Sunday 14 October 2012

RE: [wanabidii] Wafugaji Na Wakulima Washambuliana Kwa Silaha Za Jadi – Mbeya - Mwanzo

Nchi haina udhibiti; kila mtu ni mwamba kwa mwenzake.
 
Kamanda wa polisi anauawa; waislamu wanachoma makanisa; wananchi wanawaua wezi; Yanga wanampiga refa; n.k.
 
Kazi kubwa kweli kweli.
 

Date: Sun, 14 Oct 2012 15:30:38 +0100
Subject: [wanabidii] Wafugaji Na Wakulima Washambuliana Kwa Silaha Za Jadi – Mbeya - Mwanzo
From: kiganyi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Mwananchi mmoja achomwa mkuki,Polisi wakimbia. 
Ugomvi baina ya Wafugaji na Wakulima umezuka katika Kijiji cha Simike – Utengule Usangu, Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya na kusababisha mwananchi mmoja anayefahamika kwa jina Abeli Mwakyoma kujeruhiwa baada ya kuchomwa mkuki na kundi la wafugaji wa jamii ya Kisukuma.
Wananchi watatu wanaofahamika kwa jina la Bi. Magreth Simwela, John Kayange na Richard Mwasyanga walinusurika kupigwa na kundi la wafugaji waliokuwa na kundi la ng'ombe, hali iliyopelekea kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi cha Igurusi.

http://wotepamoja.com/archives/8703#.UHrMWW-ureo.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment