Wednesday 24 October 2012

Re: [wanabidii] Re: YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.

Matinyi.
Angalia link kwenye post ya mwanzo kabisa au fungua tovuti ya Tanzania daima usome gazeti la leo.

Yona sijakataza mjadala usiendelee lakini madhara ndio kama yanavyo onekana kwa baadhi ya wachangiaji hapa http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/342036-hawa-ndio-wabaya-wa-waislamu-na-uislamu-wenyewe-kwa-tanzania-51.html

Lakini pia unakosea unaposema kila kitu ni free kwenye mitandao ya kijamii (sikutegema wewe uyasema haya maana ni kuhalilisha kutokuheshimu mawazo ya watu na kukiuka kanuni ya kutambua vyanzo/chanzo)!

Hakuna ufree wa mawazo ya mtu kutumika bila kum-acknowlegde mhusika. Sija kataa mawazo yangu kutumika na nitakuwa mtu wa ajabu kukataa mawazo yangu yasitumike. Swala yanatumikaje.

Uwongo wangu ni upi mbona una taka kujaribu kutoa povu, na kama nikuchafuka, mimi, wewe na Tanzaniadaima nani wanachafuka?
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 24 Oct 2012 08:57:01
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.

Mtoi umesema hapo juu kwamba unangoja mhariri wa tanzania daima atoe
ufafanuzi wake halafu ukamaliza kwa kuomba mjadala huu uishe .

Mimi nasema hapana , umeshatoa hukumu na kunichafua jina langu pamoja
na la tanzania daima acha mjadala uendelee , ili siku nyingine
usikurupuke tena na kuandika vitu vya uwongo ukweli ujulikane .

Pia nikuambie tu hakuna mmiliki wa elimu na maarifa ndani ya mitandao
hii ya kijamii , kila kitu ni free , kama unataka vya kwako pekee
jifungie ndani uchat mwenyewe , ujitumie email mwenyewe na kila kitu
ufanye mwenyewe kwa kujifungia na kila kitu uunde mwenyewe ili iwe ni
yako tu .

On Oct 24, 6:44 pm, mati...@hotmail.com <mati...@hotmail.com> wrote:
> Mtoi,
> Ni ipi hiyo?
> Matinyi.
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "Chambi Chachage" <chamb...@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.
> Date: Wed, Oct 24, 2012 1:58 am
> Hili tatizo tumelikemea sana humu mitandaoni (pitia rejea); tulidhani limekwisha kumbe, do, bado lipo - pole!
> -------My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.
>
> Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
> Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
> Skype: chambi100
> Twitter: @UdadisiFacebook:http://www.facebook.com/chambi78Blogs:http://udadisi.blogspot.com&http://ufunuo.blogspot.com
> Group:http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni
> From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, October 24, 2012 1:52 AM
> Subject: [wanabidii] YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.
>
> Wakuu.
>
> Nasikitika kwamba kiongozi na aliyekuwa moderator wa jukwaa letu la
> wanabidii ambae kwa sasa ni bwana mawasiliano kwenye chuo kikuu cha
> umoja wa Afrika ameniibia mawazo yangu na kuyatumia bila idhini yangu
> kwenye gazeti la Tanzania daimahttp://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=41862na kibaya zaidi
> amebadirisha mpaka na title ya awali kwenye makala husika ambayo pia
> aliiweka hapa wanabidii bila kuni acknowledge huku ikionekana kama
> yeye ndio muandishi husika.
>
> Nilichelewa kuiweka hapa ila kwa mshangao niliikuta makala ikiwa
> tayari imeanza kujadiliwa, kwa kuwa mimi ni mwanachama hapa nikaona
> niwe mpole kwani nilichukulia kuwa huenda ameghafirika  japo takwa la
> kitaaluma ni kuheshimu na kutambua mawazo ya mtu mwingine.
>
> Kama alighafirika kuiweka hapa bila kunitambua kuwa mimi ndio
> muandishi, je niendelea kuamini kuwa ameghafirika tena kwa kuibadili
> heading na makala hiyo hiyo kupewa
> jina lake?
>
> --
> "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
> --
> Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
> Alternative: +255 784 24 67 64
> Skype: Mohamedi.Mtoi
> Facebook: Mohamedi Mtoi
> Twitter: @mohamedimtoi
> Jf: Mohamedi mtoi
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his
> or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment