Kamala . SWala la makonda kufoji vyeti na kutumia vyeti vya mtu mwingine si hoja katika mada hii. Hiyo ilikuwa hoja ya Gwajima na tumeijadili exaustively. katika mada hii naleta hoja nyingine na swala la Makonda ni case study. Kwamba mtu aliyepata sero anaonekana anafanya mambo ya mtu aliye na akili. Tungeweza kutumia mifano mingine. Ninajua kuwa unajua kuwa topick moja inaweza kuja na mada mbali mbali. Ningeweza kuuliza yule daktari aliyepasua kichwa badala ya Mguu alipata nini mtihani wa form iv. Na ikajadiliwa ki hivyo
--------------------------------------------
On Mon, 3/6/17, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAKONDA: NI KAPI KWELI AU NECTA NI CHUJIO BOVU; TUSIJIDHALILISHE.
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, March 6, 2017, 8:34 PM
Mzee
Elisa
Tatizo sio kufeli kwa
Makonda kidato cha nne wala necta, tunajua jinsi shule
nyingi hasa vijijni watu wanavyofeli kwa sabb mbalimbali
yakiwemo mazingira ya shule, familia na vijiji
nk,
Tatizo ni makonda
kufoji na kutumia vyeti vya mtu mwingine akaidai ni
vyakwake. kazi nzuri alizozifanya makonda angeweza kuzifanya
vilevile bila kufoji vyetu vya wengine hata km angewa la
saba tena failure.
ili
kufoji vyeti hakusameheki hata kdg
2017-03-04 22:55 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nafsi
yangu inaridhika sana kwa mawazo ninayojua yanasaidia
jamii.
------------------------------ --------------
On Sat, 3/4/17, Lutgard
Kokulinda Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAKONDA: NI KAPI KWELI AU NECTA
NI CHUJIO BOVU; TUSIJIDHALILISHE.
To: "'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
"ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>,
"prudence karugendo" <prudencekarugendo@yahoo.com>
Cc: "stanley.nshange@nsn.com"
<stanley.nshange@nsn.com>,
"innokahwa@yahoo.com"
<innokahwa@yahoo.com>,
"akiobya@yahoo.com"
<akiobya@yahoo.com>,
"tkiobya@yahoo.com"
<tkiobya@yahoo.com>,
"hkahyoza@yahoo.com"
<hkahyoza@yahoo.com>,
"emmanuelelias2005@yahoo.com"
<emmanuelelias2005@yahoo.com>,
"repeatitagency@yahoo.com"
<repeatitagency@yahoo.com>,
"stanley.nshange@nokia.com"
<stanley.nshange@nokia.com>,
"uhalisi@yahoo.co.uk"
<uhalisi@yahoo.co.uk>,
"tundu.lissu@gmail.com"
<tundu.lissu@gmail.com>,
"pkarugendo@yahoo.com"
<pkarugendo@yahoo.com>,
"mbowe2008@gmail.com"
<mbowe2008@gmail.com>,
"bilhuda2006@yahoo.co.uk"
<bilhuda2006@yahoo.co.uk>,
"davidkafulila@yahoo.com"
<davidkafulila@yahoo.com>,
"muddy.kiobya@gmail.com"
<muddy.kiobya@gmail.com>,
"emmanuelelisa46@yahoo.com"
<emmanuelelisa46@yahoo.com>,
"wilfredlwakatare@gmail.com"
<wilfredlwakatare@gmail.com>
Date: Saturday, March 4, 2017, 9:48 AM
Elisa ndugu yangu;
huwa unalipwa shilingi ngapi kwa hii
kazi?
LKK
On Saturday, March 4,
2017 9:34 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Naomba tuliangalie hili.
Mjadala mkali unaendelea
kuhusiana na maneno aliyoyasema Gwajima. Kuwa Ana cheti
cha
kuhitimu kidato cha nne Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam
Paulo
Makonda kikionyesha kuwa alipata Division 0. Maana yake
ni
kuwa Makonda alisomeshwa, na mwisho wa elimu yake
hakukidhi
viwango na akapata Division 0.
Kuna vitu viwili mbele yetu.
1) NECTA ambayo ilimpima
Makonda na kuona hafai.
2) Makonda ambaye hadharani tunamjua akiwa
kiongozi wa UVCCM na Mkuu wa wilaya na Mkoa.
Je Makonda anafanana na
tathmini ya NECTA? Yaani anavyoonekana hana akili kiasi
cha
kupata Division 0? Bahati mbaya hatuna wale waliopata
Division i-iv mwaka aliomaliza huyu Makonda, ili
tuwalinganishe na jinsi tunavyomuona Makonda. Kama kuna
mtu
anao na ni public figures awaletu tulinganishe. Public
figure anaweza kuwa mwizi, jambazi, kiongozi au mkuu wa
taasisi yoyote au hata mfanya biashara.
Kuna rafiki yangu mmoja,
alipotaka kunihakikisha kuwa hana UKIMWI alisema
"Ukitaka
kujua kama vipimo vya UKIMWI ni vizima nipime mimi.
Vikisema
nina UKIMWI ujue vipimo vyenu ni vibovu".
Sasa najiuliza. Kwa jinsi
tunavyomuona Makonda vipimo vya NECTA vilikuwa sahihi;
yaani
Makonda ndiye mbovu; au NECTA ndiyo mbovu haina/haikuwa
na
uwezo wa kutumia elimu inayoitoa na mitihani yake
kugundua
watu wenye akili?
Ninaomba tusimpime Makonda kwa mazuri yake. Hata
mabaya yake. Mfano aliwahi kutuhumiwa kumpiga ngwara
Warioba. Katika kitendo hicho na jinsi aliyokitekeleza
kimepangwa na kutekelezwa na mtu wa Division 0? Hata
kama
aliwahi kuiba, junsi alivyotekeleza wizi wake ni mtu wa
Division 0 kichwani?
Mambo mengine tunayoyajua kwa Makonda ni jinsi
alivyowashawishi wenye daladala Dar Es salaam
wakakubali
kuwabeba walimu siku na saa za kazi bila kulipa.
Aliwahi
kuwashawishi wanasheria kuwatetea wanyonge. Aliwahi
kubuni
mambo kadhaa akiwa Mkuu wa Wilaya na Mkoa hapo Dar. Watu
wa
namna ya Makonda Tanzania kwa viwango vya elimu yetu ni
watu
wa Division 0? Yaani elimu yetu inawatema watu kama
Makonda
wasiwe wataalamu wetu, wasiwe viongozi wetu? Hao
iliowapeleka mbele wana uwezo kiasi gani wa kibunifu?
Twaweza kujidhalilisha mbele za watu. Wengine wanaweza
kusema ndiyo maana wataalamu wetu wa madini hawaoni
kuwa
twaweza kuwekeza katika madini. Kwa sababu wenye akili
za
kibunifu tuliwatelekeza kupitia mfumo wetu wa kutahini.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Ukiwa zuzu mtu
atakuja
akukute una almasi akuletee chupa akwambie hii ndiyo
almasi
na wewe uikimbilie chupa umrushie almasi. Nadhani
tunakumbuka wakati Fulani mtanzania mmoja aliwahi
kutemwa
hapa kwa manufaa ya umma. Akaenda Uganda akaisaidia
kukusanya kodi kwa kiwango kikubwa kuliko mataifa yaote
Afrika Mashariki. Sisi tuliona hafai. Wengine wakamtumia
kwa
manufaa. Rais wetu aliwahi kwenda nchi jirani akakuta
shamba
la mfugaji mmoja lina ng'ombe wakubwa hakuna mfano.
Akasema atapeleka wataalamu wa Tanzania wajifunze
ufugaji
huo. Rais wetu akaambiwa usisumbuke. Meneja wa shamba
hilo
ni mtanzania aliyesomea SUA. Nataka tujipime kuwa
tunaweza
kuwa wapumbavu wa kutupa watu wa maana kupitia mifumo
yetu.
Nataka tujadiri mantiki.
Elisa Muhingo
0767187507
Elisa Muhingo
elisamuhingo@yahoo.com
0767 187 507
--
Send Emails
to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+...@
googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum bears
the sole
responsibility
for
any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements
and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued
membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this
message because you
are subscribed
to
the
Google
Groups "Wanabidii"
group.
To
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
J L
Kamala
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment