Friday 26 October 2012

Re: [wanabidii] Dk Shein atangaza vita na wavunjifu wa amani Zanzibar

good,huo ndio uongozi.alikuwa wapi siku zote.Rais ni lazima ulinde nch na mipaka yake na uhakikishe usalama wa ndani ni mzuri.Ni lazma ushughulikie uhalifu kama uhalifu bila kujali mhalifu ni mwana dini au la kwani serikali na dola havina dini.Ngupula



------------------------------
On Fri, Oct 26, 2012 4:12 PM EEST Said Issa wrote:

>Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ustahamilivu na uvumilivu wa Serikali umefikia kikomo kwa wale wote wanaofanya vitendo vya fujo na vurugu na itamshughulikia ipasavyo mtu yo yote atakaevunja sheria. Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake aliyoitoa kwenye Baraza la Idd el Hajj.Lililofanyika huko katika hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar.Katika hotuba yake hiyo Dk. Shein alisema kuwa ustahamilivu na utulivu sio udhaifu ni heshima kubwa ya kutii amri ya Mwenyezi Mungu na kusisitiza kuwa hatua ya serikali kuvumilia vitendo hivyo vya uvunjifu wa amani sasa basi. "enough is enough", alisisitiza Dk. Shein.
>
>   http://www.zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/dk-shein-atangaza-vita-na-wavunjifu-wa.html
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment