Ukikaa kwenye zizi la mbuzi kwa muda mrefu lazima tabia zako zitakuwa kimbuzi kimbuzi tu penda usipende. Cha ajabu ni nini kwani hiyo sio utamaduni wetu wa kutoa na kupokea rushwa.
Date: Thu, 4 Oct 2012 00:00:21 -0700
From: kisacha2003@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Meya wa Ilala Jerry Silaa Atakwa na TAKUKURU kwa Rushwa
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Date: Thu, 4 Oct 2012 00:00:21 -0700
From: kisacha2003@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Meya wa Ilala Jerry Silaa Atakwa na TAKUKURU kwa Rushwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Kigwa, mimi nimmoja wa watu ambao huwatakia matarajio mazuri baadhi ya watu ambao sura zao zinasema kitu. Mfano nilikuwa mkereketwa wako sana, lakini kule kusikia habari zikuhuyo ambazo hazilingani na ninavyokuona ikaniuma, mwisho nakaamua nikuweke katikati tu. Huyu bwana mdogo kule ilala, anamtaji mkubwa sana, vijana wanampenda, kina mama, kasoro kuna wazee wanaona anawabania, lakini nisingependa akutwe na mabalaa ya kashfa. atujibu; Alifuata nini Iringa, Kampeni anampigia nani, Kwanini takokula wamemwinda, je na yeye pamoja na ustaharabu wake yupo kwenye makundi haramu, au anamiradi Iringa? Msaidia aje atujibu au mjibie baada ya kupata maelezo yake. Mwambie wapo watu hawatarajii maneno mabaya yawe kwake asituvunje moyo hata ule uliobaki. --- On Wed, 10/3/12, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment