Friday 19 October 2012

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Angalizo: Ubaguzi wa Rangi na Dini

Dawa hapa ni kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano na mshikamano wa kiasili ya Tanzania. Mimi sidhani kama kuna tatizo kubwa sana hapa, hawa wanaharakati wa kiislamu watakuwa wana mambo yanayohitaji attention tu ya wakubwa, hebu wawasikilize wayamalize! Nikirudi bongo nitafanya jitihada kutaka kujua route cause yake ni nini
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 19 Oct 2012 17:29:46
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Angalizo: Ubaguzi wa Rangi na Dini

Nionavyo mimi, matukio haya ya karibuni yameongeza ufa zaidi kati ya
Wakristo na Waislamu. Wakristo wanajiona wanaonea kwa vile siyo sehemu
ya religious practice yao kutumia violence kudai haki, wakati wengine
wanaona wana justification ya kufanya hivyo. It's painful! Maana
michango inayopitishwa kuchangia hizo nyumba za ibada tunaitoa kwa
kujinyima sana na kwa miaka mingi. Lakini all the sudden kitu ambacho
mmekiweka mnaona wengine wamekifanyia mahesabu wakiharibu. Ina uma
sana!

On 10/19/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Pengine umechelewa kutoa angalizo hili , lilitakiwa kuingia siku nyingi
> sana na iwe kwenye moja ya sheria mama za jukwaa .
>
>
> 2012/10/19 Moshi <moshiwiner@yahoo.com>
>
>> **
>>
>>
>> ** Angalizo nimelipenda! Inasikitisha kuona hata "sisi" tumeingia huko
>> huko!
>>
>> Ahsante kwa angalizo.
>>
>>
>> Moshi
>> Sent from my BlackBerry® smartphone
>> ------------------------------
>> *From: * Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
>> *Sender: * Wanazuoni@yahoogroups.com
>> *Date: *Fri, 19 Oct 2012 00:35:25 -0700 (PDT)
>> *To: *Wanazuoni@yahoogroups.com<Wanazuoni@yahoogroups.com>
>> *ReplyTo: * Wanazuoni@yahoogroups.com
>> *Subject: *[Wanazuoni] Angalizo: Ubaguzi wa Rangi na Dini
>>
>>
>>
>> Ndugu Wanazuoni,
>>
>> Utanzania sio dini, kabila au mbari. Tanzania ni taifa linaloundwa na
>> watu
>> wenye asili mbalimbali - kuanzia wenye asili za Wazulu kule Afrika Kusini
>> hadi wenye asili ya Wahindi wa kule Asia Kusini. Hakuna mtu ambaye ni
>> Mtanzania zaidi ya mwenzake kutokana na rangi ya ngozi yake, urefu wa
>> nywele zake au lafudhi ya ulimi wake. Hivyo basi, katika kipindi hiki
>> kigumu ambapo nyufa za ubaguzi zinapoanza kubomoa nyumba yetu ya Kitaifa,
>> sisi Wanazuoni tuwe mstari wa mbele kuziziba na kuujenga (upya) Utaifa
>> wetu. Tunapaswa kutoakisi tu jamii yetu katika kila jambo. Kama
>> wanafikra,
>> twende mbali zaidi ya kizazi hiki.
>>
>> Wasalaam.
>>
>> Mtanzania
>>
>>
>> *-------*
>> *My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about
>> humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a
>> constructive and liberating manner to people wherever they may be.*
>>
>> *Address:* 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
>> *Cellphone:* US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
>> *Skype:* chambi100
>> *Twitter:* @Udadisi
>> *Facebook: *http://www.facebook.com/chambi78
>> *Blogs:* http://udadisi.blogspot.com <http://udadisi.blogspot.com/>&
>> http://ufunuo.blogspot.com
>> *Group:* http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni
>>
>> __._,_.___
>> Reply via web
>> post<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJyZTI4MmtxBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMxNjg5OARzZWMDZnRyBHNsawNycGx5BHN0aW1lAzEzNTA2MzQxMjg-?act=reply&messageNum=16898>
>> Reply
>> to sender
>> <moshiwiner@yahoo.com?subject=Re%3A%20%5BWanazuoni%5D%20Angalizo%3A%20Ubaguzi%20wa%20Rangi%20na%20Dini>
>> Reply
>> to group
>> <Wanazuoni@yahoogroups.com?subject=Re%3A%20%5BWanazuoni%5D%20Angalizo%3A%20Ubaguzi%20wa%20Rangi%20na%20Dini>
>> Start
>> a New
>> Topic<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/post;_ylc=X3oDMTJmOGplaWs0BF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNudHBjBHN0aW1lAzEzNTA2MzQxMjg->
>> Messages
>> in this
>> topic<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/message/16864;_ylc=X3oDMTM3djQ1bjBtBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRtc2dJZAMxNjg5OARzZWMDZnRyBHNsawN2dHBjBHN0aW1lAzEzNTA2MzQxMjgEdHBjSWQDMTY4NjQ->(28)
>> Recent Activity:
>>
>> - New
>> Members<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni/members;_ylc=X3oDMTJnbGd2ZHRzBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2bWJycwRzdGltZQMxMzUwNjM0MTI4?o=6>
>> 1
>>
>> Visit Your
>> Group<http://groups.yahoo.com/group/Wanazuoni;_ylc=X3oDMTJmNTJybDNrBF9TAzk3MzU5NzE0BGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDdnRsBHNsawN2Z2hwBHN0aW1lAzEzNTA2MzQxMjg->
>> [image: Yahoo!
>> Groups]<http://groups.yahoo.com/;_ylc=X3oDMTJlOGZraDVvBF9TAzk3NDc2NTkwBGdycElkAzIwNjc0NjMzBGdycHNwSWQDMTcwNTQ0NDU4MwRzZWMDZnRyBHNsawNnZnAEc3RpbWUDMTM1MDYzNDEyOA-->
>> Switch to:
>> Text-Only<Wanazuoni-traditional@yahoogroups.com?subject=Change+Delivery+Format:+Traditional>,
>> Daily
>> Digest<Wanazuoni-digest@yahoogroups.com?subject=Email+Delivery:+Digest>•
>> Unsubscribe <Wanazuoni-unsubscribe@yahoogroups.com?subject=Unsubscribe> •
>> Terms
>> of Use <http://docs.yahoo.com/info/terms/> • Send us Feedback
>> <ygroupsnotifications@yahoogroups.com?subject=Feedback+on+the+redesigned+individual+mail+v1>
>> .
>>
>> __,_._,___
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment