanaotumiwa na mtu mmoja kwa maslahi yao na matumbo yao.

Inakera sana kuona Wazee hao hawana na nadhani hawajisumbui kutafakali kuhusu maendeleo ya kiuchumi ya Klabu ya Yanga. Kwao wao Kiongozi ni yule mwenye "vision" ya kuangalia matumbo yao na kuwapa vijihela vya kula kahawa

Kwao yule Kiongozi mwenye mtazamo kuhusu maendeleo ya kiuchumi kwa Yanga hawamtaki.

Hebu washabiki maana siyo wanachama wa Yanga na Simba kaeni mjiulize Klabu zenu zimeanzishwa lini hadi mwaka huu 2012 bado ni wategemezi wa mfukp wa mtu mmoja.

Makao Makuu ya Klabu zenu hayana tofauti na kijiwe hayana hadhi ya majina ya Klabu zenu.

FUMBUENI MACHO.

On Oct 18, 2012 8:53 AM, "paul lawala" <pasamila292000@gmail.com> wrote:

Kwani sheria na kanuni zinasemaje kuhusu maswala haya?

2012/10/17 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>

Club ya Yanga imeandika kwenye club yake kwamba Katibu wa Baraza la wazee wa klabu hiyo Mzee Ibrahim Akilimali ametoa ufafanuzi juu ya timu ya Yanga kutovaa jezi zenye nembo nyekundu ya mdhamini wa ligi kuu Tanzaniza bara kampuni ya simu ya Vodacom.

Akiongea na wandishi wa habari makao makuu ya klabu makutano ya mitaa ya Twiga/Jangwani, Mzee Akilimali amesema kamwe hawatakubali matakwa ya vodacom na TFF ya kuweka nembo yenye doa jekundu katika jezi za Yanga.

Ni afadhali hao TFF watufute katika ligi yao kama wataendelea kutulazimisha kuvaa jezi zenye nembo nyekundu, kwani tupo radhi kubaki kucheza michezo isiyodhaminiwa na Vodacom kama bao, ngumi, na mingineyo au hata kuhamia ligi ya visiwani Zanzibar ambako tutacheza bila vikwazo.

http://wotepamoja.com/archives/9082#.UH-V8Vina9c.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment