Tuesday 23 October 2012

Re: [wanabidii] MGOMO WA KUUZA MAFUTA NCHINI

-----Original Message-----
From: Bariki Mwasaga
Sent: 10/23/2012 12:21:49 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] MGOMO WA KUUZA MAFUTA NCHINI
Bei Elekezi kwani imekwishatolewa? nijuavyo mimi na kama siku zote nisemavyo ni kwamba Tanzania imejaa Mafisadi, siku zote Serikalini kunaonekana ndiko kumejaa mafisadi lakini kiukweli naona kwenye Sekta binafsi kumeoza kabisa. Sasa unaenda kwenye kituo cha mafuta wanakwambia boss kasema tuuze mafuta yasiyozidi lita 10 tu nini maana yake? Maana yake ni kwamba wanasubiri bei elekezi ipandishwe ili wauze mafuta na kama itashuka zaidi hawatauza mafuta. Halafu wakati huo huo tuna Watanzania wanakula raha tu pale EWURA wakiangalia madudu kama haya yanafanyika mwisho wa siku tunageuza lawama kwa Mawaziri. Huu ni ufisadi katika maana halisi ya ufisadi na unatendwa na Watanzania wenzetu walio nje ya Serikali

2012/10/23 <flein47@yahoo.com>
Una point Yona,mimi mwenyewe nilihisi hivyo majuzi,huenda bei elekezi imeshuks zaidi sasa hawataki kuuza
Download the latest BlackBerry® applications from Zantel on www.zantel.com/zantelapps

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: Tue, 23 Oct 2012 08:39:58 +0300
Subject: [wanabidii] MGOMO WA KUUZA MAFUTA NCHINI

Ndugu zangu 

Naomba kuuliza kama kuna mgomo wa kuuza mafuta nchini maana maeneo mengi yanayouza mafuta hawafanyi hivyo .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment