Wednesday 24 October 2012

RE: [wanabidii] Sasa ni wakati muafaka wa kuwa na vipao mbele vya Kitaifa

Ni kweli tunahitaji kulirudisha Azimio la Arusha na kufanya marekebisho ili liendane na wakati wa sasa na ujao. Hii itakuwa ni pamoja na kuanisha vipao mbele vya taifa letu. Kila kiongozi lazima atekeleze maazimio hayo kwa dhati.

-----Original message-----
From: ELISA MUHINGO
Sent: 24/10/2012, 11:32
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Sasa ni wakati muafaka wa kuwa na vipao mbele vya Kitaifa


Azimio la Arusha liliweka Dira. Hii ni muhimu kabla ya vipaumbele.
Tulitambua maadui wetu. Tukaamua tunakwenda wapi Tukasema
'Tunataka kujenga Taifa lenye usawa kupitia Ujamaa na Kujitegemea.' Hii ndiyo ilikuwa dira. Ilielezewa. hata kama haikueleweka lakini ilikuwepo. Tuliamini kupitia itikadi hiyo tutawashinda maadui watatu yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini.
Sasa hatujui tunaenda wapi. Amerika wanajua. Rwanda wanajua. Usione mgogoro wa DRC mashariki. Iko kwenye masterplan ya Rwanda ya kutaka kujipanua maana kanchi ni kadogo. SIUNGI MKONO HILO ILA wana dira. Wana wanakokwenda. Waswahili fulani wana methali wanasema 'If you dont know where you are going any way will lead you there'. Tanzania hatujui tunakwenda wapi. Kila rais au chama kikiingia madarakani kitatupeleka 'huko'. Wapi? Popote.
CCM sasa inaendeshwa na Marekani. Ikiingia CHADEMA itaendeshwa na Cameroon.
 
Katiba. Katiba. katiba. Toeni maoni. Mimi nimetoa na haya nimeyasema.

--- On Tue, 10/23/12, achengula@gmail.com <achengula@gmail.com> wrote:


From: achengula@gmail.com <achengula@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Sasa ni wakati muafaka wa kuwa na vipao mbele vya Kitaifa
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 23, 2012, 8:17 PM



Ndugu zangu wanabii,

miaka 50 imepita tangu tupate uhuru nchi yetu haina vipao mbele vya kudumu. Chama tawala ndicho kimekuwa kikija na vipao mbele vyake ambavyo vimekuwa vikibadilika kila mara. Ni vema tukaweka vipao mbele  vya kudumu ili wagombea wetu katika ngazi mbalimbali tuwapime kwa kuangalia uwezo wao wa kutekeleza vipao mbele hivyo. Na si kila raisi kuja na vipao mbele vyake. Kama kutakuwa naja ya kuviongeza au kuvipunguza, basi bunge letu litafanya kazi hiyo.

Nawakilisha.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata
Email truncated to 2,000 characters
:::0:90a23a8d37722039e72d2130774943b0:7d0::::

Original message is located on server

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment