Friday 31 October 2014

Re: [wanabidii] AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA NA UTAMU WA MAPENZI

Eatlawe,
Huyo dada hajaua, ila mhusika anajua alichokuwa amefanya, kwamba leo mpaka amkome kumbe yeye ndiye kakoma, hahaha!!!!!!!!!!!!!!
Paulo.
On Jul 24, 2014, at 10:26 AM, "'Nico Eatlawe' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

> Huyo kahaba ni mwuaji mkubwa. Kwanza kufanya biashara ya ukahaba ni kosa. Wako wapi wachapabakora kama wa DSM? Anyway, lazima tujue kuwa kuna nguvu nyuma ya ukahaba. Mtu hawezi kuwa kahaba bila kuingiwa na pepo la ukahaba. Kwa maneno mengine makahaba wanafanya kazi ya shetani; yaani ile ya kuiba, kuchinja na kuharibu. Kuna watu baada ya kulala na makahaba wamekuwa maskini na kufuatwa na nuksi. Kuna wengine wameingiwa namapepo na kuwasumbua. Wako waliofukuzwa hata kazi nk. Wengine ndio hao wanaofia papo hapo.
> Kwa hiyo anayefikiri kuwa makahaba ni cheaper waendelee waone cha moto! Mtu anaweza kusema nikiwa na hela naenda chap kama kwenda kununua vocha na kurudi, lakini anakuwa amekuwa mwili moja na kahaba hivi kubeba mapepo yote ya kahaba! Anway,kufa kufaana. Wacha watoa pepo wale nao kwa kuwasaida hao. Hakuna kuwekewa mikono hadi utoe kima cha chini 5000 au 10000! Chezea upako wa watu wewe?
>
>
> On Thursday, 24 July 2014, 8:13, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>>
>>
>> Aisee Comrades;
>> Hii nayo ni ya namna yake,naomba aliye na address ya huyu mdada anipe tafadhali.
>> Kuna haja ya kumtafuta na kuprove,mana inawezekana ni kweli au marehemu alikuwa mgonjwa tu(natania tu wandugu)
>>
>>
>> Reuben
>>
>>
>>
>>
>>
>>> ________________________________
>>> From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
>>> To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Thursday, July 24, 2014 9:17 AM
>>> Subject: Re: [wanabidii] AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA NA UTAMU WA MAPENZI
>>>
>>>
>>>
>>> Utamu hadi mtu afe? nimeamini, Too much of anything is harmful
>>>
>>>
>>>
>>> On Thu, Jul 24, 2014 at 7:53 AM, Clement Oginga <cloginga@gmail.com> wrote:
>>>
>>> Heheheheheheheeeee!!!!!!!
>>>>
>>>>
>>>> This is funny and sad at the same time.
>>>>
>>>>
>>>> Roho yake kijana mola ailaze pema peponi.
>>>>
>>>>
>>>> Na huyo kahaba naye naomba manani amfariji, na ampe uvumilivu na hekima wakti huu mgumu.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> On 2014-07-23, at 11:42 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>>>>
>>>>
>>>> Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.
>>>>> Gazeti la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.
>>>>> Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu iliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).
>>>>> Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza. "She committed no crime by being too sweet to the man"
> --
>>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>>
>>>>> Disclaimer:
>>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>>> ---
>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>>
>>>
> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>>
>>>
>>>
> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment