Monday 8 October 2012

Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

Courage, the Tanzalawi thing is veeery funny!! Muungano wa ODM na KANU :)

If geopolitics was the stuff of legal frameworks, George Bush and Tony Blair would be singing saprano at Guantanamo. Hebu rudisha hiyo sheria hadi 1880 then walk us forward to a time (1890) when a people gave away ALL their rights to water, fish and transit to some other people across a lake. Maurice, law is not something snatched from the heavens.

As far as giving Malawians something so that we can continue using what has always been ours, I will be found wanting, except perhaps if Ms Banda would like a passage to the Ocean on condition that when she meets the shoreline she should keep walking!! No sir, we aint gonna give them anything until you start paying me the 146 dollars per day for the Oxygen you breathe for which my father and your grandpa had signed an agreement that the Oxygen belongs to me - all of it!

The only reasonable proposition would be to pool up our efforts for lake Malawi development, including but especially for the protection of the ecosystem. Otherwise, they can go play on the freeway.

mchilyi7.0



-----Original Message-----
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Mon, Oct 8, 2012 12:41 pm
Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

Willy,    Please don't read me wrong. I think someone made a terrible mistake in  alloting the whole lake to Malawi. Tanzania has a legitimate claim for  half of the lake because the people around Ruvuma and Iringa derive  their livelihoods from the lake. It would be unnatural for the ppeople  there to be denied the use of the lake.  But that aside; existing legal scenario is that Malawi owns the lake.  The only way out of this situation is a political settlement in which  Malawi cedes half of the lake in exchange for something. I have  suggested a passage to the sea and I think that is doable if TZ is  willing.  War is definitely not an option.  A very far-fetched solution would be for TZ and Malawi to form a union  to become the United Republic of Tanzalawi.    Courage,  Oduor Maurice        On 10/8/12, Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com> wrote:  > The people living on the eastern and northern shores of the lake have always  > had the right of use of the lake, primarily for water, food and transit up  > to the median line roughly parallel to the shoreline. The oil and other  > mineral deposits is a recent discovery. Kamuzus claim was actually NOT for  > only the lake but also the whole of Ruvuma and Iringa, so you know we have a  > fair understanding of their preposterous claims.  >  > If you have a case for other lakes or rivers please feel free to petition  > with those responsible, be it Tanzanians, EAC, AU, ICJ or the UN. But I am  > sure you know that the case of Lake Victoria is a ruse for diverting  > attention from Ms Banda's claim for all of Lake Malawi.  >  > While you are at it, why dont you just claim all of Lake Victoria - to  > borrow a leaf from Ms Banda's book?  >  > mchilyi7.0  >  >  > -----Original Message-----  > From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>  > To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>  > Sent: Mon, Oct 8, 2012 12:04 pm  > Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >  >  > Willy,  >  > Is Tanzania now aggressively going after half of the Lake because of  > the potential for oil under there?  > Then I think Kenya should fight to get more of Lake Victoria. Right  > now Kenya owns only 6% while TZ and Uganda share the remaining 94%.  >  > Courage  >  >  >  > On 10/8/12, Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com> wrote:  >> Ndugu HK, let them know that we are fully aware that they are backed by  >> those who eye the potential fossil deposits of the 600 km long Lake  >> Malawi  >> (which may rival the oil deposits of Lake Albert in Uganda - now being  >> compared by the Americans to those of Saudi Arabia). Tell them that we  >> know  >> the stakes are high.  >>  >> Be that as it may, the right of Tanzanians and Malawians to use the water  >> and other resources of the Lake to the median line is God given and has  >> never, nor can it be taken away from the Wamandas the Nyakyusa the  >> Matengo  >> or the Wanyasa who have been dependent on the lake from time immemorial -  >> as  >> far back as when there was no such thing as a Germany or even a United  >> Kingdom.  >>  >> Whether Ms Banda is being used or supported by UK or the Americans or  >> others, our rights to our half of the lake will never be permanently  >> taken  >> away by declaration or use of force, not by Malawi, not by UK, not by ICJ  >> NOT by any power on earth. For this right we will be in a permanent state  >> vigilance.  >>  >> Let it be known that if Tanzania would try to claim all the lake for  >> ourselves, I would fight that position just the same and would stand with  >> Malawi to claim their own half of the Lake till kingdom comes. A people  >> shall never be denied their natural right to proximal water and the  >> resources there in. Its unnatural and unconscionable.  >>  >> mchilyi7.0  >>  >>  >>  >>  >>  >>  >>  >> -----Original Message-----  >> From: hkigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>  >> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>  >> Sent: Mon, Oct 8, 2012 11:24 am  >> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>  >>  >> Maurice, I am of the opinion that is similar to Matinyi's and have told  >> you  >> that  >> I will volunteer to go to the frontline if it reaches to that, and know  >> you  >> that  >> many Tanzanians are ready for that, only if it means defending our  >> borders,  >>  >> dignity and respect! Trust me bro, Malawi is not even an inch close to  >> Amin's  >> Uganda in terms of budget or even size of the force, let them continue na  >> uchokozi wao, na watakiona cha mtema kuni! Sisi hatupigi kelele wala  >> propaganda,  >> tunawasubiri mezani kwanza, wasipotokea tutawasubiri waingilie mpaka  >> wetu,  >> hapo  >> ndipo watasikia mapigo yetu, mpaka sasa tumeshaimarisha ulinzi kwenye  >> mipaka  >> ya  >> upande wetu wa ziwa! Waambie wachokoze sasa waone!  >>  >> HK!  >> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania  >>  >> -----Original Message-----  >> From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>  >> Sender: wanabidii@googlegroups.com  >> Date: Sat, 6 Oct 2012 17:39:30  >> To: <wanabidii@googlegroups.com>  >> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com  >> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>  >> Matinyi,  >>  >> You are someone I respect and I don't expect war language from you.  >> You're someone people listen to on these fora so una wajibu fulani.  >> Usichochee ovyo ukatuanzia vita kati ya Tz na Malawi, vita isiyo na  >> maana wala mantiki.  >>  >> You should be talking about a political solution.  >>  >> Courage  >>  >>  >>  >> On 10/6/12, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:  >>> Maurice,  >>> You need to know some historical facts of this conflict, and a knowledge  >>> of  >>> who started the fire now.  >>> Secondly, when two countries fight, it is not a battle between their  >>> leaders  >>> but armies, air force, etc. This was Amin's thinking and has nothing to  >>> do  >>> with our decision or view then, now, and tomorrow. So, if necessary, we  >>> will  >>> attack them and either kill Joyce or capture her unless she runs away  >>> like  >>> Amin. Trust me.  >>> Matinyi.  >>>  >>>  >>>  >>>  >>>  >>>  >>>  >>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network  >>>  >>> ----- Reply message -----  >>> From: "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com>  >>> To: <wanabidii@googlegroups.com>  >>> Subject: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>> Date: Sat, Oct 6, 2012 2:46 pm  >>>  >>>  >>> Matinyi,  >>>  >>> I've always respected you as a formidable debater but hapa kaka nawe  >>> umeanza kuteleza kidogo. You're making a false comparison. Migingo  >>> Island issue is not in the same category as this Lake Nyasa issue.  >>> There's no Treaty that ever granted Migingo to Uganda. Infact all  >>> existing maps and Agreements show the island as bwlonging to Kenya.  >>> The only reason Migingo is an issue is that Kibaki does not care about  >>> it because it only conveniences Luos, a tribe he has no regard for.  >>> Museveni knows that and is taking advantage. Once Raila takes the  >>> presidency, you wont even see any sign of Uganda on that island.  >>>  >>> Lakini this Lake Nyasa issue is more complicated because over history,  >>> there have been several conflicting pacts and agreements over it. The  >>> 2 countries need to sit down with an independent 3rd party and find a  >>> negotiated settlement. If Tz goes to war over this, Tz will not just  >>> get a black  eye for beating up on a woman president, it will become  >>> an international pariah.  >>>  >>> Mie nakupa wasia kama jirani mwema.  >>>  >>> Courage,  >>> Oduor Maurice  >>>  >>>  >>>  >>> On 10/6/12, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:  >>>> Maurice,  >>>> How about this, let Kenya take Migingo, and offer Uganda a passage to  >>>> the  >>>> sea, then we will follow suit.  >>>> Matinyi.  >>>>  >>>>  >>>>  >>>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network  >>>>  >>>> ----- Reply message -----  >>>> From: "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com>  >>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>  >>>> Subject: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>>> Date: Sat, Oct 6, 2012 12:35 pm  >>>>  >>>>  >>>> Mike,  >>>>  >>>> You are providing a wrong comparison. In other words, you're advancing  >>>> a  false argument. The comparison to eyes and arms does not fit.  >>>>  >>>> International norms now recommend that water bodies such as Nyasa,  >>>> Tanganyika and Victoria be shared equally between the associated  >>>> countries. That is how Canada and US now share the Great Lakes.  >>>>  >>>> But the fact is that Lake Nyasa legally belongs to Malawi for now. The  >>>> best outcome here would be that the Lake is shared equally between Tz  >>>> and Malawi but Malawi is offered something in exchange. A passage to  >>>> the sea would be a good offer.  >>>>  >>>> Courage  >>>>  >>>>  >>>>  >>>> On 10/6/12, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:  >>>>> Can you give one of your eye to someone in order to save your hand to  >>>>> be  >>>>> chopped off.  >>>>>  >>>>>  >>>>> ________________________________  >>>>>  From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>  >>>>> To: wanabidii@googlegroups.com  >>>>> Sent: Saturday, 6 October 2012, 8:55  >>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>>>>  >>>>> Shedrack,  >>>>>  >>>>> why don't you guys give Malawii a passage to the sea in exchange for  >>>>> part of the lake you're claiming? I think that would be a fitting and  >>>>> mature compromise.  >>>>>  >>>>> Courage  >>>>>  >>>>>  >>>>>  >>>>> On 10/6/12, shedrack maximilian <shedrack_maximilian@yahoo.co.uk>  >>>>> wrote:  >>>>>> Tony  >>>>>> Sijui ujinga wa watz uko wapi katika huu mgogoro!? Be specific  >>>>>>  >>>>>> lakini kuhusu Malawi kudepend Kwa waingereza au yeyote yule kuhusu  >>>>>> kwamba  >>>>>> ziwa ni lao mimi naona ni uwezo mdogo wa kufikiri ,Wale wapo tu  >>>>>> kuchonganisha mara zote.Wkumbuke kuwa Malawi sawa na Tanzania ni nchi  >>>>>> zinazokua na watu wake ni masikini sana na hivyo kusema kweli  >>>>>> hatuitaji  >>>>>> kutumia pesa kupigana vita ambayo kwa hakika itawaua na kuharibu mali  >>>>>> za  >>>>>> hao  >>>>>> watu wetu masikini.Kama hawatakaa katika mazungumzo shauri  >>>>>> yao,Tutaingia  >>>>>> katika vita  ,tutaumizana na mwisho wa siku tutakaa katika meza  >>>>>> kuzungumza  >>>>>> .wazungu hawataweza kuwasaidia chochote kile na wala hawana  >>>>>> rasilimali  >>>>>> za  >>>>>> kuwafanya wazungu wasimame upande wao kwasabau wako kwa ajili ya  >>>>>> masilahi  >>>>>> yao.  >>>>>> Jamani mama Banda utaumiza watu wako jama!!  >>>>>>  >>>>>> Shedrack Maximilian  >>>>>>  >>>>>> B.Sc. Env.Health Science  >>>>>>  >>>>>> Bagamoyo District Council, Tanzania  >>>>>>  >>>>>> shedrack_maximilian@yahoo.co.uk  >>>>>>  >>>>>> +255(0754)944-504  >>>>>>  >>>>>> +255(0715)844-504  >>>>>>  >>>>>> --- On Wed, 3/10/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:  >>>>>>  >>>>>> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>  >>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>>>>> To: wanabidii@googlegroups.com  >>>>>> Date: Wednesday, 3 October, 2012, 7:13  >>>>>>  >>>>>> Pius,  >>>>>>  >>>>>> Sisi waTz huwa mazezeta kwelikweli! Inabidi ifike wakati Kenya  >>>>>> tuwaambie  >>>>>> kuuza mmlima wetu inabidi walipe royalty na tufunge mpaka wote ili  >>>>>> watalii  >>>>>> wakitaka kuja kuona mlima wapitie Uganda au zanzibar au kwa ndege!  >>>>>>  >>>>>> Ujinga wetu ndio umefanya Malawi kujiaminisha kuwa ziwa lote ni la  >>>>>> kwao!  >>>>>> Hivi kweli Malawi watasemaje hivyo wakati kuna taarifa ya mabonde  >>>>>> (Great  >>>>>> Lakes Basins),  mito na maziwa zinatamka na wao kujua kuwa maji  >>>>>> karibu  >>>>>> asilimia 63 yanatoka milima ya Livingston, Lukumburu, njombe, Ludewa,  >>>>>> mbinga, Songea, mito na  maji ya mvua ndani ya mipaka ya Tz ziwani!  >>>>>>  >>>>>> Wakileta kichaa sasa tutalichukua ziwa lote, yaani tunabadili mipaka  >>>>>> iwe  >>>>>> upande wa magharibi mwa ziwa, tuone kama wataona sawa!  >>>>>> Leo tunaweza kuanzisha man-made inland lakes upande wa Tz na ziwa  >>>>>> litanyauka  >>>>>> kwa asilimia isiyopungua 70. Maana ziwa hilo linapata asilimia karibu  >>>>>> 42  >>>>>> ya  >>>>>> maji ya mito upande wa Tz, 21 ya maji ya mvua ziwani, na 27 ya maji  >>>>>> ya  >>>>>> mito  >>>>>> na mvua upande wa malawi!  >>>>>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.  >>>>>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de  >>>>>> Bell.From:  Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>  >>>>>> Sender:  wanabidii@googlegroups.com  >>>>>> Date: Wed, 3 Oct 2012 06:45:01 +0100 (BST)To:  >>>>>> wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:  >>>>>> wanabidii@googlegroups.com  >>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>>>>> Kwa mtaji huu inabidi tuwe macho hata na hawa watani wetu wa jadi  >>>>>> wanaotumia  >>>>>> utalii kutanganza mlima Kilimanjaro uko kwao! Yule mama Banda  >>>>>> katangaza  >>>>>> rasmi kuwa hataki tena mazungumzo! Hana imani na Tanzania. Hana imani  >>>>>> na  >>>>>> JK  >>>>>> eti wtz tumezindua ramani mpya na kufukuza wavuvi wamalawi. Katumwa,  >>>>>> sasa  >>>>>> naona anachotafuta wakati muafaka umefika wa kumpa. Kalewa madaraka.  >>>>>> Wtz  >>>>>> tuweni makini, lazima kuna agenda za kikoloni zinatengenezwa. Banda  >>>>>> mkubwa  >>>>>> alitambulika ukanda wetu huu kama kibaraka. Ni jadi yao hawa, hatuna  >>>>>> haja  >>>>>> ya  >>>>>> kupoteza muda kujadiliana nao! Dawa ya kibaraka ni kumshughulikia  >>>>>> kabla  >>>>>> hata  >>>>>> hajaota mbawa za kutosha.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>         From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>  >>>>>>  To: wanabidii@googlegroups.com  >>>>>>  Sent: Tuesday, 2 October 2012, 23:29  >>>>>>  Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>>>>>  >>>>>> Ukweli ni kwamba hapa tulipofika tumepatengeza wenyewe kwa  >>>>>> kuwakubalia  >>>>>> Wamalawi katika mambo ya Ziwa hilo.  >>>>>>  >>>>>> Walianza kwa kubadili jina kutoka jina la asili la Nyasa ambalo  >>>>>> linajumuisha  >>>>>> wote wanaopakana na hilo Ziwa na kuliita Malawi wakiengua upande wa  >>>>>> Tanzania, tulikaa kimya na kuwapigia makofi.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Walitengeza ramani zenye kuonyesha mpaka kuwa ufukwe wa Tanzania,  >>>>>> nasi  >>>>>> tukazitumia pasipo kuhoji!!!  >>>>>>  >>>>>> Malawi walihakikisha kizazi cha sasa kisifahamu lolote kuhusu jina la  >>>>>> Nyasa  >>>>>> na mpaka kuwa katikati ya ziwa, walielewa walichokuwa wakifanya,  >>>>>> wakati  >>>>>> sisi  >>>>>> tukiwa hatuelewi tunataka nini.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Imefika wakati Jumuiya za Kimataifa zinatambua hivyo, na hata miradi  >>>>>> ya  >>>>>> kiuchumi inayohusu ziwa hilo, wenye kunufaika ni Malawi, kwa upande  >>>>>> wetu  >>>>>> hata miradi hukataliwa na taasisi za nje, labda huo mradi uhusishe na  >>>>>> wamalawi.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Tumelea wenyewe!!  >>>>>>  >>>>>> On 2 October 2012 23:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla  >>>>>> <hkigwangalla@gmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>> safi sana, msimamo wangu kwa hakika unafanana na wa kwako, na kwa  >>>>>> kweli  >>>>>> demokrasia ikishindwa - twende vitani tu tuwatandike nduli hawa chini  >>>>>> ya  >>>>>> uongozi wa yule mama mkaidi anayeitwa Nduli Grace  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 11:14 PM, Mobhare Matinyi  >>>>>> <matinyi@hotmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Dkt. Kigwangalla,  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Usiwe na shaka, hatutaki vita na tutafanya mazungumzo mpaka mwisho,  >>>>>> ikishindikana zitapigwa. Kuna Wakurya kama laki mbili - vijana watupt  >>>>>> na  >>>>>> hawana kazi baada ya migodi yao ya dhahabu kuporwa na wawekezaji na  >>>>>> ng'ombe  >>>>>> kuibiwa na majambazi; hawa ukitangaza vita watakuja kama mvua,  >>>>>> achilia  >>>>>> mbali  >>>>>> tulioko huku majuu, tutarudi wote golini tujazane. Hebu fikiria kila  >>>>>> mkoa  >>>>>> ukitoa vijana wake laki moja wasiokuwa na kazi itakuwaje? Tutawapiga  >>>>>> washikaji zetu kwa kutembea na miguu na bakora bila bunduki, na  >>>>>> hatumui  >>>>>> mtu,  >>>>>> ni bakora tupu ila baraa lote la mawaziri tutawachukua tuje nao huku  >>>>>> mjini,  >>>>>> tuwarundike Keko.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Mmarekani mmoja, sasa balozi mstaafu baaa ya kulitumikia jeshi pia na  >>>>>> kufanya kazi ya kufundisha Wakenya, aliniambia kwamba wakati  >>>>>> Watanzania  >>>>>> wanaingia Uganda yeye alikuwa kijana mdogo akifanya kazi na  >>>>>> wamisionari..  >>>>>> Anasema miaka yote aliyokuwa jeshini Marekani alikuwa anawakumbuka  >>>>>> wale  >>>>>> Watanzania jinsi walivyokuwa na nidhamu ya kijeshi na jinsi  >>>>>> walivyowaua  >>>>>> Walibya. Anasema kwamba rekodi hazisemi ukweli kuwa eti walikufa  >>>>>> Waarabu  >>>>>> 600  >>>>>> tu, anasema Kampala peke yake walizidi 1,000. Anasema Watanzania ni  >>>>>> habari  >>>>>> nyingine kabisa.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Hatutaki vita lakini lazima ziwa tulidhibiti; iwe isiwe.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Matinyi.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Date: Tue, 2 Oct 2012 23:06:28 +0300  >>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal  >>>>>> From: hkigwangalla@gmail.com  >>>>>>  >>>>>> To: wanabidii@googlegroups.com  >>>>>>  >>>>>> Felix, ninachokumbuka tu ni kwamba nilikula samaki mtamu anayeitwa  >>>>>> Mbasa  >>>>>> kwa  >>>>>> ndizi safi za mbeya...and notable was the way yule samaki na yule  >>>>>> kuku  >>>>>> alivyokuwa amechoma...  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> utamu wa samaki yule maalum kwa ajili ya wageni wanaokuja kule  >>>>>> mwambao  >>>>>> wa  >>>>>> ziwa Nyasa ni yule samaki, na nitakuwa tayari kushiriki vita ya  >>>>>> kulikomboa  >>>>>> lile Ziwa ili wajukuu zangu waendelee kula Mbasa maisha yao yote  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 10:46 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>> Hahahahaha, huku note tu pale una kuwa connected Malawi simu zote,  >>>>>> kwa  >>>>>> hiyo  >>>>>> nawe siku hiyo ulikuwa Malawi!!!!!  >>>>>>  >>>>>> Felix  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On 2 October 2012 22:14, Dr. Hamisi A. Kigwangalla  >>>>>> <hkigwangalla@gmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>> Mwakyex, nakumbuka voda yangu ilikuwa inashika...ila siku-notice  >>>>>> kingine  >>>>>> chochote cha ajabu. airtel haikuwa inakamata  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 9:03 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>> Dr Kigwa,  >>>>>>  >>>>>> Hivi ulipokuwa pale Nduli, Kyela simu zako zilishika net za wapi!!!!  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Felix  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On 2 October 2012 18:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla  >>>>>> <hkigwangalla@gmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>> Moderator, mfute huyu MMalawi kwenye hili group, anatutia hasira na  >>>>>> vichefu  >>>>>> chefu hapa. Hana kingine anachochangia zaidi ya Lake Nyasa  >>>>>> tu...nadhani  >>>>>> anafanya kazi ya kiintelijensia ya kutaka kujua tunasema nini na tuna  >>>>>> hoja  >>>>>> zipi kwenye hili suala...ONDOA HUYU HARAKA tafadhali...  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Tuliishasema Tanzania italinda mipaka yake, na tuko tayari kwa lolote  >>>>>> wakati  >>>>>> wowote...waache kutuchokonoa chokonoa  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 2:01 PM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>> Hayo mafuta tunaweza tafiti kama joint project kama yapo! nadhani hao  >>>>>> wavuvi  >>>>>> wa dagaa wanasail bila matata. Mazungumzo pia yalenge kuishawishi  >>>>>> malawi  >>>>>> kujiunga EAC sawa na Burundi na Rwanda wanaweza faidika zaidi.  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Kama kuna economic advantage ya kuwekeza katika meli basi Bakhresa au  >>>>>> Songoro wanaweza wekeza huko  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 1:51 PM, ELISA MUHINGO  >>>>>> <elisamuhingo@yahoo.com>  >>>>>> wrote:  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>> Na meli aliyoahidi Rais ijengwe  ianze safari zake kwenye port zetu.  >>>>>> mafuta  >>>>>> waendelee kutafiti ila wsichimbe etc  >>>>>>  >>>>>> --- On Tue, 10/2/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>>>  >>>>  >>>> --  >>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  >>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  >>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >>>>  >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda  >>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  >>>> ukishatuma  >>>>  >>>> Disclaimer:  >>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any  >>>> legal  >>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts  >>>> must  >>>> be  >>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you  >>>> agree  >>>> to  >>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >>>>  >>>>  >>>>  >>>  >>> --  >>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  >>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  >>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >>>  >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda  >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  >>> ukishatuma  >>>  >>> Disclaimer:  >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any  >>> legal  >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must  >>> be  >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you  >>> agree  >>> to  >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >>>  >>>  >>>  >>> --  >>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  >>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  >>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >>>  >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda  >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  >>> ukishatuma  >>>  >>> Disclaimer:  >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any  >>> legal  >>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must  >>> be  >>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you  >>> agree  >>> to  >>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >>>  >>>  >>>  >>  >> --  >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >>  >> Kujiondoa Tuma Email kwenda  >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  >> ukishatuma  >>  >> Disclaimer:  >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any  >> legal  >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must  >> be  >>  >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree  >> to  >>  >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >>  >>  >> --  >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >>  >> Kujiondoa Tuma Email kwenda  >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  >> ukishatuma  >>  >> Disclaimer:  >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any  >> legal  >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must  >> be  >>  >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree  >> to  >>  >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >>  >>  >>  >>  >>  >> --  >> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  >> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  >> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >>  >> Kujiondoa Tuma Email kwenda  >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  >> ukishatuma  >>  >> Disclaimer:  >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any  >> legal  >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must  >> be  >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree  >> to  >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >>  >>  >>  >  > --  > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >  > Kujiondoa Tuma Email kwenda  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  > ukishatuma  >  > Disclaimer:  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal  > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be  >  > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to  >  > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >  >  >  >  >  > --  > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com  >  > Kujiondoa Tuma Email kwenda  > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha  > ukishatuma  >  > Disclaimer:  > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal  > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be  > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to  > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  >  >  >    --   Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com  Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com  Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com    Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma    Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal   consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be   presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to   this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.      

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment