Thursday, 9 October 2014

[wanabidii] LORRAINE ATUA NCHINI APONGEZA WATANZANIA

Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES.

Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.

Na Andrerw  Chale

MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014,  na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika mjini, Bangkok, Thailand, ametua nchini jana  Oktoba 9 majira ya saa 10 jioni na kuwashukuru watanzania kwa kumuunga mkono.

Akizungumza na wandishi wa habari muda mfupi alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Lorraine aliwashukuru wadau mbalimbali kwa kufanikisha ushiriki wake kwenye mashindano hayo makubwa duniani, ikiwemo  kampuni  ya Redline Communication Ltd, Iliyofanikisha  mshiriki huyo kushiriki kwa mwaka huu.

"Pongezi kwa wadau wote mliofanikisha mimi kupeperusha  vyema bendera  ya Tanzania. Millen Magese kupitia kampuni yake ya MMG, Jacqueline Kibacha,  Doreen Mashika,  Husna Tandika na wengine wengi.

Lorraine Clement akishukuru Mungu, alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora.

Katika mapokezi hayo, Lorraine alilakiwa pia na wazazi wake pamoja na  mtendaji Mkuu wa Redline Communication, Abubakar Faraji 'Abu' na wadau wengine walijitokeza uwanjani hapo.

Kwa upande wake, Mama Mzazi wa Lorraine, Paula David aliwashukuru watanzania kwa kumpigia kura mwanae na kupeperusha vyema bendera ya Tanzania.

Hii ni kwa mara kwanza, mtanzania huyo anashiriki shindano hilo ambalo kwa hapa nchini linaendeshwa na kampuni ya  Redline Communication Ltd, ambapo mshiriki wake huitwa  'Miss Grand Tanzania', kwa mwaka huu, Lorraine alikuwa ni  mshindi wa pili kwenye shindano la Tanzania Top Models 2013.

Aidha, Katika shindano hilo, mwanadada, Daryanne Lees kutoka nchi ya Cuba, ndiye aliyetwaa taji hilo kwa mwaka huu. Wengine ni Miss Ethiopia, Hiwot Mamo na Miss Canada, Kathryn Kohut.

Shindano hilo la Miss Grand International, kwa sasa ni msimu wa pili likifanyika nchini Thailand, tokea kuanzisha mwaka 2013. Mshindi wa mwaka huu, ameweza kunyakua kitita taslimu cha dola za kimarekani 40,000, pamoja na thamani za ndani.

Lorraine akilakiwa na meneja wake Abubakar Faraji.

Lorrainea kiwa na familia yake na mama yake (kulia).

KAWAIDA

Lorraine akiwasili muda

Lorraine Clement akishukuru

Lorraine na meneja wake Abubar Faraj

Lorraine akilakiwa na meneja wake Abubakar Faraji.

Lorrainea kiwa na familia yake na mama yake (kulia)

Lorrainea kiwa na familia yake na mama yake (kulia).

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment