Sunday 7 October 2012

Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo

Paulo,
neno onyesha linatokana na neno onya
onyesha = fanya onyo litokee

neno onesha linatokana na neno ona
onesha = fanya mwingine aone, atazame,aangalie nk.

kama maneno hayo yanatumika ndivyo sivyo hayo ni makosa.

Natarajia umeelewa

Kitigwa

2012/10/7 Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
Shukrani Oduor bwana huyu Matinyi ni sugu na hataki kusema kuwa hajui. Kwa Ndugu Matinyi ifwatayo ni orodha ya makala yaliyolitumia neneo onyesha nililonukuu kutoka katika Google. Sijapata kuona neno onesha. Hatahivyo ikiwa ni makosa kutumia neno onyesha, basi nakushukuru kwa kunisahihisha. Nimelitumia neno hili kama vile hawa wengine wamelitumia.
Asante


  1. AMMP Technical Report No. 7 - Newcastle University

    File Format: PDF/Adobe Acrobat - Quick View
    au "Je maumivu ya kifuani yalikuwa karibu na chembe?" (a) naomba kujua "maumivu kifuani" ni nini? Na (b) neno "chembe" hapa lina maana gani? (Onyesha) ...
  2. Swahili-English Dictionary

    gani ? interrogative. what kind of ?; what sort of ?; which . ..... maana n. reason; cause; meaning. ..... neno Pl: maneno. n. word. ngalawa n. ... -onyesha v. show.
  3. Utamaduni - Wikipedia, kamusi elezo huru

    Utamaduni (neno la Kilatini lenye maana ya utamaduni ni Cultura ambalo lina usuli wake katika neno colere, linalo maanisha "kulima") Neno hili lina fafanuzi ...
  4. Full text of "Swahili-English dictionary"

    Ps. ambiwa, e.g. asiyejua maana, Ziaambiwi maana, he who does not know the meaning, ...... Alibuni neno asilotumwa, he invented a message he was not charged with. ...... Lina- lokuja kwa Muungu lote jettia, all is good that comes from God. ...... Mtu gani always suggests primarily ' a man of what tribe (place, or country).
  5. [PDF] 

    MASWALI YA KUDURUSU KWA DARASA LA SABA - Jisomee

    File Format: PDF/Adobe Acrobat - Quick View
    Chagua neno moja lenye maana sawa na yafuatayo;. Waridi, yungi ... A. Jumba lake lina lango pana mno. ... Nomino kucheza iko katika ngeli gani? A. U – zi ...
  6. ZachThibeau / PChat-dev / source — Bitbucket

    ... gangaiz gangamaliwa gani ganzi garagar garagazisha gasketi gatulia gauni ..... limiana limika limuzini limwa lina linaandika linaashiria linabidi linachelewa ...... onjesheka onyesha onyeshea onyesheka operesheni opereta opoa opoana ...... nenepeshea nenguliwa neno nepuka neruzi neso nezwa ng'amba ng'ambo ...
  7. Kenya National Assembly Official Record (Hansard) - Jun 9 - Jul 30, 1981 - Page 442 - Google Books Result

    Vol. 55 - Magazine
    Linaonyesha kwamba nia ya mataifa makubwa ni kuangalia kile kitu ... kwao kutoka Afrika na bali si kwa maendeleo ya Afrika Mr. Wamwere: Ni taifa gani hilo? ... au dawa ambazo hazina maana katika Afrika, Marekani haitu- ungi mkono. ... tukiwa viongozi, neno lolote tutakalolitamka liwe la kuonyesha kwamba sisi watu wa ...
  8. Revelations of Heaven and Hell by 7 Youths, 7 Jovenes

    Bibilia takatifu, neno la Mungu, linasema katika Yoeli 2:28 "Hata itakuwa ... lakini neno la Bwana linassema katika kitabu chaWaebrania 10:26-27, "Maana kama ... gani basi kwa yule aliyeko katikati ya kuzimu ? ambao waliwahi kulijua neno la ..... na sadaka hazikuwa ni lazima, wakati neno langu lina onyesha kuwa ni amri.
  9. [PDF] 

    Tutaanza mradi wetu wa VVU namna gani?

    File Format: PDF/Adobe Acrobat - Quick View
    Vijana walio katika umri wa kubalehe ambao hawaendi shule nitawapata namna gani? ... maana yake, kuwasaidia watu kuepuka kuambukiza au kuambukizwa VVU. .... Onyesha kwamba unatoa huduma hii kwa sababu unawajali watu wanaotoa ..... katika nchi zinazozungumza lugha ya kihispania, hutumia neno "la colita" ...
  10. [PDF] 

    Mtaala wa Elimu ya VVU/UKIMWI - Support For International Change

    File Format: PDF/Adobe Acrobat - Quick View
    Fahamu ni jinsi gani unyanyapaa ni kikwazo katika mapambano ya VVU ...... Onyesha kwamba lengo ni kuelekea maisha ..... kila neno lina maana gani kwao.

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10


From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, October 7, 2012 1:36 PM
Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo

Alex,

'Kuonesha' ni Kiswahili cha Pemba/Unguja na msingi wake ni kiarabu. Si
Kiswahili sanifu kaka. Iliyo sanifu ni 'Kuonyesha'.

Courage



On 10/7/12, Alex Manonga <manonga2003@yahoo.com> wrote:
> Paul,
>
> Siyo 'kuonyesha' ni 'kuonesha'. Kuonyesha ni mnyambulisho wa kuonya!
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sat, 6 Oct 2012 15:34:01
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>
> Paul,
> Niko kwenye furaha ya mwisho wa wiki na familia yangu. Nitarejea baadaye.
> Narudia tena, kama Kenya inahusika na Kiswahili kwa nini ilibidi Kenyatta
> asaini amri ya kidikteta mwaka 1973 kulazimisha kitambulike? Kwa nini
> kinawashinda nyie hadi hotuba rasmi za taifa zinakuwa kwa Kiingereza? Siyo
> kioja hiki?
> Matinyi.
>
>
>
>
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "Paul Liyai" <pauliyai@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
> Date: Sat, Oct 6, 2012 3:21 pm
>
>
>
>
> Ndugu Matinyi,
> Mbona huonyeshi mapungufu yangu katika Kiswahili? Jambo ninalolikataa
> katakata na sitalikubali asilani ni kuwa eti Watanzania ni mabingwa wa
> Kiswahili.. Hilo nakataa abadan Katan. Nenda juu chini ikiwa utalizua tena
> nitapinga nakupinga hadi utakaponyamaza. Lengo langu kuu nikukuonyehsa kuwa
> Kiswahili ni cha Afrika ya kati.
> Paul
>
>
>>________________________________
>> From: "kimdr53@gmail.com" <kimdr53@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Saturday, October 6, 2012 6:35 PM
>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>>Kweli Maurice nimeteleza neno sahihi ni MJADALA na si MJADARA. Pia na wewe
>> nikusahihishe katika thread ya Lake Malawi saga, neno ni SUALA na si
>> SWALA!
>>Idriss Mussa
>>Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
>>
>>-----Original Message-----
>>From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Sat, 6 Oct 2012 03:46:18
>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>>Kim,
>>
>>Eti Mjadara? Ama ulimaanisha Mjadala?
>>
>>Hapo ndugu si nawe umeteleza tunavyoteleza sote mara kwa mara?
>>
>>Courage
>>
>>
>>
>>On 10/6/12, kimdr53@gmail.com <kimdr53@gmail.com> wrote:
>>>  Paulo
>>>   Nadhani tumekuelewa sana, na inavyoelekea hatutakubaliana hapa. Hata
>>> Kiswahili chako unachokiandika kinaonyesha dhahiri mapungufu uliyonayo
>>> katika kukitumia Kiswahili. Kwa heshima na taadhima nakushauri mjadara
>>> ufungwe!
>>>
>>>    Idriss Mussa
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Fri, 5 Oct 2012 21:33:32
>>> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>
>>> Ndugu Matinyi,
>>> Nimekuelewa. Sasa bwan Matinyi, kosa hili la Mkenya mmoja au wawili
>>> linaleta
>>> hoja ya Kusema kuwa Watanzania ni mabingwa wa Kiswahili? Je kosa hili ni
>>> ushahidi kuwa Wakenya wote wanamakosa haya? Hakuna nchi yoyote ile
>>> inayoweza
>>> kusema kuwa wao ni mabingwa wa Kiswahili kwani Kiswahili ni Lugha yetu
>>> sisi
>>> watu wa Afrika Mashariki na Dunia nzima.
>>>
>>> Tanzania kuna Jamii nyingi mno, Wamasai, Wazaramo, Wanyakyusa, Wangoni,
>>> Wasukuma, Wachaga na wengine wengi ambao hata wao wanakitumia Kiswahili
>>> kama
>>> lugha ya Pili. Huwezi kupinga jambo hili. Nilikwambia kuwa nilikuwa na
>>> Mwalimu aliyenifundisha Fasihi ya Kiswahili kutoka Dar-Salaam ambaye kwa
>>> kweli alikisema tu Kiswahili lakini Kufundisha hakuweza kwani alikuwa
>>> ametimuliwa kutoka katika Shule nyingine kwa sababu ya kutoweza
>>> kufundisha.
>>> Siwezi kuliandika jina lake hapa.
>>>
>>> Nimesoma na Watanzania wengi katika Chuo na wao pia walikuwa na shida
>>> nyingi
>>> mno za kisarufi, mambo kama sarufi hawakuyazingatia hata kidogo.
>>>
>>> kakuku kadogo badala ya kuku mdogo au kikuku kidogo, tunaendaga badala
>>> ya
>>> sisi huenda, tunakulaga badal ya sisi hula. Hata hivyo hii si kusema
>>> kuwa
>>> watanzania wote huyafanya makosa haya. Wala sisemi kuwa watanzania si
>>> mahiri
>>> katika kukitumia Kiswahili, la hasha- Kiswahili kimeendezwa na
>>> Watanzania
>>> kuliko Wakenya. Kinatumiwa zaidi na Watanzania kuliko Wakenya. Utafiti
>>> na
>>> kazi zote za Usomi wa Lugha ya Kiswahili ni za hali ya juu na katika
>>> kiwango
>>> cha juu zaidi kuliko Kenya. LAKINI WATANZANIA SIO MABINGWA WA KISWAHILI.
>>> Paulo
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>>________________________________
>>>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>>>To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Sent: Saturday, October 6, 2012 1:42 AM
>>>>Subject: RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Paul,
>>>>
>>>>Kwenye hoja yako ya kutohoa nahisi ulidhani tatizo langu na yule bibiye
>>>> wa
>>>> Kikenya ilikuwa kusema ama kujumuisha neno "wikiendi". Hapana, si hili,
>>>> na
>>>> mimi natambua kwamba siyo Waswahili tu waliotohoa neno hili bali hata
>>>> Wafaransa husema hivi hivi na kuandika hivi hivi kama kwenye Kiingereza
>>>> --- week-end. Purukushani ilikuwa kwenye msemo mzima-  "wikiendi bora."
>>>> Haiwezekani huu msemo ukabeba maana ya wikiendi njema kwa kumaanisha
>>>> have
>>>> a nice week-end.
>>>>
>>>>Nadhani nimekujibu.
>>>>
>>>>Matinyi.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>________________________________
>>>> Date: Fri, 5 Oct 2012 10:53:42 -0700
>>>>From: pauliyai@yahoo.com
>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>
>>>>Bwana Masuki,
>>>>Asante kwa mchango wako ingawaje mada yenyewe ni nzito kwako kidogo
>>>> kwani
>>>> hujui utomvu wenyewe uko wapi. Sababu ya mimi kuutolea mfano wa Krapf
>>>> si
>>>> kuonyesha kwamba ndiye mtu wa kwanza kuandika Kiswahili la hasha, hoja
>>>> yangu ilikuwa kumwonyesha Mwenzangu Matinyi kuwa Kamusi ya kwanza
>>>> iliyoandikwa na Krapf iliandikwa kwa msaada wa wakalimani Wakenya si
>>>> Watanzania. Matinyi anapasuka kinywa kwa kusema kuwa Kiswahili kina
>>>> asili
>>>> yake Tanzania na hiyo si kweli. Kiswhaili chimbuko lake ni pwani ya
>>>> Afrika
>>>> Mashariki na nilimnukulia ramani rasmi inyoonyesha kuwa si Tanzania
>>>> tuu..
>>>>
>>>>
>>>>Matinyi alikuwa ameshaanza kuvunda kinya kwa kusema kuwa Kenya hakuna
>>>> waandishi wa vitabu vya Kiswahili ndio sababu wanafunzi wakenya
>>>> wanatahiniwa kwa tamthilia na Riwaya kutoka Tanzania. Watu kamaProf.
>>>> Kyallo Wadi Wamitila
>>>>
>>>>Ireri Mbaabu, Abdala Mwasimba ni wakenya wala si Watanzania.  Matinyi
>>>> katika waraka wake alitohoa neno pointi (  Unatakaje?
>>>>Kila pointi niliyokuwekea hapo ina maana yake) Yeye akitohoa ni vyema
>>>> Mkenya akitohoa kama yule Mhadhiri aliyemtakia mwenzie wikendi njema
>>>> anakivuruga Kiswahili.
>>>>
>>>>Wacha nikuketishe chini nikuelemishe kidogo. Wewe ni kama Watanzania
>>>> wengine wanofungua vinywa bila kufikiri kwanza. Sheng si Kiswahili
>>>> kilichotoholewa kama ulivyodai, Sheng ni lugha inayochipuka na kunyauka
>>>> majira na misimu inavyoendelea kubadilika. Sheng ni mchanganyiko wa
>>>> lugha
>>>> nyingi zikiwemo Kikikuyu,Kijaluo, kiingereza, Kiswahili, Kiarabu,
>>>> kihindi,
>>>> kiGujarati, na lugha nyingine nyingi. Mfano wa maneno ya Sheng ni kama
>>>> Kusorora kutazama au kuona, Ashu-kumi, keja -nyumba n.k tazama video
>>>> hii
>>>> http://www.youtube.com/watch?v=YrquMdHlJn4
>>>>Jambo la kutazama hapa ikiwa wewe ni mwana taaluma ya isimu ya lugha,
>>>> Sheng
>>>> ni kama 'slang' na sheng inayosemwa Nairobi, ni tofauti na ile
>>>> inayosemwa
>>>> Nakuru au miji mingine ya Kenya. Hata Nairobi pekeyake, kuna lugha
>>>> nyingi
>>>> za Sheng kulingana na wingi wa mitaa iliyoko Nairobi. Lugha hizi
>>>> zinakiathiri Kiswahili lakini wanafunzi wengi wanaweza kuzitumia lugha
>>>> zote mbili kwa umahiri na huwezi kupata wakichanganya katika mitihani
>>>> yao.
>>>> Wakati wangu ningeweza kusema sheng ya wakati huo na kuandika insha
>>>> zangu
>>>> za Kiswahili bila mwingiliano wowote. Sheng niliyokuwa nikisema si
>>>> sheng
>>>> iliyoko sasa na huwezi kuandika kamusi ya sheng.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Tunalosema hapa kuwa Watanzania sio wenye Kiswahili wala wao si mabingwa
>>>> wa
>>>> Kiswahili. Jambo ninaloweza kuliona katika maandishi ya watu kama
>>>> Matinyi
>>>> nikwamba wanawaonea ghere Wakenya ambao wana shahada za juu katika
>>>> Kiswahili na Kiswahili chao labda nikile kilichoathiriwa na lugha za
>>>> kwanza. Kumbuka kwamba katika kutahiniwa kwa Kiswahili na hata
>>>> kiingereza,
>>>> watu hawatahiniwi kusikiliza na kuongea, hutahiniwa kuandika na kusoma.
>>>> Utampata Mkenya anayesema mbora badala ya bora na akiandika ataandika
>>>> tahajia sahihi.
>>>>
>>>>Paulo
>>>>
>>>>
>>>>>________________________________
>>>>> From: Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>Sent: Friday, October 5, 2012 7:50 PM
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>
>>>>>
>>>>>Sasa wewe Paul, ukisoma historia unaambiwa kuwa Rebman alikuwa mtu wa
>>>>> kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro na ukisoma hivyo unaamini hivyo?
>>>>> Kwani
>>>>> kabla Rebman hajaja Kilimanjaro wenyeji hawakuuona huo Mlima? Basi
>>>>> vilevile kwa hili Kama Krapf ndo alikuwa wa kwanza kuandika kamusi na
>>>>> akawahusisha watu wa Rabai kumpa tasfiri haina maana kuwa Warabai
>>>>> ndiyo
>>>>> walioanzisha kiswahili. Rudi kwanye makataba ukachimbe zaidi uje na
>>>>> hoja
>>>>> yenye mashiko. Na vile vile wewe kujua maana ya utohozi haikufanyi
>>>>> wewe
>>>>> kuwa bingwa wa kiswahili kwa sababu kiswahili cha kikenya ni cha
>>>>> kutohoa
>>>>> zaidi lakini mbaya zaidi kwa kuharibu na kukipa jina la "Sheng"
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>2012/10/5 Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
>>>>>
>>>>>Bwana Matinyi,
>>>>>>wajua utohozi nini? Je wewe unaujua msamiati wote wa Kiswhili? Kama
>>>>>> kuna
>>>>>> mtu hat mmoja anyeujua msamiati wa lugha yoyote ile hatungekuwa na
>>>>>> maana
>>>>>> ya kuziandika kamusi.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>>________________________________
>>>>>>> From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>>>>>>To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>>Sent: Friday, October 5, 2012 4:18 AM
>>>>>>>
>>>>>>>Subject: RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Paul,
>>>>>>>Sijaelewa unachokitaka.
>>>>>>>Si ulijitetea kwamba hukufanya makosa ya kisarufi bali ni makosa ya
>>>>>>> uandikaji tu? Sasa unataka nikwambieje?
>>>>>>>Kama Wakenya wameandika vitabu vingi vya Kiingereza, sasa inaua vipi
>>>>>>> hoja yangu, kimsingi hata hoja haifi hapa. Unatakaje?
>>>>>>>Kila pointi niliyokuwekea hapo ina maana yake - kwa ufupi nilikuwa
>>>>>>> nataka kukata ngebe zako. Juzi mwalimu mmoja wa Kiswahili Mtanzania
>>>>>>> hapa Marekani amekutana na profesa wa Kiswahili Mkenya hajui maana
>>>>>>> ya
>>>>>>> msamiati "magonjwa sugu." Mwalimu mwingine wa Kiswahili Mkenya
>>>>>>> mwenye
>>>>>>> shahada ya uzamivu (PhD) nimemkuta anawafundisha Wamarekani kusema
>>>>>>> eti
>>>>>>> "wikiendi bora" akimaanisha: "...have a nice weekend!". Hii ni nini?
>>>>>>> Halafu unabisha kitu gani?
>>>>>>>Angalia hapo chini umeweka Kiswahili cha Kikenya: "....majivuno isiyo
>>>>>>> msingi."
>>>>>>>Angalia pia herufi kubwa na ndogo zinavyogongana kwenye Kiswahili
>>>>>>> chako
>>>>>>> - uthibitisho kwamba unakijua vizuri sana Kiswahili.
>>>>>>>Galagabaho hivyo hivyo.
>>>>>>>Matinyi.
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>________________________________
>>>>>>> Date: Thu, 4 Oct 2012 14:07:44 -0700
>>>>>>>From: pauliyai@yahoo.com
>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Ndugu Matinyi,
>>>>>>>Nakuonea huruma wewe. Pole sana. Nikweli wewe hufahamikiwi kwani
>>>>>>> unatapatapa hapa napale. Nilikuuliza unionyeshe nivipi ninakivuruga
>>>>>>> Kiswahili, umeruka umekwnda Kwa Nyerere, msumbiji sijui nini,....
>>>>>>> Nilikwambia kwamba wakenya wameviandika vitabu vingi katika
>>>>>>> Kiingereza,
>>>>>>> kuandika vitabu hakuwafanyi Wakenya kuwa mabingwa. Soma hii profile
>>>>>>> ujionee mwenyewe
>>>>>>> http://www.ku.ac.ke/schools/humanities/images/stories/docs/prof_mbaabu.pdf
>>>>>>> Tena mtafute bewana huyu Meja Mwangi aliyeandika Vitabu kama the
>>>>>>> Cocroach Dance, Carcase for hounds na vingine vingi. Hapa chini
>>>>>>> Orodha
>>>>>>> ya Watanzania walioandika Vitabu mbali mbali. Je idadi yao ni sawa
>>>>>>> na
>>>>>>> ya wakenya? Ujibu swali hili wacha kutapatapa na majivuna isiyo
>>>>>>> msingi.
>>>>>>> Mimi Kiswahili ni lugha yangu ya Kwanza. Si KAMA UNAVYO FIKIRAI
>>>>>>> WEWE..
>>>>>>>
>>>>>>>Tanzania
>>>>>>>    * Agoro Anduru (1948–1992), short story writer.[Killam & Rowe]
>>>>>>>    * Mark Behr (1963– ), fiction writer also connected with South
>>>>>>> Africa.
>>>>>>>    * Chachage Seithy Chachage ( –2006), sociologist and Swahili
>>>>>>> novelist.[146]
>>>>>>>    * Abdulrazak Gurnah (1948– ), novelist and critic.[Gikandi]
>>>>>>> [Killam &
>>>>>>> Rowe]
>>>>>>>    * Ebrahim N. Hussein (1943– ), playwright, essayist, poet and
>>>>>>> translator.[Gikandi] [Gikandi & Mwangi] [Killam & Rowe]
>>>>>>>    * Euphrase Kezilahabi (1944– ), novelist, poet and scholar.
>>>>>>>    * Jacqueline Kibacha, poet.[147]
>>>>>>>    * Aniceti Kitereza (1896–1981), novelist.
>>>>>>>    * Amandina Lihamba (1944– ), playwright.[148]
>>>>>>>    * Ismael R. Mbise, novelist and academic.[Gikandi]
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment