Saturday 6 October 2012

Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo

Samahani, Kenyatta alisaini mwaka 1974, ni Amin ndiye aliyesaini mwaka 1973.



T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Paul Liyai" <pauliyai@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
Date: Sat, Oct 6, 2012 3:21 pm



Ndugu Matinyi,
Mbona huonyeshi mapungufu yangu katika Kiswahili? Jambo ninalolikataa katakata na sitalikubali asilani ni kuwa eti Watanzania ni mabingwa wa Kiswahili. Hilo nakataa abadan Katan. Nenda juu chini ikiwa utalizua tena nitapinga nakupinga hadi utakaponyamaza. Lengo langu kuu nikukuonyehsa kuwa Kiswahili ni cha Afrika ya kati.
Paul

From: "kimdr53@gmail.com" <kimdr53@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, October 6, 2012 6:35 PM
Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo

Kweli Maurice nimeteleza neno sahihi ni MJADALA na si MJADARA. Pia na wewe nikusahihishe katika thread ya Lake Malawi saga, neno ni SUALA na si SWALA!
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

-----Original Message-----
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 6 Oct 2012 03:46:18
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo

Kim,

Eti Mjadara? Ama ulimaanisha Mjadala?

Hapo ndugu si nawe umeteleza tunavyoteleza sote mara kwa mara?

Courage



On 10/6/12, kimdr53@gmail.com <kimdr53@gmail.com> wrote:
>  Paulo
>  Nadhani tumekuelewa sana, na inavyoelekea hatutakubaliana hapa. Hata
> Kiswahili chako unachokiandika kinaonyesha dhahiri mapungufu uliyonayo
> katika kukitumia Kiswahili. Kwa heshima na taadhima nakushauri mjadara
> ufungwe!
>
>    Idriss Mussa
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
>
> -----Original Message-----
> From: Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 5 Oct 2012 21:33:32
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>
> Ndugu Matinyi,
> Nimekuelewa. Sasa bwan Matinyi, kosa hili la Mkenya mmoja au wawili linaleta
> hoja ya Kusema kuwa Watanzania ni mabingwa wa Kiswahili? Je kosa hili ni
> ushahidi kuwa Wakenya wote wanamakosa haya? Hakuna nchi yoyote ile inayoweza
> kusema kuwa wao ni mabingwa wa Kiswahili kwani Kiswahili ni Lugha yetu sisi
> watu wa Afrika Mashariki na Dunia nzima.
>
> Tanzania kuna Jamii nyingi mno, Wamasai, Wazaramo, Wanyakyusa, Wangoni,
> Wasukuma, Wachaga na wengine wengi ambao hata wao wanakitumia Kiswahili kama
> lugha ya Pili. Huwezi kupinga jambo hili. Nilikwambia kuwa nilikuwa na
> Mwalimu aliyenifundisha Fasihi ya Kiswahili kutoka Dar-Salaam ambaye kwa
> kweli alikisema tu Kiswahili lakini Kufundisha hakuweza kwani alikuwa
> ametimuliwa kutoka katika Shule nyingine kwa sababu ya kutoweza kufundisha.
> Siwezi kuliandika jina lake hapa.
>
> Nimesoma na Watanzania wengi katika Chuo na wao pia walikuwa na shida nyingi
> mno za kisarufi, mambo kama sarufi hawakuyazingatia hata kidogo.
>
> kakuku kadogo badala ya kuku mdogo au kikuku kidogo, tunaendaga badala ya
> sisi huenda, tunakulaga badal ya sisi hula. Hata hivyo hii si kusema kuwa
> watanzania wote huyafanya makosa haya. Wala sisemi kuwa watanzania si mahiri
> katika kukitumia Kiswahili, la hasha- Kiswahili kimeendezwa na Watanzania
> kuliko Wakenya. Kinatumiwa zaidi na Watanzania kuliko Wakenya. Utafiti na
> kazi zote za Usomi wa Lugha ya Kiswahili ni za hali ya juu na katika kiwango
> cha juu zaidi kuliko Kenya. LAKINI WATANZANIA SIO MABINGWA WA KISWAHILI.
> Paulo
>
>
>
>
>>________________________________
>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Saturday, October 6, 2012 1:42 AM
>>Subject: RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>>
>>
>>Paul,
>>
>>Kwenye hoja yako ya kutohoa nahisi ulidhani tatizo langu na yule bibiye wa
>> Kikenya ilikuwa kusema ama kujumuisha neno "wikiendi". Hapana, si hili, na
>> mimi natambua kwamba siyo Waswahili tu waliotohoa neno hili bali hata
>> Wafaransa husema hivi hivi na kuandika hivi hivi kama kwenye Kiingereza
>> --- week-end. Purukushani ilikuwa kwenye msemo mzima-  "wikiendi bora."
>> Haiwezekani huu msemo ukabeba maana ya wikiendi njema kwa kumaanisha have
>> a nice week-end.
>>
>>Nadhani nimekujibu.
>>
>>Matinyi.
>>
>>
>>
>>________________________________
>> Date: Fri, 5 Oct 2012 10:53:42 -0700
>>From: pauliyai@yahoo.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>Bwana Masuki,
>>Asante kwa mchango wako ingawaje mada yenyewe ni nzito kwako kidogo kwani
>> hujui utomvu wenyewe uko wapi. Sababu ya mimi kuutolea mfano wa Krapf si
>> kuonyesha kwamba ndiye mtu wa kwanza kuandika Kiswahili la hasha, hoja
>> yangu ilikuwa kumwonyesha Mwenzangu Matinyi kuwa Kamusi ya kwanza
>> iliyoandikwa na Krapf iliandikwa kwa msaada wa wakalimani Wakenya si
>> Watanzania. Matinyi anapasuka kinywa kwa kusema kuwa Kiswahili kina asili
>> yake Tanzania na hiyo si kweli. Kiswhaili chimbuko lake ni pwani ya Afrika
>> Mashariki na nilimnukulia ramani rasmi inyoonyesha kuwa si Tanzania tuu.
>>
>>
>>Matinyi alikuwa ameshaanza kuvunda kinya kwa kusema kuwa Kenya hakuna
>> waandishi wa vitabu vya Kiswahili ndio sababu wanafunzi wakenya
>> wanatahiniwa kwa tamthilia na Riwaya kutoka Tanzania. Watu kamaProf.
>> Kyallo Wadi Wamitila
>>
>>Ireri Mbaabu, Abdala Mwasimba ni wakenya wala si Watanzania.  Matinyi
>> katika waraka wake alitohoa neno pointi (  Unatakaje?
>>Kila pointi niliyokuwekea hapo ina maana yake) Yeye akitohoa ni vyema
>> Mkenya akitohoa kama yule Mhadhiri aliyemtakia mwenzie wikendi njema
>> anakivuruga Kiswahili.
>>
>>Wacha nikuketishe chini nikuelemishe kidogo. Wewe ni kama Watanzania
>> wengine wanofungua vinywa bila kufikiri kwanza. Sheng si Kiswahili
>> kilichotoholewa kama ulivyodai, Sheng ni lugha inayochipuka na kunyauka
>> majira na misimu inavyoendelea kubadilika. Sheng ni mchanganyiko wa lugha
>> nyingi zikiwemo Kikikuyu,Kijaluo, kiingereza, Kiswahili, Kiarabu, kihindi,
>> kiGujarati, na lugha nyingine nyingi. Mfano wa maneno ya Sheng ni kama
>> Kusorora kutazama au kuona, Ashu-kumi, keja -nyumba n.k tazama video hii
>> http://www.youtube.com/watch?v=YrquMdHlJn4
>>Jambo la kutazama hapa ikiwa wewe ni mwana taaluma ya isimu ya lugha, Sheng
>> ni kama 'slang' na sheng inayosemwa Nairobi, ni tofauti na ile inayosemwa
>> Nakuru au miji mingine ya Kenya. Hata Nairobi pekeyake, kuna lugha nyingi
>> za Sheng kulingana na wingi wa mitaa iliyoko Nairobi. Lugha hizi
>> zinakiathiri Kiswahili lakini wanafunzi wengi wanaweza kuzitumia lugha
>> zote mbili kwa umahiri na huwezi kupata wakichanganya katika mitihani yao..
>> Wakati wangu ningeweza kusema sheng ya wakati huo na kuandika insha zangu
>> za Kiswahili bila mwingiliano wowote. Sheng niliyokuwa nikisema si sheng
>> iliyoko sasa na huwezi kuandika kamusi ya sheng.
>>
>>
>>
>>Tunalosema hapa kuwa Watanzania sio wenye Kiswahili wala wao si mabingwa wa
>> Kiswahili. Jambo ninaloweza kuliona katika maandishi ya watu kama Matinyi
>> nikwamba wanawaonea ghere Wakenya ambao wana shahada za juu katika
>> Kiswahili na Kiswahili chao labda nikile kilichoathiriwa na lugha za
>> kwanza. Kumbuka kwamba katika kutahiniwa kwa Kiswahili na hata kiingereza,
>> watu hawatahiniwi kusikiliza na kuongea, hutahiniwa kuandika na kusoma.
>> Utampata Mkenya anayesema mbora badala ya bora na akiandika ataandika
>> tahajia sahihi.
>>
>>Paulo
>>
>>
>>>________________________________
>>> From: Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Sent: Friday, October 5, 2012 7:50 PM
>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>
>>>
>>>Sasa wewe Paul, ukisoma historia unaambiwa kuwa Rebman alikuwa mtu wa
>>> kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro na ukisoma hivyo unaamini hivyo? Kwani
>>> kabla Rebman hajaja Kilimanjaro wenyeji hawakuuona huo Mlima? Basi
>>> vilevile kwa hili Kama Krapf ndo alikuwa wa kwanza kuandika kamusi na
>>> akawahusisha watu wa Rabai kumpa tasfiri haina maana kuwa Warabai ndiyo
>>> walioanzisha kiswahili. Rudi kwanye makataba ukachimbe zaidi uje na hoja
>>> yenye mashiko. Na vile vile wewe kujua maana ya utohozi haikufanyi wewe
>>> kuwa bingwa wa kiswahili kwa sababu kiswahili cha kikenya ni cha kutohoa
>>> zaidi lakini mbaya zaidi kwa kuharibu na kukipa jina la "Sheng"
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>2012/10/5 Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
>>>
>>>Bwana Matinyi,
>>>>wajua utohozi nini? Je wewe unaujua msamiati wote wa Kiswhili? Kama kuna
>>>> mtu hat mmoja anyeujua msamiati wa lugha yoyote ile hatungekuwa na maana
>>>> ya kuziandika kamusi.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>>________________________________
>>>>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>>>>To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>Sent: Friday, October 5, 2012 4:18 AM
>>>>>
>>>>>Subject: RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>Paul,
>>>>>Sijaelewa unachokitaka.
>>>>>Si ulijitetea kwamba hukufanya makosa ya kisarufi bali ni makosa ya
>>>>> uandikaji tu? Sasa unataka nikwambieje?
>>>>>Kama Wakenya wameandika vitabu vingi vya Kiingereza, sasa inaua vipi
>>>>> hoja yangu, kimsingi hata hoja haifi hapa. Unatakaje?
>>>>>Kila pointi niliyokuwekea hapo ina maana yake - kwa ufupi nilikuwa
>>>>> nataka kukata ngebe zako. Juzi mwalimu mmoja wa Kiswahili Mtanzania
>>>>> hapa Marekani amekutana na profesa wa Kiswahili Mkenya hajui maana ya
>>>>> msamiati "magonjwa sugu." Mwalimu mwingine wa Kiswahili Mkenya mwenye
>>>>> shahada ya uzamivu (PhD) nimemkuta anawafundisha Wamarekani kusema eti
>>>>> "wikiendi bora" akimaanisha: "...have a nice weekend!". Hii ni nini?
>>>>> Halafu unabisha kitu gani?
>>>>>Angalia hapo chini umeweka Kiswahili cha Kikenya: "....majivuno isiyo
>>>>> msingi."
>>>>>Angalia pia herufi kubwa na ndogo zinavyogongana kwenye Kiswahili chako
>>>>> - uthibitisho kwamba unakijua vizuri sana Kiswahili.
>>>>>Galagabaho hivyo hivyo.
>>>>>Matinyi.
>>>>>
>>>>>
>>>>>________________________________
>>>>> Date: Thu, 4 Oct 2012 14:07:44 -0700
>>>>>From: pauliyai@yahoo.com
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>
>>>>>Ndugu Matinyi,
>>>>>Nakuonea huruma wewe. Pole sana. Nikweli wewe hufahamikiwi kwani
>>>>> unatapatapa hapa napale. Nilikuuliza unionyeshe nivipi ninakivuruga
>>>>> Kiswahili, umeruka umekwnda Kwa Nyerere, msumbiji sijui nini,....
>>>>> Nilikwambia kwamba wakenya wameviandika vitabu vingi katika Kiingereza,
>>>>> kuandika vitabu hakuwafanyi Wakenya kuwa mabingwa. Soma hii profile
>>>>> ujionee mwenyewe
>>>>> http://www.ku.ac.ke/schools/humanities/images/stories/docs/prof_mbaabu.pdf
>>>>> Tena mtafute bewana huyu Meja Mwangi aliyeandika Vitabu kama the
>>>>> Cocroach Dance, Carcase for hounds na vingine vingi. Hapa chini Orodha
>>>>> ya Watanzania walioandika Vitabu mbali mbali. Je idadi yao ni sawa na
>>>>> ya wakenya? Ujibu swali hili wacha kutapatapa na majivuna isiyo msingi.
>>>>> Mimi Kiswahili ni lugha yangu ya Kwanza. Si KAMA UNAVYO FIKIRAI WEWE.
>>>>>
>>>>>Tanzania
>>>>>    * Agoro Anduru (1948–1992), short story writer.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Mark Behr (1963– ), fiction writer also connected with South Africa.
>>>>>    * Chachage Seithy Chachage ( –2006), sociologist and Swahili
>>>>> novelist.[146]
>>>>>    * Abdulrazak Gurnah (1948– ), novelist and critic.[Gikandi] [Killam &
>>>>> Rowe]
>>>>>    * Ebrahim N. Hussein (1943– ), playwright, essayist, poet and
>>>>> translator.[Gikandi] [Gikandi & Mwangi] [Killam & Rowe]
>>>>>    * Euphrase Kezilahabi (1944– ), novelist, poet and scholar.
>>>>>    * Jacqueline Kibacha, poet.[147]
>>>>>    * Aniceti Kitereza (1896–1981), novelist.
>>>>>    * Amandina Lihamba (1944– ), playwright.[148]
>>>>>    * Ismael R. Mbise, novelist and academic.[Gikandi]
>>>>>    * Penina Mlama, playwright.[149]
>>>>>    * Sandra A. Mushi, poet.[150]
>>>>>    * Elvis Musiba ( –2010), businessman and Swahili novelist.[151]
>>>>>    * Godfrey Mwakikagile, writer and specialist in African studies.
>>>>>    * Ras Nas, musician and poet.
>>>>>    * Julius Nyerere (1922–1999), politician and writer.[Gikandi & Mwangi]
>>>>>    * Peter Palangyo (1939–1993), novelist.[Gikandi] [Gikandi & Mwangi]
>>>>> [Killam & Rowe]
>>>>>    * Prince Kagwema (1931– ), novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Hammie Rajab, Swahili novelist.[152]
>>>>>    * Shaaban Robert (1909–1962), Swahili novelist and poet.[Gikandi]
>>>>>    * Gabriel Ruhumbika (1938– ), novelist and short story writer.[Gikandi]
>>>>> [Killam & Rowe]
>>>>>    * Edwin Semzaba, novelist, playwright, actor and director.
>>>>>    * Robert Bin Shaaban (1902–1962), poet, author and essayist.
>>>>>    * Shafi Adam Shafi, Swahili novelist.[153]
>>>>>    * Neema Komba, Poet.
>>>>>Kenya
>>>>>    * kenneth kinyanjui (2012-),novelist,actor.
>>>>>    * Jared Angira (1947-), poet.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Khadambi Asalache (1934– ), poet and author.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Karen Blixen aka Isak Dinesen (1885–1962), novelist.
>>>>>    * Rocha Chimera, Swahili author and critic.
>>>>>    * Corney Gichuki (1968 -), writer of popular children's fiction.
>>>>>    * Elspeth Huxley (1907–1997), journalist and autobiographical writer.
>>>>>    * Philo Ikonya, poet and human rights activist.[89]
>>>>>    * Francis Imbuga (1947- ), director and playwright.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Samuel Kahiga, short story writer and novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Jomo Kenyatta (1892?–1978), politician and writer.[Gikandi & Mwangi]
>>>>>    * Leonard Kibera (1942–1983). novelist and short story writer.[Gikandi
>>>>> & Mwangi] [Killam & Rowe]
>>>>>    * John Kiriamiti (1950- ), writer of popular fiction.[Gikandi &
>>>>> Mwangi]
>>>>>    * Muthoni Likimani (1926- ).[Killam & Rowe]
>>>>>    * Marjorie Oludhe Macgoye (1928– ), novelist, essayist and poet.
>>>>>    * Charles Mangua (c.1940– ), fiction writer.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Ali A. Mazrui (1933– ), academic and political writer.[Killam &
>>>>> Rowe]
>>>>>    * Mwana Kupona binti Msham (died c.1865), Swahili poet.
>>>>>    * Micere Mugo (1942– ), playwright, academic and poet.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Wahome Mutahi (−2003), satirical journalist.
>>>>>    * Joseph Muthee (1928– ), Kikuyu writer.
>>>>>    * Meja Mwangi (1948– ), novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Rebecca Nandwa, Swahili children's writer.[90]
>>>>>    * Mona L. Nduilu (1976 -)[91]
>>>>>    * Stephen N. Ngubiah (1936- ), novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Ngugi wa Mirii (1951– ), playwright.
>>>>>    * Ngũgĩ wa Thiong'o (1938– ), English-language and Gikuyu
>>>>> writer.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Rebeka Njau (1932- ), novelist, playwright and poet.[Gikandi &
>>>>> Mwangi] [Killam & Rowe]
>>>>>    * Chacha Nyaigotti-Chacha (1952– ), playwright.
>>>>>    * Atieno Odhiambo (1945–2009), academic.
>>>>>    * Oginga Odinga (1912–1994), writer, philosopher and
>>>>> politician.[Gikandi & Mwangi]
>>>>>    * Margaret Ogola (1958- ).[Gikandi & Mwangi]
>>>>>    * Grace Ogot (1930– ).[Gikandi & Mwangi] [Killam & Rowe]
>>>>>    * Yvonne Adhiambo Owuor (1968- ), winner of the Caine Prize 2003.
>>>>>    * Shailja Patel, poet, playwright and activist.
>>>>>    * Mwangi Ruheni (born 1934), scientist and popular novelist.[Gikandi &
>>>>> Mwangi] [Killam & Rowe]
>>>>>    * M.. G. Vassanji (1950– ), novelist and editor.
>>>>>    * Koigi wa Wamwere (1949– ), politician and writer.
>>>>>    * Godwin Wachira (1936- ), novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Charity Waciuma (1936– ), novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Wangui Wa Goro, academic and translator.[92]
>>>>>    * Binyavanga Wainaina (1971– ), winner of the Caine Prize 2002.
>>>>>    * Gakaara Wanjau (1921–2001), writer and Gikuyu nationalist.
>>>>>    * Kenneth Watene (born 1944), playwright.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Miriam Were (1940– ), public health advocate, academic and
>>>>> novelist.[Killam & Rowe]
>>>>>    * Moraa Gitaa - author, novelist, short story writer, 2010 Penguin
>>>>> Prize for African Writing nominee, 2008 National Book Development
>>>>> Council of Kenya Literary Award winner. {Nsemia Inc. Publishers, Author
>>>>> Me, G21}
>>>>>
>>>>>>________________________________
>>>>>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>>>>>To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>Sent: Wednesday, October 3, 2012 2:33 AM
>>>>>>Subject: RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>Paul,
>>>>>>Unapoteza muda bure tu. Kwanza hatuna ushahidi wa unayoyasema. Pili,
>>>>>> hata kama ushahidi upo, cha ajabu ni nini? Mbona hapa Marekani tuna
>>>>>> maprofesa wa Kiingereza ambao ni Watanzania mmojawapo ana blogu yake
>>>>>> anaitwa prof. Mbele na hata humu Wanabidii yumo? Hamna cha ajabu kama
>>>>>> kuna Wakenya walioandika vitabu vya Kiingereza lakini sivijui zaidi ya
>>>>>> vile vya Ngugi wa Thiong'o labda na kingine kimoja kwa vinavyotumika
>>>>>> kwenye mitihani. Nitajie vingine.
>>>>>>
>>>>>>Aidha, si lazima ukubaliane na sababu za huyo aliyesema kwamba
>>>>>> Watanzania ni mabingwa lakini ukweli unabakia hivi: Huwezi
>>>>>> kuwalinganisha watu wowote hapa duniani na Watanzania kwenye lugha ya
>>>>>> Kiswahili. Basi! Hakuna ukweli mwingine! Ili Mkenya azungumze
>>>>>> Kiswahili safi ni lazima awe amefundishwa darasani na kukifanya kiwe
>>>>>> sehemu ya utaalamu wake maishani, siyo hivi hivi tu, mathalani
>>>>>> wewe. Ukimchukua Mkenya yeyote utakumbana na madudu.
>>>>>>
>>>>>>Halafu, ili kuweka rekodi vizuri - Watanzania hatukitumii Kiswahili kwa
>>>>>> sababu labda Kiingereza chetu si kizuri, bali tunakitumia Kiswahili
>>>>>> kwa sababu ndiyo lugha yetu. Ukisoma historia utaambiwa kwamba
>>>>>> Watanzania walikitumia Kiswahili kama silaha mojawapo ya kupigania
>>>>>> uhuru lakini Wakenya hawakuwa wanakijua ingawa huwa wanadanganya
>>>>>> kwamba eti na wao walishiriki kwenye kukianzisha - sijui kivipi. (Ule
>>>>>> msemo: Kiswahili kilizaliwa Zanzibar, kikakulia Tanzania, kikafia
>>>>>> Kenya, kikazikwa Uganda).
>>>>>>
>>>>>>Aidha, baada ya uhuru sisi tulitangaza Kiswahili kuwa lugha yetu ya
>>>>>> kila kitu lakini Kenya ilisubiri hadi mwaka 1974 ndipo Rais Kenyatta
>>>>>> alipotoa Amri ya Rais (decree) - tena kwa kumuiga Dikteta Idi Amin
>>>>>> aliyefanya hivyo mwaka 1973. Ndiyo kusema kwamba Uganda walikitangaza
>>>>>> Kiswahili kuwa lugha ya taifa kabla ya Kenya ingawa ni kweli kwamba
>>>>>> ilibidi tangazo hilo lirudiwe tena na akina Museveni kwa kura ya
>>>>>> bunge. Hata Kongo Mashariki imeitangulia Kenya kwenye Kiswahili
>>>>>> isipokuwa hamu ya kutaka kukipora Kiswahili ndiyo inawalazimisha
>>>>>> Wakenya kukivamia kwa shida shida hivyo hivyo.
>>>>>>
>>>>>>Tunafurahia kusikia watu wengine wakiivamia lugha yetu ya Kiswahili,
>>>>>> hasa Wakenya, lakini ukweli unabakia pale pale, kwamba kila lugha ina
>>>>>> nyumbani kwake na kwa Kiswahili nyumbani kwake ni TANZANIA.
>>>>>> Haiwezekani lugha ikawa na makao kwenye nchi ambako haijulikani na
>>>>>> wala haitumiki vema. Kila kiongozi wa Kenya anazungumza Kiswahili
>>>>>> mbofu-mbofu na hata bungeni mnashindwa kukitumia, sasa mnang'ang'ania
>>>>>> nini? Jifunzeni kwanza. Wakenya wengi wanalijua hili isipokuwa wewe!
>>>>>>
>>>>>>Kumbuka tena, kuna marais wa nchi mbili duniani waliowahi kuhutubia AU
>>>>>> kule Addis Ababa kwa Kiswahili: Rais wa Msumbiji na Rais wa Tanzania.
>>>>>> Kwa nini? Kwa sababu rais wa Kenya hawezi..
>>>>>>
>>>>>>Matinyi.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>________________________________
>>>>>> Date: Tue, 2 Oct 2012 11:27:34 -0700
>>>>>>From: pauliyai@yahoo.com
>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>Magiri,
>>>>>>Ulikwenda shule gani wewe? Mbona hunionyeshi nilivyokivuruga Kiswahili?
>>>>>> Watanzania kukitumia Kiswahili sana ni kutojiweza katika Kutumia
>>>>>> Kiingereza. Nilisoma na wengi mno ambao hata kiswahili kiliwashinda,
>>>>>> sarufi yao ilikuwa ya kubabaisah tu. Hamna mabingwa wa Kiswahili.
>>>>>> Watanzania wala si miamba na Kiswahili hakimilikiwi na yeyote. Hii ni
>>>>>> lugha ya kimataifa na kila taifa la Afrika Mashariki limekichangia
>>>>>> Kiswahili.     Kama kuna makosa ya tahajia nilyoyafanya hapa chini ni
>>>>>> yale yajulikanayo kwa kiingereza dittographic ambayo hata wewe
>>>>>> uliyafanya katika waraka wako soma hapa JE wewe hukuivuruga lugha
>>>>>> hapa?
>>>>>>Hata hivyo baadhi ya wakenya wamekuwa wakilamika kuwa vitabu vingi vya
>>>>>> Watanazani vimekuwa vikitahiniwa nchini Kenya hususan katika vidato
>>>>>> vya tatu na vinne.
>>>>>>Nimekuonyesha sababu kuu zinazotetea msimamo wangu. Kwavile wakenya
>>>>>> wengi wameviandika vitabu vingi vya Kiingereza ambavyo vimetahiniwa
>>>>>> Tanzania wao ni mabingwa wa Kiingereza? Hata wazungumzaji wa Kisukuma,
>>>>>> kimrima au kiarabu hawajiiti mabingwa. Tafadhili pinga kauli zangu
>>>>>> zote kwa kudondoa kila moja yazo ukitolea mifano mahususi. Wacha
>>>>>> kujitapa ukiwa uchi wewe.
>>>>>>
>>>>>>Erevuka Ndugu..
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>>________________________________
>>>>>>> From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>Sent: Wednesday, October 3, 2012 1:02 AM
>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Umesomeka mkuu!
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Tarehe 2 Oktoba 2012 6:53 alasiri, Mobhare Matinyi
>>>>>>> <matinyi@hotmail.com> aliandika:
>>>>>>>
>>>>>>>Paul,
>>>>>>>>
>>>>>>>>Usipoteze muda wako bure tu - kwa kigezo chochote kile huwezi
>>>>>>>> kuwalinganisha Watanzania na watu wa taifa ama kundi lolote lile
>>>>>>>> duniani. Soma uliyoandika uone ulivyovuruga Kiswahili humo kwenye
>>>>>>>> ujumbe wako pamoja na ubishi wako au sijui niite kuwaonea gere
>>>>>>>> Watanzania.
>>>>>>>>
>>>>>>>>Watanzania, ama tuwaite mabingwa au jine lolote lile, ndio miamba ya
>>>>>>>> Kiswahili duniani. Kubishia jambo la wazi ni kupoteza muda bure!
>>>>>>>>
>>>>>>>>Asante,
>>>>>>>>
>>>>>>>>Matinyi.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>________________________________
>>>>>>>> Date: Tue, 2 Oct 2012 09:20:00 -0700
>>>>>>>>From: pauliyai@yahoo.com
>>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com; uchunguzionline@yahoogroups.com;
>>>>>>>> progressive-kenyans@googlegroups.com;
>>>>>>>> giving-it-straight@googlegroups.com
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>Kwa wapenzi wote wa Lugha ya Kiswahili,
>>>>>>>>Ninasikitika sana nisomapo mambo ambayo ndugu zetu Watanzania
>>>>>>>> wanaendelea kuyaandika hapa kuwa wao ni mabingwa wa Kiswahili. Sasa
>>>>>>>> basi ninyi ndo mabingwa basi leni mkanone! Nakumbuka katika idhaa ya
>>>>>>>> taifa ya Sautu ya Kenya kulikuwa na kipindi kimoja cha lugha ya
>>>>>>>> Kiswahili kilichoitwa Mabingwa wa Kiswahili, kipindi hiki kilikuwa
>>>>>>>> kizuri sana katika maendelezo ya Lugha lakini kule kujitapa kwao
>>>>>>>> kulileta hoja mbali mbali. Wale wote waliokuwa wakijadili katika
>>>>>>>> kipindi hiki wakiwemo, Mwalimu Walter Mbotela, Kazungu Katana, Ireri
>>>>>>>> Mbaabu, Abdala Mwasimba, Abdala Baruwa na wengine wengi wakaamua
>>>>>>>> kubadilisha jina la kipindi hicho kwa sababu walikubaliana kuwa
>>>>>>>> hakuna mtu yeyote yule ambaye anaweza kusema kuwa yeye ndiye bingwa
>>>>>>>> wa lugha kwa sababu lugha ni hai na inakua kila kukicha. Watanzania
>>>>>>>> hawawezi kuwa mabingwa wa lugha hii kwani hawaujui msamiati wote wa
>>>>>>>> lugha ya Kiswahili.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>Kule Kukitumia Kiswahili katika nyanja mbalimbali hakuwezi kuwafanya
>>>>>>>> Watanzania kuwa mabingwa. Vitabu vinavyotumiwa katika kufundishia
>>>>>>>> Fasihi ya Kiswahili ni vitabu vinavyoteuliwa na jopo maalumu katika
>>>>>>>> Taasisi ya Elimu ya Kenya na vitabu vinatoka kote. Vitabu
>>>>>>>> vilivyotumiwa miaka ya awali kama Mashimo ya Mfalme Suleimani Cha
>>>>>>>> Alan Paton, Mabepari wa Venisi,cha William Shakespear tafsiri ya
>>>>>>>> Marehemu Mwalimu Nyerere, Mkaguzi Mkuu wa Srikali cha Nikolai Gogol,
>>>>>>>> Masaibu ya Ndugu Jero cha Wole Soyinka ni baadhi ya vitabu
>>>>>>>> vilivyotumiwa katika kufundishia fasihi. Vitabu hivi havikuandkwa na
>>>>>>>> Watanzania.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>Watanzania hawawezi kuwa mabingwa wa Lugha kwa sababu ya kuwa vitabu
>>>>>>>> vinavyotumia katika Fasihi sasa viliandikwa na wao. Things Fall
>>>>>>>> Apart cha Chinua Achebe, The River Between, cha Ngugi wa Thiongo,
>>>>>>>> The Concubine cha Elechi Amadi ni riwaya za Kiingreza zilizotumiwa
>>>>>>>> kufundishia Fasihi katika Kiingereza katika Nchi nyingi zikiwemo
>>>>>>>> nchi za Afrika Mashariki. Kuandika riwaya au Tamthilia katika Lugha
>>>>>>>> fulani hakuwanyi watu wa Taifa lolote kuwa mabingwa wa Lugha hiyo.
>>>>>>>> Wakenya si Mabingwa wa Kiingereza kwa sababu wameandika Vitabu vingi
>>>>>>>> katika Kiingereza.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>Hata hivyo vitabu vingi vinavyotumiwa kufundishia Lugha ya Kiswahili
>>>>>>>> nchini Kenya vimeandikwa na Wakenya wenyewe.. Hata baadhi ya vitabu
>>>>>>>> vya fasihi  viliandikwa na wakenya wenyewe vikiwemo, Siku Njema cha
>>>>>>>> Ken Walibora Waliaula, Kaburi bila Msalaba,Mtawa Mweusi, Visiki,
>>>>>>>> Kilio Cha Haki,Kwahivyo Ndugu zetu Watanania acheni kujitapa bure.
>>>>>>>> Leopold Sengor wa Senagal alikifahamu kifaransa barabara lakini
>>>>>>>> hawezi kuitwa Bingwa wa Kifaransa. Natamatisha mchango wangu kwa
>>>>>>>> mada hii nikisema kuwa Kiswahili ni lugha ya wote, yenye chimbuko
>>>>>>>> lake katika Pwani ya Afrika Mashariki na ni lugha inayo zidi kukua.
>>>>>>>> Na ninasema hapa kuwa niliweza Kufundishwa kiswahili na Mwalimu
>>>>>>>> kutoka Tanzania ambaye kwakweli alitupotezea muda wetu bure. Kama
>>>>>>>> hatungepata Mkenya amabaye alituzamisha katika Mashairi ya Vitabu
>>>>>>>> kama Dafina ya Umalenga, Kina Cha Maisha, na vinginevyo, tungeufeli
>>>>>>>> mtihani.
>>>>>>>>
>>>>>>>>Paulo
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>>________________________________
>>>>>>>>> From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>>Sent: Tuesday, October 2, 2012 11:31 AM
>>>>>>>>>Subject: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>Kwa mpenzi yeyote wa Kiswahili ni sharti azingatie stadi nne za
>>>>>>>>> lugha hiyo. Yaani kuzungumza, kusoma kuandika na kuelewa lugha ya
>>>>>>>>> Kiswahili.
>>>>>>>>>Hata hivyo baadhi ya wakenya wamekuwa wakilamika kuwa vitabu vingi
>>>>>>>>> vya Watanazani vimekuwa vikitahiniwa nchini Kenya hususan katika
>>>>>>>>> vidato vya tatu na vinne. Ukweli ni kuwa Watanzania wamewabwaga
>>>>>>>>> wakenya na ipo mifano ya kutajika kuhusiana na hilo katika vitabu
>>>>>>>>> hususan vya fasihi. Swali ni je Wakenya wamepewa fursa ya kuandika
>>>>>>>>> au la? Ni nani anastahili kuwaambia waandike vitabu vya Kiswahili,
>>>>>>>>> na je wachapishaji vitabu wako radhi kuzichapisha kazi za Wakenya?
>>>>>>>>> Kuanzia miaka ya themanini hadi sasa, idadi ya vitabu vya
>>>>>>>>> Watanzania vilivyotahiniwa katika kunga za riwaya, tamthilia na
>>>>>>>>> ushairi ni kubwa kushinda vya Wakenya.
>>>>>>>>>http://wotepamoja.com/archives/7833#.UGptucPAMEw.gmail --
>>>>>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>>>> our Rules and Guidelines.
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>
>>>>>>>>>
>>>>>>>>--
>>>>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>>
>>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>>
>>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>>> our Rules and Guidelines.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>--
>>>>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>>
>>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>>
>>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>>> our Rules and Guidelines.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>--
>>>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>>
>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>> our Rules and Guidelines.
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>--
>>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>--
>>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>--
>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>
>>>>>
>>>>>--
>>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo..blogspot.com
>>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>--
>>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>--
>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
> --
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari..blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment