Thursday 18 October 2012

Re: [wanabidii] KANISA LACHOMWA MOTO , YOMBO DSM

Nimependa sana mchango wa Juma. Natoa rai kuwa tu siwa understimate hawa wahuni au vichaa wachache wanaojipambanua km watetezi wa imani ya kiislamu wakati uislamu ni upendo na amani. Tuwakatae hawa vichaa na kamwe tusitumie mwanya huu kuutukana uislamu au waislamu. Tutumie busara zaidi kuepuka kutoa mwanya kwa vichaa kuendeleza ukichaa. 

Niombe waislamu safi wajitokeze kwa wingi kulaani matendo haya ya uvunjifu wa amani. Redio za kiislamu zisitumike kuchochea vurugu bali zilaani vurugu na kutoa mafundisho safi km Mtume Mohamad SAW alivyofundisha. 

Wahuni wachache ambao kwa bahati mbaya sana wanatumia majina yatumiwayo na waislamu safi wakikamatwa na polisi, tuwaache sheria ichukue mkondo wake bila mashinikizo ya kuwataka waachiwe. Misikiti kamwe isitumike kama kijiwe cha kukutanikia kuanzisha mashambulizi ya kisasi dhidi ya makanisa. Viongozi wa dini km kweli hawawatumi hao wahuni wawakatae na wasikubali misikiti kutumika kama kinga mara wahuni hao wakutanapo na rungu la dola. Tukiwaendekeza nchi 
hii haitatawalika na waislamu safi ambao sasa wanakaa kimya  nao watakosa pa kuishi kwa amani. 

Polisi ichangamke isiendelee kulala, amani haipo tena. Sasa tunaanza eti kufikiria kukaa nyumbani au kutokuwa maeneo ya kanisani ifikapo siku za jumapili saa za mchana. Ofisi za balozi mbalimbali eti zinaanza kutoa taadhali kwa wafanyakazi wao kuwa waangalifu siku za ijumaa. Tunakwenda wapi? 
William Kihigwa

gm26may@gmail.com wrote:

Juma

Je wenyewe mnakanyana na kuambiana ukweli?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 18 Oct 2012 13:33:01 +0000
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] KANISA LACHOMWA MOTO , YOMBO DSM

John;

Nakubaliana vizuri na wewe,ninachokiona ni kwamba mtu katika michango yake anawatoa akili waislam mpaka mtu anafikia kusema sijui tuwanyime huduma za jamii tuone kama watapona anakuwa anamaanisha nini?Kwamba waislamu wanategemea huduma toka kwa nani?na bila nani waislamu hawaponi?

Wengi hatujapenda na hatutapenda kilichotokea Mbagala,ila pia baadhi ya michango ya kudhalilisha dini zingine pia hatupendi,badala ya kumwagia maji kwenye moto tunamwagia petrol……tunakuwa sawa na wale waliofanya upuuzi Mbagala…

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of John George
Sent: Thursday, October 18, 2012 4:23 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KANISA LACHOMWA MOTO , YOMBO DSM

Juma,

Hiyo michango haina tatizo tatizo ni vitendo vinavyofanywa na waumini wenzetu. Sijui ni mUngu yupi anawaongoza kufanya hayo.

On Thu, Oct 18, 2012 at 3:40 PM, Juma abdallah <juma.abdallah@huawei.com> wrote:

Tuangalie tu maneno yetu na michango isivuke mipaka!

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of john mushi
Sent: Thursday, October 18, 2012 3:37 PM
To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] KANISA LACHOMWA MOTO , YOMBO DSM

Pamoja na kufunga na kusali hivi Wakristo wakiamua kusitisha huduma zote za jamii kwa hawa jamaa watapona?au watakula hizo fujo zao?KWA HILI INABIDI Mheshimiwa Mkuu wa nchi aige ya mtangulizi wake ambaye aliwakomesha pale mwembe chai na Zanzibar mpaka akamaliza kipindi chake bila kuwasikia tena.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 18, 2012 2:16 PM
Subject: Re: [wanabidii] KANISA LACHOMWA MOTO , YOMBO DSM

Ni kwa waumini wa kanisa kufunga wiki moha kisha kusoma misa ya Requiem kutwa kucha kumuachia Mungu awaadhibu waliochoma na kuiba.

--- On Thu, 18/10/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] KANISA LACHOMWA MOTO , YOMBO DSM
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: "Wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Thursday, 18 October, 2012, 10:06

Yap naskia ni kanisa ndio limechomwa moto

On Thu, Oct 18, 2012 at 12:42 PM, flano mambo <flein47@yahoo.com> wrote:

Nasikia Yombo kuna moto umewashwa tena na hawa jamaa zetu wakorofi kuna mwenye taarifa zaidi??

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment