Thursday 4 October 2012

Re: [wanabidii] Hospitali ya Dr Ngoma wataka kunitoa Roho

Huyu Juma Mzuri alieandika hii article imenishangaza sana san sana. Maana mimi pia nilitibiwa pale pale juzi Jumanne na nikachomwa sindano na nikapata reaction kama huyu Juma. Sasa Sielewi aliniona mimi au ni Dr anapima mwelekeo wa views au it is just a coincidence. Kwa kweli nilihisi kufa kwa kuwa nilipatwa na reaction kubwa sana kiasi cha ndugu zangu kuamua kunipa maziwa as if nimepewa sumu.
Ila kilichinisikitisha mimi ni pamoja na kuweleza dactari aliyeniatend kwamba by any means nina reaction na aina yeyote ya dawa kutuliza maumivu, bado alinichoma sindano yenye mchaanganjiko wa dawa sile zile nilizosema nina alage nazo. Hivyo niliona kama uzembe mkubwa kwani huwezi kujaribu katika mwili wa binadamu ili uone reaction itakuwaje. It was too dangerous and lack of medical ethics. Ndiyo maana mimi nilimweleza kwanza. Hata hivyo pamoja na kuondoka pale na hali ile mbaya, wala hawakuuliza tena hali yangu ilikuwa inaendeleaje hadi leo. So hata kama nimefariki it is non of their business.
Kilichonishangaza zaidi ni gharama za ile hospitali.
Kumwona dactari na kuchomwa zindano moja sijui na bed rest na vipimo vya malaria.. just in 3 hours tu nililipa 185,000/=. And in fact baada ya ile reaction sikwenda tena kwa ule ugongwa ambao waliniambia na hadi sasa siumwi tena.
This means, i was not even sick. Ilikuwa ni issue ya dr kuniintervies na kulingana na taaluma yake ajue kwamba huyu patient ana fatigue (amechoka sana) au ana stress so anahitaji kushauriwaakapumzike. (long rest). Lakini hospitali zetu hizi bila dawa, drip, vitanda, sindano.....alimradi tu waingize pesa. Hakuna ethics mahospitalini siku hizi.
Ningeshauri sana Professor Ngoma ambaye niliongea naye pia aangalie wasaidizi wake kama kweli wanafuata ethics za kazi zao otherwise one day each one of us will be accoutable for what was put under our responsibilities.
It is a very higine hospital though.

2012/10/4 Zablon Joseph <jkiboga@gmail.com>
Tupige kelele huduma ziboreshwe hospitali, zahanati na katika vituo vya afya kwani kinyume cha hapo ni vifo na madhila mengine kutokana na ukweli kuwa vituo na hospitali binafsi kuna wabangaizaji na sio madaktari au wahudumu wa afya wenye sifa. Pia sisi wenyewe ulimbukeni unatusumbua, kuna mtu nilibishana nae sana kuhusiana na wapi pa kumpeleka mwanae ambaye alikuwa mgonjwa. Binafsi nilitaka tumsaidie awahishwe hospitali ya AMANA, lakini mama wa mtoto akawa mjivuni "Mwanangu hawezi kutibiwa Amana, kama pesa zipo nitampeleka ...... (akaitaja zahanati iliyojipachika jina la hospitali) allifika wakampokea wakampa huduma walizompa ndani ya saa 48 mama na mwanae wakapewa transfer kwenda AMANA, mtoto kazidiwa na wao wakadai ni nje ya uwezo wao, saa zingine 24 baadae mtoto akafariki, huyo mama hadi leo nashindwa kumwangalia usoni......!

2012/10/2 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Natoa ushauri huu (mimi ni mzoefu wa fani)

Hospitali (vituo vya afya) binafsi mara nyingi hawana
wataalamu(qualified) wa maana kutambua magonjwa na kutoa tiba sahihi

Endapo ni dharura kutibiwa huko uulizie kama kuna mtaalamu yeyote
(angalau medical officer na kuendelea) akutibie katika mazingira hayo

Hapo kwa dr. ngoma hapana sifa ya kuitwa hospitali,panatakiwa paitwe
kituo cha afya

2012/10/2 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>:
> Mmenikumbusha mwanangu alivyopoteza maisha hapo kwa Dr. Ngoma (2005) baada
> ya kumtoa shuleni akiwa na homa ya malaria wakashindwa kugundua kumbe
> alikuwa na malaria ya uti wa mgongo. wakamwekea madrip yao ya quinini
> akapoteza uhai.
> Makanjanja sana hao kama mtu unajipenda kabla ya kwenda hapo jiulize mara
> mbili. Kama unajipenda au hujipendi. Gharama juuuu lakini wachakachuaji. RIP
> My beloved Daughter Dorine.
>
> ________________________________
> Date: Tue, 2 Oct 2012 16:59:36 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] Hospitali ya Dr Ngoma wataka kunitoa Roho
> From: tracykwetu@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Ndio zake huyo mzee muogopeni
>
> 2012/10/2 weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
>
>
> Pole kaka.
> Hizi hosp nadhani nazo zina makanjanja. Shangazi yangu aliwahi kupewa dawa
> za ukoma ilhali anaumwa malaria. Mke wangu aliwahi kuambiwa ana sifilisi
> nikashangaa. Binafsi ninamwamini sana. Tuwe makini na hosp
> hizi.------------------------------ On Tue, Oct 2, 2012 05:59 PDT Juma Mzuri
> wrote:  >Ebwana ehh nilijisikia vibaya kichwa kinaniuma jana nikaamua kwenda
>>hospitali ya dr ngoma iliyopo mwenge karibu na gorofa za jeshi . > >Ebwana
> wakanipiga sindano na kunitaka nilazwe hapo mwili wote ukaanza >kufura mpaka
> baadaye jamaa yangu alipokuja kunicheki akagundua dawa >walizonipa sio
> sahihi nikaondolewa hospitalini hapo > >--  >Karibu Jukwaa la
> www.mwanabidii.com >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com > >Kujiondoa Tuma
> Email kwenda  >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma > >Disclaimer: >Everyone posting to this Forum bears
> the sole responsibility for
>  any legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines. > >
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment