Mwishoni mwa February 2017 Tanzania ilimkaribisha mgeni. Rais wa Jamhuri ya Uganda. Yoweri Kaguta Mseveni
Kati ya maneno aliyoyasema ni haya yafuatayo: (Tafsiri na nukuu sio rasmi).
"Mimi ni mfuasi wa Nyerere. Nilikuja kusoma University of Dar Es salaam si kwa sababu Uganda hakukuwa na University. Hapana. Nilitaka kuwa karibu na Nyerere".
" Nchi nyingi Afrika zilitawaliwa. Kasoro Ethiopia. Lakini Afrika tulinusurika. Waafrika ni wagumu kufa. Ukienda Amerika utakuta watu wanajiita wamarekani. Sio wamarekani. Wale walikwenda wakawaua wamarekani wakaichukua nchi wakaikalia. Sisi tulinusurika. Kwa sababu waafrika niwagumu kufa. Hii inahitaji maelezo lakini muda hautoshi".
" Mimi ushirikiano na mataifa ya Afrika ni muhimu kuliko kushirikiana na Ulaya. Tatizo la Afrika unakuta watu mnakaa chumbani ukitaka kutoka kwenda nje kupitia sebuleni hapo sebuleni kupita mpaka upate Passport. Huna mamlaka. Huko nyuma tulikuwa tunakuja kuchukua mizigo yetu bandari ya Dar Es salaam unakuta mtu kalala usingizi. Mpaka ubembelezee ndipo 'akusaidie'. Utadhani anakusaidia kukupitishia mizigo kumbe unamlipa. Tukanyamaza na kuomba Mungu atende muujiza. Sasa Mungu ametenda. Tuna rais Magufuli anafanya kazi. __________".
" Nimekuja kufanya mambo mawili: 1) kuwashukuru watanzania kwa kuisaidia Uganda. 2) kuongea na vijana kuwaambia mbona mnakaa mnaangalia pira. Jingine mko Amerika. Ukweli haki zenu na interest zenu ziko hapa Africa. Msipende mambo ya America".
Ninaamini Museveni alikuwa na maana kubwa ndani ya maneno hayo. Nilitarajia columnists wetu kuchambua hayo katika vyombo mbali mbali vya habari na mitandao ya kijamii. Ukusikiliza sana TVs kadhaa za nchi zinazoinukia hukosi mijadala kuhusu mambo muhimu kama hayo. Sikiliza CGTN (China Global Television Network). Mijadala kama hiyo hujenga jamii zenye mwelekeo. Huimarisha na kujenga umoja.
Elisa Muhingo
elisamuhingo@yahoo.com
0767 187 507
--
Send Emails to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+...@ googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears
the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you
are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and
stop receiving
emails
from
it, send an email to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment