Friday 5 October 2012

Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Uko sawa

Sent from my iPhone

On Oct 4, 2012, at 23:07, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:

Kaka Tony,
Naona hii ICJ unaiona kama haina maana kwahivyo ulivyoielezea. Ni kweli haina maana, lakini kwa wakubwa tu na sio kwa sisi 'paka wa biti hatibu'. US inayatambua maamuzi yake, lakini kesi kwa kesi - yaani inaweza kusema kesi hii ni sawa na hii haikubaliani nayo na hakuna kitakachotokea. Kwetu sisi wadogo hali ni nyengine. Kama wakubwa wakivinjari basi tutaula mkwara, kwasababu decision zake zinaweza kuwa enforced na UN Security Council, kwasababu hii imeanzishwa by UN Charter na kama huna veto power ujue yatakukuta. Tutaweza kuwekewa vizingiti tele na Security Council. Kahivyo, kama sisi Tanzania hatuna uhakika kama tutapata haki huko ICJ, basi bora from day one tutafute haki yetu kwa njia ya mtutu wa bunduki and therefore JK yupo on the right track kuweka boats za kivita kwenye ziwa - mimi mwenyewe ninajitoa muhanga pamoja na vijana wangu wawili. Tunangojea amri ya JK tu, basi! 
Wahenga wanasema kuwa, kufa kwenye maji ni bora kuliko nchi kavu, hasa maji yenyewe yakiwa baridi (ya ziwa) na kwahivyo hapa chini ni list ya jeshi la standby kama tukitakiwa ghafla na JK kulinda mpaka wa Ziwa! 
Mwenye uchungu wa nchi hii ajiunge na hii list. Mwenye maneno matupu akae pembeni!

[1] Said Issa Othman
[2] Ali Said Issa
[3] Othman Said Issa
.
.
.
.

...bin Issa 

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 4, 2012 12:51:11 PM
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

De Kleison,

Maamuzi ya ICJ hayana utekelezaji, ni suggestive zaidi ya kuwa na nguvu za kimahakama za kawaida za nchi.

Migogoro ya namna hii ya kati ya nchi na nchi hakuna hata mmoja uliopata kutatulika kwa kutekelezwa kwa asilimia 100. Kwa ufupi ni kupiga kelele kwa Malawi bure!

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 4 Oct 2012 19:03:50
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Bravo Matinyi & Muhingo.
Kwa nini anaelekeza egemeo lake lote ICJ? Mgongano ulilala kwa muda
mrefu, ameuamsha kwa fujo na anaufuatilia kwa makini. Hana hata chembe
ya usuluhishi ndani ya mikono yetu wenyewe wagomvi, toka mwanzo imani
yake imeelekezwa huko! Kwa nini wasimwite mzalendo ila wanasisitiza ni
"SHUPAVU".
Naomba kujuzwa, maamuzi ya ICJ yanatenguliwa? Au yakipita ndio basi
tena. Kuna tatizo lolote kwenda kinyume na maamuzi yake kama chombo
cha kutoa hukumu?
Ni bora tukajadili ya hukoooo mbele, tujue hukumu ikiwapa ushindi
tufanye nini, maana naona kama haponi mtu!

--
"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not
using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa
Vinci

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment