Thursday 25 October 2012

Re: [wanabidii] Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote – Ramadhan Dau - Mwanzo

Wadau changieni hii hoja ya mafao jamani,Wabunge wetu kataeni katakata,kuna kundi la vijana kubwa sana litakuwa pamoja nanyi,Mnyika upo?wote bila kujali chama.hapa ndio wafanyakazi haki ya Mungu watajua nani yupo nao.

--- On Wed, 10/24/12, Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com> wrote:

From: Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote – Ramadhan Dau - Mwanzo
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 24, 2012, 11:14 PM

Tony

Umemuona eeh! Angalieni watu kama hao nonsenstive wataharakisha sana downfall ya serikali yenu hii. Madam umerudi jukwaani unaweza kusaidia saidia walau kifo kisiharakishe kabla ya 2015. 

Lakini wengine hawawezi kushangaa Dau kutetea hila hiyo ya serikali kusaidia shirika kama NSSF lisianguke...kwani nani hajui hasa chanzo cha uamuzi huo wa serikali!

Sent from my iPad

On Oct 25, 2012, at 8:39 AM, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

Hosea,

Anachosema Dau sio sahihi, na kama analinganisha Tz na nchi nyingine ambazo zina mishahara ya wasio na ajira, ina maana analinganisha vitu viwili tofauti kimaumbile. Ni vyema akalinganisha mfumo wetu na mifumo inayofanana katika mambo yanayofanya mtu asidai mafao anapopoteza kazi.

Mtu akipoteza kazi kwa mataifa mengine serikali hutoa poshho ya kujikimu, mtu asiadhirike. Pia bima za afya huendelezwa (buffer) kwa miezi kadhaa kabla mtu hajapoteza haki ya bima.
Tz vyote hivyo na posho ya serikali kutokana na kupoteza kazi hazipo.

Kwa matamshi na muono wa Ustaadhi Ramadhani, ina maana ukipoteza au kufukuzwa au kuacha kazi, mfanyakazi au mwanachama wao afe wakati kuna fedha zinazomgoja uzeeni! Atakufa kwavile hatakuwa na uwezo wa kujikimu, kununua dawa, kusomesha watoto na yote aliyokuwa akifanya akiwa kwenye ajira! Ndilo analolitaka? Siamini hivyo.

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Date: Thu, 25 Oct 2012 08:19:11 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote – Ramadhan Dau - Mwanzo

Dau anataka kutuambia kenya ndo wanaakili kuliko watanzania!!! duniani kote anamaanisha wapi hasa? kwani tanzania sio duniani? kwa hiyo kaona watanzania niwapumbavu na washenzi kuliko watu wote duniani? Hivi niwapi duniani mifuko ya jamii inafanya kazi ya kujenga madaraja barabara vyuo vikuu na mahoteli kama sio tanzania pekee!! Hivi niwapi duniani mifuko ya jamii inakopesha watu wasiokuwa wanachama wake kama sio tanzania pekee! sumai aliwahi kopa alikuwa mwanachama wa nssf?
 
je ameshafikiria ni kwa nini watanzania wanataka hili? ameshatembelea pale ofisini kwake akaona wazee na vijana wanavyohangaika kupata stahiki yao? ameshawaona wazee wa africa mashariki wanavyoburuzwa na ffu pale hazina kwa kudai mafao yao?
 
Dau kwa upumbavu wake anadhani wale vijana wanapoachishwa kazi baada ya mchina kumaliza ujenzi wa barabara wanaenda wapi? tumesikia Nzega na buharamulo dhahabu imekwisha na muda wowote migodi itafungwa sasa hao vijana anataka kutwambia wataenda kuajiriwa wapi kama sio kuchukua chao na kuanza ujasiriamali! Ni mtu aliyewahi kuugua kaswende tu ndo anaweza kuunga mkono mawazo ya kishenzi kama haya.

2012/10/25 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Fao la kujitoa ni kitu gani?
em

2012/10/24 abel makubi <makubi55@gmail.com>
Huyu ameshalewa madaraka ya siku nyingi

2012/10/24 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>

Aache upuuzi. Alikuwa anategemea marekani au australua wawe na fao la kujitoa?

On Oct 24, 2012 5:30 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:
Mkurugenzi wa NSSF Dr Ramadhan Dau amesema Fao la kujitoa limeondolewa ili kuendana na mfumo wa kimataifa kwani duniani kote hakuna Fao la kujitoa.Amesema hata Zanzibar na Kenya hakuna kitu kama hicho.
Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo alipokuwa akihojiwa na Kamati ya bunge ya mashirika ya umma inayoongozwa na Zitto Kabwe.
http://wotepamoja.com/archives/9646#.UIgllbLiYWM.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment