hiyo hoja yako inajengwa na sheria ipi ya nchi hasa kulingana na speech ya presidaa kuhusu kufoji vyeti?
-- Naona hoja zako haziko relevant na wanachoongelea wadau. So kwa sasa ni kama kujilisha upepo....labda kama unaleta mawazo mapya kwa presidaa na bunge kuwa tuangalie uwezo wa mtu bila kufuata sheria ya kufoji vyeti au kufeli.
On Sun, 5 Mar, 2017 at 8:37 PM, 'alexander chipalazya' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com> wrote:Please pleaseMjadala Kama huu unatupotezea focus! Jambo la msingi hapa ni integrity ya kiongozi.
Sent from my iPhoneThis message is eligible for Automatic Cleanup! (wanabidii@googlegroups.com) Add cleanup rule | More info
Mimi naona moja.
Mimi mwenyewe; na watu wengine wanapotafuta mfanyakazi hupitia vyeti vya mtu kuhisi uwezo wake wa kazi. Ukikutana na mtu aliyepata alama za chini huyo hutupwa mwanzoni na haitwi kusailiwa. Sasa kama mtu anafanya kugushi cheti kwa sababu alipata alama za chini. Na baada ya kugushi cheti akaonekana ana uwezo kama cheti cha kugushi kinavyofanana tumuiteje yule aliyetwambia kuwa hana uwezo? NDIYO HOJA
--------------------------------------------
On Sat, 3/4/17, prudence karugendo <prudencekarugendo@yahoo.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAKONDA: NI KAPI KWELI AU NECTA NI CHUJIO BOVU; TUSIJIDHALILISHE.
To: "Lutgard Kokulinda Kagaruki" <lutgardk@yahoo.com>, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>
Cc: "stanley.nshange@nsn.com" <stanley.nshange@nsn.com>, "innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>, "akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>, "tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>, "hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>, "emmanuelelias2005@yahoo.com" <emmanuelelias2005@yahoo.com>, "repeatitagency@yahoo.com" <repeatitagency@yahoo.com>, "stanley.nshange@nokia.com" <stanley.nshange@nokia.com>, "uhalisi@yahoo.co.uk" <uhalisi@yahoo.co.uk>, "tundu.lissu@gmail.com" <tundu.lissu@gmail.com>, "pkarugendo@yahoo.com" <pkarugendo@yahoo.com>, "mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>, "bilhuda2006@yahoo.co.uk" <bilhuda2006@yahoo.co.uk>, "davidkafulila@yahoo.com" <davidkafulila@yahoo.com>, "muddy.kiobya@gmail.com" <muddy.kiobya@gmail.com>, "emmanuelelisa46@yahoo.com" <emmanuelelisa46@yahoo.com>, "wilfredlwakatare@gmail.com" <wilfredlwakatare@gmail.com>
Date: Saturday, March 4, 2017, 2:37 PM
Kuna
mambo mawili hapa, lakwanza ni la vyeti feki na la pili ni
uwezo wa kubuni mambo. Katika utendaji wetu tunahitaji watu
wa kubuni tu au waliosoma na kushinda? Kama tunahitaji watu
wenye vipaji vya kubuni mambo wapo wengi, bora mashule na
vyo vifungwe tukawategemee hao wenye vipaji vya kubuni. Kwa
maana hiyo basi Nyerere angemfanya Marehemu Moris Nyunyusa
kuwa waziri wa utamaduni na michezo kutokana na uwezo wake
wa kupiga ngoma. Kumbuka aliacha historia kule Osaka, Japan
kwenye Expo 70 ambayo hakuna waziri yeyote wa Tanzania
anayeweza kuifikia. Na mpaka sasa ngoma za Marehemu Nyunyusa
ndizo kitambulisho cha taarifa ya habari kwenye redio yetu
ya taifa.
Kuhusu
vyeti feki Rais Magufuli kaishasema wenye navyo watumbuliwe,
wameishatumbuliwa kibao. Iweje huyo anayejiita Makonda awe
tofauti?? Hiyo inaleta picha gani??
Prudence
Karugendo
From: Lutgard Kokulinda
Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
To: 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>; ELISA MUHINGO
<elisamuhingo@yahoo.com>; prudence karugendo
<prudencekarugendo@yahoo.com>
Cc:
"stanley.nshange@nsn.com"
<stanley.nshange@nsn.com>;
"innokahwa@yahoo.com" <innokahwa@yahoo.com>;
"akiobya@yahoo.com" <akiobya@yahoo.com>;
"tkiobya@yahoo.com" <tkiobya@yahoo.com>;
"hkahyoza@yahoo.com" <hkahyoza@yahoo.com>;
"emmanuelelias2005@yahoo.com"
<emmanuelelias2005@yahoo.com>;
"repeatitagency@yahoo.com"
<repeatitagency@yahoo.com>;
"stanley.nshange@nokia.com"
<stanley.nshange@nokia.com>;
"uhalisi@yahoo.co.uk" <uhalisi@yahoo.co.uk>;
"tundu.lissu@gmail.com"
<tundu.lissu@gmail.com>;
"pkarugendo@yahoo.com"
<pkarugendo@yahoo.com>;
"mbowe2008@gmail.com" <mbowe2008@gmail.com>;
"bilhuda2006@yahoo.co.uk"
<bilhuda2006@yahoo.co.uk>;
"davidkafulila@yahoo.com"
<davidkafulila@yahoo.com>;
"muddy.kiobya@gmail.com"
<muddy.kiobya@gmail.com>;
"emmanuelelisa46@yahoo.com"
<emmanuelelisa46@yahoo.com>;
"wilfredlwakatare@gmail.com"
<wilfredlwakatare@gmail.com>
Sent: Saturday, March
4, 2017 9:48 AM
Subject: Re:
[wanabidii] MAKONDA: NI KAPI KWELI AU NECTA NI CHUJIO BOVU;
TUSIJIDHALILISHE.
Elisa ndugu yangu;
huwa unalipwa shilingi ngapi kwa hii
kazi?
LKK
On Saturday, March 4, 2017 9:34 AM, 'ELISA
MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Naomba tuliangalie hili.
Mjadala mkali unaendelea
kuhusiana na maneno aliyoyasema Gwajima. Kuwa Ana cheti cha
kuhitimu kidato cha nne Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Paulo
Makonda kikionyesha kuwa alipata Division 0. Maana yake ni
kuwa Makonda alisomeshwa, na mwisho wa elimu yake hakukidhi
viwango na akapata Division 0.
Kuna vitu viwili mbele yetu.
1) NECTA ambayo ilimpima
Makonda na kuona hafai.
2) Makonda ambaye hadharani tunamjua akiwa
kiongozi wa UVCCM na Mkuu wa wilaya na Mkoa.
Je Makonda anafanana na
tathmini ya NECTA? Yaani anavyoonekana hana akili kiasi cha
kupata Division 0? Bahati mbaya hatuna wale waliopata
Division i-iv mwaka aliomaliza huyu Makonda, ili
tuwalinganishe na jinsi tunavyomuona Makonda. Kama kuna mtu
anao na ni public figures awaletu tulinganishe. Public
figure anaweza kuwa mwizi, jambazi, kiongozi au mkuu wa
taasisi yoyote au hata mfanya biashara.
Kuna rafiki yangu mmoja,
alipotaka kunihakikisha kuwa hana UKIMWI alisema "Ukitaka
kujua kama vipimo vya UKIMWI ni vizima nipime mimi. Vikisema
nina UKIMWI ujue vipimo vyenu ni vibovu".
Sasa najiuliza. Kwa jinsi
tunavyomuona Makonda vipimo vya NECTA vilikuwa sahihi; yaani
Makonda ndiye mbovu; au NECTA ndiyo mbovu haina/haikuwa na
uwezo wa kutumia elimu inayoitoa na mitihani yake kugundua
watu wenye akili?
Ninaomba tusimpime Makonda kwa mazuri yake. Hata
mabaya yake. Mfano aliwahi kutuhumiwa kumpiga ngwara
Warioba. Katika kitendo hicho na jinsi aliyokitekeleza
kimepangwa na kutekelezwa na mtu wa Division 0? Hata kama
aliwahi kuiba, junsi alivyotekeleza wizi wake ni mtu wa
Division 0 kichwani?
Mambo mengine tunayoyajua kwa Makonda ni jinsi
alivyowashawishi wenye daladala Dar Es salaam wakakubali
kuwabeba walimu siku na saa za kazi bila kulipa. Aliwahi
kuwashawishi wanasheria kuwatetea wanyonge. Aliwahi kubuni
mambo kadhaa akiwa Mkuu wa Wilaya na Mkoa hapo Dar. Watu wa
namna ya Makonda Tanzania kwa viwango vya elimu yetu ni watu
wa Division 0? Yaani elimu yetu inawatema watu kama Makonda
wasiwe wataalamu wetu, wasiwe viongozi wetu? Hao
iliowapeleka mbele wana uwezo kiasi gani wa kibunifu?
Twaweza kujidhalilisha mbele za watu. Wengine wanaweza
kusema ndiyo maana wataalamu wetu wa madini hawaoni kuwa
twaweza kuwekeza katika madini. Kwa sababu wenye akili za
kibunifu tuliwatelekeza kupitia mfumo wetu wa kutahini.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema "Ukiwa zuzu mtu atakuja
akukute una almasi akuletee chupa akwambie hii ndiyo almasi
na wewe uikimbilie chupa umrushie almasi. Nadhani
tunakumbuka wakati Fulani mtanzania mmoja aliwahi kutemwa
hapa kwa manufaa ya umma. Akaenda Uganda akaisaidia
kukusanya kodi kwa kiwango kikubwa kuliko mataifa yaote
Afrika Mashariki. Sisi tuliona hafai. Wengine wakamtumia kwa
manufaa. Rais wetu aliwahi kwenda nchi jirani akakuta shamba
la mfugaji mmoja lina ng'ombe wakubwa hakuna mfano.
Akasema atapeleka wataalamu wa Tanzania wajifunze ufugaji
huo. Rais wetu akaambiwa usisumbuke. Meneja wa shamba hilo
ni mtanzania aliyesomea SUA. Nataka tujipime kuwa tunaweza
kuwa wapumbavu wa kutupa watu wa maana kupitia mifumo yetu.
Nataka tujadiri mantiki.
Elisa Muhingo
0767187507
Elisa Muhingo
elisamuhingo@yahoo.com
0767 187 507
--
Send Emails
to wana...@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+...@
googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum bears
the sole
responsibility
for
any legal
consequences of his or
her postings,
and
hence
statements
and facts must be
presented
responsibly.
Your
continued
membership signifies that
you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by
our
Rules and
Guidelines.
---
You
received this
message because you
are subscribed
to
the
Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and
stop
receiving
emails
from
it, send an email
to wanabidii+...@
googlegroups.com.
For more
options, visit
https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to
wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and
facts must be presented
responsibly. Your
continued
membership
signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an
to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more
options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal
consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts
must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge
to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving
emails
from it, send an email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment